LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
wa mbagala kuweni wapole, subiriniNa sisi wa Mbagala hatukubali kucheleweshwa,tunakiwasha
wa mbagala kuweni wapole, subiriniNa sisi wa Mbagala hatukubali kucheleweshwa,tunakiwasha
Inaoneka kama hii lugha imeeleweka kirahisi...kuliko ile lugha yetu ya "TUNAOMBA"Hii nchi kumbe raia wakiamua ibadilike inawezekana, baada ya kuona mabasi mabovu yakipigwa mawe Serikali imesikia na kuchukua hatua chapchap ya kuleta mabasi mapaya chini ya saa 12.
Sasa yale mabasi mabovu yaliyobakia wayaondoe yote kwenye route.
Staged ili apewe mkataba wa Kimara pia sisi sio wajinga tena ....ujinga miaka 60 yote? HapanaaaHii nchi kumbe raia wakiamua ibadilike inawezekana, baada ya kuona mabasi mabovu yakipigwa mawe Serikali imesikia na kuchukua hatua chapchap ya kuleta mabasi mapaya chini ya saa 12.
Sasa yale mabasi mabovu yaliyobakia wayaondoe yote kwenye route.
🤣🤣🤣 Mbagala ina watu wengi kuzidi hata baadhi ya mikoaTimbwili la mbagala hakuna sehemu tz hii inaweza imudu waache waendelee kupima upepo watu
Upo Rafiki?Weka picha na sisi wamkoani tuyaone
Nipo asee za siku nyingi?Upo Rafiki?
Aiseeee ☺️😉Na sisi wa Mbagala hatukubali kucheleweshwa,tunakiwasha
Mbagala wa mbagala watasibiri Sana kwasababu haya mabus Yao wamepelekwa Kwanza kimara.....
Mbagala wasubiri Hadi mwakani
Safi kabisa🤣🤣🤣🤣Na sisi wa Mbagala hatukubali kucheleweshwa,tunakiwasha
Hakakikisha hao mbusii sisini wako salama.Weka picha na sisi wamkoani tuyaone