Mabasi mapya ya Mwendokasi ya MOFAT yaanza kubeba Abiria Gerezani–Mbezi

Mabasi mapya ya Mwendokasi ya MOFAT yaanza kubeba Abiria Gerezani–Mbezi

Mbagala wa mbagala watasibiri Sana kwasababu haya mabus Yao wamepelekwa Kwanza kimara.....
Mbagala wasubiri Hadi mwakani
Mbezi Kimara Gerezani/Kivukoni huko gari za kawaida zilisha ondolewa. Ilikuwa lazima wapelekewe gari mpya.
Mbagala angalau daladala bado zipo. Pia route fupi sana hakuna malori mengi.
 
Mbezi Kumara Gerezani/Kivukoni huko gari za kawaida zilishaondolewa. Ilikuwa lazima wapelekewe gari mpya.
Mbagala angalau daladala bado zipo. Pia route fupi sana hakuna malori mengi.
Mbagala watasibiri Hadi lini
 
Back
Top Bottom