Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
20 December, 2020.Hiyo stendi ataanza kutumika lini?
Looks like we can't beat a deadline
Hayo Ni maneno hata kwenye khanga yapo.20 December, 2020.
Hiko kipande wameanza nacho kwa kasi kitaisha soonItakua mwake kile kipande cha Tegeta(kiwanda cha cement) mpaka madale kipigwe rami maana vumbi sana
20/12/2020Hiyo stendi ataanza kutumika lini?
Looks like we can't beat a deadline
Hayo Ni maneno hata kwenye khanga yapo.
Reli tu ya hapo Moro ilikua iishe nov. 2019 Leo hii Ni Dec. 2020 hata dalili hamna kumbuka mjerumani alijenga reli Dar to Kgm within seven years over a hundred years ago na kipindi hicho hakukua na makatapila Wala teknolojia ya sasa.
Flyover ya Tazara. Foleni iko pale pale Kama haijaongezeka.
Barabara ya Kimara Kibaha bado.
Sitaki kuongelea stiglaz goji.
Mbona kama una jambo lako mkuuHayo Ni maneno hata kwenye khanga yapo.
Reli tu ya hapo Moro ilikua iishe nov. 2019 Leo hii Ni Dec. 2020 hata dalili hamna kumbuka mjerumani alijenga reli Dar to Kgm within seven years over a hundred years ago na kipindi hicho hakukua na makatapila Wala teknolojia ya sasa.
Flyover ya Tazara. Foleni iko pale pale Kama haijaongezeka.
Barabara ya Kimara Kibaha bado.
Sitaki kuongelea stiglaz goji.
Kwan hy mkandarasi ww unashauri ubungo pale wangejenga nn au pangebaki vilevile km zmnMbona kama una jambo lako mkuu
Nadhani umekosea comment ya ku replyKwan hy mkandarasi ww unashauri ubungo pale wangejenga nn au pangebaki vilevile km zmn
Nimesikia baada ya stendi ya Mbezi kuanza kutumika mabasi ya mikoa tajwa hapo juu yatapitia Goba, Madale, Tegeta, Bagamoyo kuelekea mikoa husika.
Lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja.
Karibuni kwa yeyote mwenye taarifa.
Itakua mwake kile kipande cha Tegeta(kiwanda cha cement) mpaka madale kipigwe rami maana vumbi sana
Inawekwa lami Sasa hivi. Kuanzia November walianza kuweka lami kuanzia kiwanda Cha cement kuekelekea Madale
Acha Hizo wewe....
Hakuna Lami hapo!
Huo ujenzi upo Muda Mrefu wanaweka Moram na Ujenzi wa Mitaro na Madaraja lami Mpaka Mwakani!
Hongera mkuu!Hayo Ni maneno hata kwenye khanga yapo.
Reli tu ya hapo Moro ilikua iishe nov. 2019 Leo hii Ni Dec. 2020 hata dalili hamna kumbuka mjerumani alijenga reli Dar to Kgm within seven years over a hundred years ago na kipindi hicho hakukua na makatapila Wala teknolojia ya sasa.
Flyover ya Tazara. Foleni iko pale pale Kama haijaongezeka.
Barabara ya Kimara Kibaha bado.
Sitaki kuongelea stiglaz goji.
basi safi sanaInawekwa lami Sasa hivi. Kuanzia November walianza kuweka lami kuanzia kiwanda Cha cement kuekelekea Madale
Tena Seif Sharif Hammad ameapishwa leo. Wewe baki unapiga filimbi, wenzio wacheza mpira yakhe!! Wenzio twala, Baki wasinzia yakhe!!Hongera mkuu!
Inaonesha kwa Hakika kabisa wewe ni mpinzani uliyebobea.
Unaitendea haki dhana ya upinzani.
PINGA kila kitu mpaka akili ziwakae sawa😅
Niwaulize nyie wadogo zangu ma engineer wa siku hizi (paper engineers) mabingwa wa kuandika na kusema site hamuendi. Mkija site mmevalia Kama watalii. Pama kubwa, maji ya kunywa dkk kumi nyingi.Mbona kama una jambo lako mkuu