Mabasi mapya 150 ya MOFAT yakwama kupata njia | kafulila aingilia kati

Sijawahi kumuelewa nwana kafulila toka awe ppp sijui..yaaji ni kama mshereheshaji tu makelele mengi outcome sisimizi.
 
Sijawahi kumuelewa nwana kafulila toka awe ppp sijui..yaaji ni kama mshereheshaji tu makelele mengi outcome sisimizi.
Kafikisha miradi yenye thamani ya trillion 11.
 
Hakuna kitu sekta ya Umma inaweza fanya Kwa ufanisi ni shida tupu.
 
Ukitoka kariakoo uendee kwenye mwendokasi,utaona jinsi uhitaji ulivyo mkubwa wa mabasi, kuna muda nahisi mbagala wanaishi robo ya wanadar.
 
Kwanini kwenye makaratasi?
Hakuna matokeo
Nyie mshazoea kuishi
Kwenye nchi za viongoz
Kupiga domo domo
Matokeo sifuri...
Wananchi wanataka kuona
Matokeo,huoo mradi uanze kazi acheni kupiga domo domo...

Ova
 
Hili nalo litachukua miezi 6 mingine...hadi siku bwana Madelu aje...UJINGA tu
 
Hii ndio tanganyika y rushwa
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hakuna matokeo
Nyie mshazoea kuishi
Kwenye nchi za viongoz
Kupiga domo domo
Matokeo sifuri...
Wananchi wanataka kuona
Matokeo,huoo mradi uanze kazi acheni kupiga domo domo...

Ova
Kabla ya matokeo yanaanza maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…