Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mabasi mapya ya Mwendokasi yanayotumia gesi yatawasili Aprili mwaka huu, lengo ni kuongeza matumizi ya nishati safi.
Kampuni ya Mabasi yaendayo Haraka (UDART), imesema kuanzia Aprili mwaka huu watapokea mabasi mapya yanayotumia gesi asilia iliyosindikwa (CNG).
Aidha, hatua hiyo ni mkakati wa kuboresha huduma za usafiri jijini Dar es Salaam kwa kutumia nishati safi na nafuu, ikiwamo kupunguza msongamano wa abiria na kuchangia kuhifadhi mazingira.
Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa jana na UDART, hatua ya kuingiza mabasi mapya inalenga kuyaondoa kwa awamu mabasi machakavu na ambayo muda wake wa kuwa barabarani yamepitwa.
Soma, Pia: Mradi wa Mwendokasi kutumia mabasi ya gesi ya Scania