Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
RC Makala apokea Mabasi 70 ya mwendokasi
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amepokea Mabasi 70 ya mwendokasi huku akiishukuru Serikali ya Awamu ya 6 kwa kufanikisha kupatikana kwa mabasi hayo licha yakuwa inasiku 101 tu. Mkuu wa mkoa amesema mabasi 70 yataongeza ufanisi katika utendaji kazi. Swali langu:- Naamini haya mabasi...
Mabasi hayo yasiwe sehemu ya wengine kujinufaisha na baadae kuyaharibu ama kwa makusudi au kutokuyatunza vizuri ili yazalishe mengine mengi maeneo mbalimbali yenye shida ya usafiri.
Cha kuzingatia :-
-Parking zake ziwe sehemu salama mbali na mafuriko ya Maji.
-Service zifanywe kwa wakati.
-Nidhamu ya madereva na abilia iwe juu.
-Usafi kiwe ni kipaombele cha kwanza.
-Mabasi yote yasiyo mazima yaondolewe yard kwa kurudishwa kwa mtrngenezaji ili walau tupate mabasi machache mapya.
Hata hivyo sio vibaya kwa baadhi ya njia /route zikabinafsishwa kwa sekta binafsi ili kuleta tija na ushindani kama ikitokea uendeshaji wake hauna matokeo chanya.