Mabasi ya 'Dar Express' yanahujumiwa?

Mabasi ya 'Dar Express' yanahujumiwa?

humu ndani naöna kwa wingi 'maRASAmiko', kufiRIsika, kusaFIli.......OMG ndugu zangu lugha hiyo!

On a serious note biashara ya mabasi is really crazy. It's capital intensive and need dog style management among other strategies. Kampuni nyingi zimeibuka na kujifia vilevile, mfano mzuri ni scandinavia

No wonder then dar express is facing the music, I mean the reality of business

Tunaiombea mafanikio kampuni hii ambayo kwa hakika huduma zake bora na za kuaminika siyo tu imeimarisha usafiri wa uhakika kwenye northern circuit bali pia imekuwa pride kubwa kwetu
 
Kifo chao kinaanzia hapo kwenye huduma mbovu, yameshanikuta kwenye mabasi hayo na sina hamu tena ya kusafiri nayo... hata lugha ya wahudumu wala huwezi kujua kuwa anamjibu mteja
 
Ni kweli Dar Express ni tatizo kwa sasa. Namuonea huruma mzee Mremi maana amejitahidi ku revolutionize usafiri kanda ya Kaskazini.
Shida ni kwamba ameajiri ndugu na jamaa zake wengi ndio maana huduma huwa mbovu kila kukicha.
Ana binti yake mmoja mnene mweupe ambaye wakati mwingine huwa pale kwenye ofisi zao Kisutu ana kauli chafu, roho mbaya nadhani anafikiri Baba yake ndiye msafirishaji mkuu kumbe masikini Mremi hafiki hata robo ya Hood.
Mzee wa D.Exp anatakiwa sasa kusimamia mwenyewe biashara zake la sivyo wabongo, hata kama ni ndugu zake, watammaliza.
 
Wana JF,

Napennda kufukisha Duku duku lang ambalo linanipelekea kuwa na wasiwasi mkubwa sana kuwa kampuni ya mambasi arimaarufu hapa nchini DAR EXPRESS kuwa mbioni kufirisika.

Sababu zifutazo

Uongozi mbovu
Huduma mbovu
Vitendea kazi vibovu.

Nitazama kwa tukio kubwa siku chahce nikadhani ni kuwa ndio utaratibu bali nimekuja gundua ni kufirisika ndiko kumeanza

Mnamo tarehe 29/12/2011 nilipata safari ya ghafla kwenda Dar na ikanigalimu kuondoka 30/12/2011 cha kushangaza nilikata tiketi na haikuwa na Bus namba na wakaniambia haina neno ukija the same day utapata basi la kuondoka saa moja asubuhi na muda ulipo fika kweli basi likawasili kituoni hapo Arusha kalibu na seliani Hospital turekebishiwa ticketi zetu na utaratibu ulikuwa ni wakiholela kwani nili notes mtu (abiria mmoja) kapewa bus tofauti na lakwangu na tulipaswa kuwa nae kwa bus moja yeye akaondoka na la sa moja mimi nikaondoka na la saa moja na nusu nilijiuliza kama ndio utaratibu huo umeanza basi Dar express na Management yake yote ni mbovu hwajui jinsi ya ku run business tena au wanafirisika.

Mbaya zaidi leo narudi zangu Moshi mambo yakwa ni yale yale basi tulilopangiwa this time ticketi zetu zilikuwa na namba kabisa na basi halikuja tukapewa basi jingine na kufika chalinze kumbe pale kulikuwa na wasafiri wengine wanaelekea Arusha tukawaacha pale ila kwa mtu nae mjua akanijuza walipakizwa bus la mwisho la Dar expres kwa msaada wa Police pale Chalinze.

Sasa kwa hali hii nadhani Viongozi wa Dar Express sasa ni muda muafaka kujipanga na kutambua kuwa usafiri wao unachoka na unapoteza wateja na kama muna mabus machache kwanini msiyatumia hayo machache na kuboresha huduma kuliko kuwa waongo na matapeli wa kuwabadilisha wasafiri mabus bila kuwajuza ????

Tatizo hujui hata unasema nini...familia yangu inahusika moja kwa moja na hiyo kampuni..Filisika?? Unacheza kweli....
 
mh,mtoa mada hujui hata kujieleza,

hahahahaha
umeona eee hajui wkt wa skukuu za x mass usafri unasumbua
af kwani kutopanda bus lenye namba unayoitaka ndo kampn imefilisika?
Au umeagizwa na
jamaa wa lux!
 
hii ni HASIRA iliyotokana na DISAPPOINTMENT, siyo uchmbuzi makini uliofanywa na mtu huru anayeongozwa na principles za kiuchumi. Takangumu!
 
hahahahaha
umeona eee hajui wkt wa skukuu za x mass usafri unasumbua
af kwani kutopanda bus lenye namba unayoitaka ndo kampn imefilisika?
Au umeagizwa na
jamaa wa lux!

Halafu kweli yale Mabasi ya Dar Lux yaliyosemwa sana humu JF yaliishia wapi? Route zake ni wapi?
 
mleta mada kashindwa kufikisha ujumbe wake,pili bado kiswahili kinampa shida kuandika.
 
Ni kweli Dar express lina shida ya uongozi kwani oct 2011 nilisafiri na basi lao dereva alikuwa analalamika swala la mafuta kuwa wamepunguziwa na hayatoshi, kufika mizani baada ya chalinze tulikuta basi moja la dar limeharibika ili bidi tusubiri kwa zaidi ya saa moja mpaka litengemae kwani basi letu lilikuwa na abiria wamejaa wasingeweza waacha hawa wa gari bovu. 27Nov 2011 Nilikuwa AR nikawa nahitaji usafiri wa dar nilipo fika kwenye ofisi zao mkata ticket alinijibu kama mimi mtumishi mwenzie toka hapo byebye Dar express, huyu bwn halalamiki ni kweli
 
hivi we mleta mada una umri gani hasa?wewe ni mtanzania?mbona unashindwa kuumba herufi?kwa kifupi sana mwenye dar express ni mchaga na wale hawafilisiki!
 
katumwa na ridhiwani k huyo....hiyo kampeni yao ya kutaka kufungiwa kwa dar express haijaanza leo...pole
 
Tatizo hujui hata unasema nini...familia yangu inahusika moja kwa moja na hiyo kampuni..Filisika?? Unacheza kweli....

Mkuu mimi sio ***** unajaua eeeh ? T 255 BLC Dar express imeingia Arusha saaa 3 usiku uliza pale standi ya Dar expresss Dreva alivyo washiwa moto na abiria na kule chalinze kulitokea niniulizeni OCD wapale Chalinze leo issue ya Dar express msiongeee kwani mimi ndie nilikuwa kwa basi najua kiliochotokea chote kama bus halitoi huduma nzuri tuwe wawazi na huyo Neema mtoto wa mwenye bus nitampa zake kesho asubuhi na mtazisikia kwa Radio kesho. Dar expresss imekuwa sanya sanya njiani.

Hawa Huduma imekwisha hakuna cha sikukuu wala nini tukubali kuwa watanzania esp wafanya biashara tuna tamaa sana hatujui nini maana ya kutoa huduma bali twajali pesa tuuu na sio kutoa service. Dar expresss imechoka wajirekebishe wasilazimishe biashara kama mabasi hawana.

Penye ukweli tuwe wawazi. kama kampuni fulani haifanyi vyema tunaiweka wazi humu tuache ushabiki me husafiri sana njianai huko ila kama bus limefika hatua haliwezi tioa namaba ya bus mpaka siku unayotaka ondoka ndio wapewa namba ya bus ni utapeli huo. hapa hatuna chuki binafsi bali twaelezana ukweli tuu live bila chenga.

DAR EXPRESS SERVICE ZAO NI POOR wabadilike huo ndio ukweli waaandishi wa habari hojini wasafili

SUMATRA nanyi hamjui mnalo fanya ni kubebana tu huko na matajiri ni njaaaaaa huko Arusha hawapendi fake fake mtakuja umbuka. Muuwaulize waudumu wa hilo bus tajwa husika kuna mama mmoja katukana matusi mbaya kuanzia dreva mpaka waudumu hapo standi yao Arusha mpaka waka gwaya

hili tatzo la heruf 'l' badala ya 'r' litaisha lini?

Nimekulia kanda ya ziwa (Mwanza) msijifanye sana ni wachambuzi wa lugha humu ndani mbona watu wa india kusema we wao wana sema vi na huko Jber south africa rrrrrr ni nyingi sana mbona wamasai wanachanganya wewe jari ujumbe kufioka na sio kuchunguza lugha wewe kama huja kutana na janga kama hilo kaaa kimya kabisa.

Kasumba ya mtanzania kujifanya kukosoa lugha tujali ujumbe umefika au
 
humu ndani naöna kwa wingi 'maRASAmiko', kufiRIsika, kusaFIli.......OMG ndugu zangu lugha hiyo!

On a serious note biashara ya mabasi is really crazy. It's capital intensive and need dog style management among other strategies. Kampuni nyingi zimeibuka na kujifia vilevile, mfano mzuri ni scandinavia

No wonder then dar express is facing the music, I mean the reality of business

Tunaiombea mafanikio kampuni hii ambayo kwa hakika huduma zake bora na za kuaminika siyo tu imeimarisha usafiri wa uhakika kwenye northern circuit bali pia imekuwa pride kubwa kwetu

Mkubwa!
Yani humu ndani tuna raia ambao ni mizigo flu!
Na kwa kuwa tupo nao hakika tuenende na hivi hivi bila shaka wanaweza elimika hapo mbeleni.

Ama vipi tutamwomba MODS aangalie hili upya!

Happy New Year 2012!
 
Asee wewe ni bingwa wa kuraramika.....kwani ulisafili mala ngapi?

laia kama hawa ndio mabingwa wa kuraramika wakati hata gali renyewe langi zake hazijui.
 
Mkuu RR sijaelewa umeandika nini "kuraramika" kiswahili cha wapi unashindwa kuandika kulalamika ? kama hiyo haitoshi umerudia tena makosa yale yale "mala ngapi" unashindwa kuandika mara ngapi ?.Tafadhali usituharibie lugha yetu adhimu.

msome mtoa mada utajua nani kaharibu kiswahili
 
  • Thanks
Reactions: RR
Ndugu yangu, mtoa mada hajatia juhudi kutupa ushahidi wa Dar express kufilisika, hii haimuhusu cos ametumwa na wale mafisadi wanaonyemelea northern circuit, waache waje, sisi wateja twamjua mtoa huduma.

Back
Top Bottom