Mabasi mapya 70 ya Mwendokasi yamehifadhiwa eneo la hatari sana

Mabasi mapya 70 ya Mwendokasi yamehifadhiwa eneo la hatari sana

Yaani wamuite mtu kama baaresa wampe hii tenda serikali kufanya biashara ni kutafuta hasara tu
Yaani ingekuwa inapata hasara wasingeanzisha hizi project za mwendokasi unazoziona kwa sasa.

Magomeni - Karume
Morocco - Tegeta
Ubungo -

Serikali imedhamiria kutufikisha sehemu flani amazing
 
Achaa ujinga mvua kubwa itatok wwap muda huu pia pale wametanua mto ule hata mwaka huu zile mvua za mwez was nne hazikuadhiri Mahal pale
 
Sasahivi pale jangwani hata inyeshe el nino..hakuwezi kujaa kama zamani..mto umetanuliwa..na kumepandiswa tuta kubwa sana..so ondoa wasi wasi..yapo salama.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali kwanin isiachie hio tenda kwa kampuni binafsi mbona wanateseka hivi kwa kukosa maarifa?
Watanzania bado kuamka, hii biashara ni ya ubia, wazawa wamo kakini tumezoea ubwete, na ndio maana baadhi ya viongizi kwenye kinyang'anyiro cha urais walikua wanasema (watu wasilipe kodi badala yake madini yetu tuwape wazungu ili wawe wanatupa misaada)
Ndivyo rulivyo
 
Kwa komenti za wadau humu inaonekena siyo wafuatiliaji wa yajayo.

Kwa ufupi pale yapo kwa muda mfupi tu yataondoka to ubungo.

Angalia hapo chini...
IMG_20210706_081419.jpg

Hiyo circle ndipo mzigo unaandaliwa 'kuishi' mbele yake kutakuwa na East Afrika Commercial and Logistics. Center.
 
Mkuu watu wanateseka sasa ukiuwa gari 70 hadi bima.ikulipe uagize gari mpya itakuwa lini tena
Hiyo sio shida yao, hiyo mwendokasi ingeweza kuwa suluhisho la foleni huko Dar ila inajiendea tu
 
Serikali inaleta gari 70 baada ya kuziingiza kwenye mzunguko watu wapate nafuu ya mateso wanayoyapata kwa sasa matokeo yake gari wameenda kuzimwaga pale Jangwani, hata kama ni swala la usajili na vibali serikali ikiamua lake haiwezi zidi wiki moja lakini mwezi unaenda kukata wameyabwaga pale.

Kumbukeni lile eneo kupaki magari mapya pale ni kutafuta hasara, ikipiga mvua kubwa panajaa maji, na ndio maana waziri mkuu alikuta magari pale yamekufa sababu ya kujaa maji na matope hadi ndani, eneo ambalo yamewekwa yake magari mapya ikipiga mvua ya kushtukiza pale mtakuta yanaelea.

Huwezi uka-risk kuweka gari mpya 70 eneo lile kama sio kutafuta hasara nyingine, ikipiga mvua kubwa ya kushtukiza pale itakuwa ni hasara nyingine, ni suala la muda tu.
Unasema huwezi ukarisk, wakati wenzako ndio wanachofanya. Hatujifunzi, na kamwe hatutaendelea kwa kujiendekeza!
 
Back
Top Bottom