Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,827
- 1,655
Yaani ingekuwa inapata hasara wasingeanzisha hizi project za mwendokasi unazoziona kwa sasa.Yaani wamuite mtu kama baaresa wampe hii tenda serikali kufanya biashara ni kutafuta hasara tu
Wanafanya biashara kwa kuwpa mateso wananchi tuYaani ingekuwa inapata hasara wasingeanzisha hizi project za mwendokasi unazoziona kwa sasa
Magomeni - Karume
Morocco - Tegeta
Ubungo ---
Serikali imedhamiria kutufikisha sehemu flani amazing
Wakila hasara wewe unaumia nn? Maisha yako magumu tafuta wa kumlaumuNakwambia pale mtakuja kuskia ripoti ya cag tumekula hasara hawatumiii akili wale
Sisi kuteseka ni kawaida mkuu tumeshazoeaWanafanya biashara kwa kuwpa mateso wananchi tu
Yalikuwepo mbona ila yalikuwa yamekwama pale BandariniKulikua na haja gani kuyaleta sahivi???
Huoni yataanza chakaa kabla ya wakati
Watanzania bado kuamka, hii biashara ni ya ubia, wazawa wamo kakini tumezoea ubwete, na ndio maana baadhi ya viongizi kwenye kinyang'anyiro cha urais walikua wanasema (watu wasilipe kodi badala yake madini yetu tuwape wazungu ili wawe wanatupa misaada)Serikali kwanin isiachie hio tenda kwa kampuni binafsi mbona wanateseka hivi kwa kukosa maarifa?
Sahihi kabisa mwambie aje hapa Mkwajuni aone ... wanaume wapo kaziniSasahivi pale jangwani hata inyeshe el nino..hakuwezi kujaa kama zamani..mto umetanuliwa..na kumepandiswa tuta kubwa sana..so ondoa wasi wasi..yapo salama.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hao UDART ni kampuni ya serikali au ni serikali tu ndio majority shareholder, na kama ni ya serikali kwa nini plate number zake ni za gari ya biashara, huwa wananichanganya sanaGari za serikali hazinaga bima
Hiyo sio shida yao, hiyo mwendokasi ingeweza kuwa suluhisho la foleni huko Dar ila inajiendea tuMkuu watu wanateseka sasa ukiuwa gari 70 hadi bima.ikulipe uagize gari mpya itakuwa lini tena
Unasema huwezi ukarisk, wakati wenzako ndio wanachofanya. Hatujifunzi, na kamwe hatutaendelea kwa kujiendekeza!Serikali inaleta gari 70 baada ya kuziingiza kwenye mzunguko watu wapate nafuu ya mateso wanayoyapata kwa sasa matokeo yake gari wameenda kuzimwaga pale Jangwani, hata kama ni swala la usajili na vibali serikali ikiamua lake haiwezi zidi wiki moja lakini mwezi unaenda kukata wameyabwaga pale.
Kumbukeni lile eneo kupaki magari mapya pale ni kutafuta hasara, ikipiga mvua kubwa panajaa maji, na ndio maana waziri mkuu alikuta magari pale yamekufa sababu ya kujaa maji na matope hadi ndani, eneo ambalo yamewekwa yake magari mapya ikipiga mvua ya kushtukiza pale mtakuta yanaelea.
Huwezi uka-risk kuweka gari mpya 70 eneo lile kama sio kutafuta hasara nyingine, ikipiga mvua kubwa ya kushtukiza pale itakuwa ni hasara nyingine, ni suala la muda tu.