Mabasi ya 'Dar Express' yanahujumiwa?

Mabasi ya 'Dar Express' yanahujumiwa?

wakuu, mahali ambapo ipo stand ya Dar express moshi siyo stand kuu ya mabasi, sehemu hii yenye offisi za dar express iko adjacent na restaurant ambayo kimsingi hiyo restaurant ndiyo yenye choo ndani yake, restaurant hii siyo ya dar express hivyo basi nadhani kama wameanzisha huduma ya kulipia choo basi ni uamuzi wa hiyo restaurant na siyo dar express
 
wiki iliyopita nilikuwa pale na nilipata huduma bila malipo.....labda mwaka mpya mambo mapya
 
Pale Moshi Dar Express wana stendi yao wenyewe hawashirikiani na mabasi mengine isipokuwa ya kwao. Pia wana mgahawa pale. Sasa nashangaa kwa nini wawatoze watu kutumia choo kwani migahawa ya mjini yote si inastahili kuwa na choo cha wateja?

Hivi naweza kukupeleka nyumbani kwangu, kwa gari langu mwenyewe amabalo nimekutoza nauli halafu nikuchaji kutumia choo. Tena baada ya wewe kununua chakula nilichopika mwenyewe? Kuna wengine humu nadhani hawaelewi

Mi nadhani kama vp wapotezee... Kwani ni lazima upande? Piga Mbizi tu 200 kitu gani.....
 
Ili Huduma iwe Bora Lazima Uchangie!! Nadhani Ulizaliwa Enzi za Chama Kushika Hatamu!
 
wakuu, mahali ambapo ipo stand ya Dar express moshi siyo stand kuu ya mabasi, sehemu hii yenye offisi za dar express iko adjacent na restaurant ambayo kimsingi hiyo restaurant ndiyo yenye choo ndani yake, restaurant hii siyo ya dar express hivyo basi nadhani kama wameanzisha huduma ya kulipia choo basi ni uamuzi wa hiyo restaurant na siyo dar express

basi wawe wanawapeleka abiria stendi. DAR EXPRESS mpk mzigo wako mwenyewe wanakulazimisha uulipie wakati nauli umewapa ........ mmiliki na wahudumu wake wote ni wase***
 
sasa we rizone unafikiri kuja na mada zako za chuki juu ya dar express ndio ataondoka akuachie njia ya arusha?mbona tunasikia kule iringa baba mkwe wa babako yule mwarabu anamiliki malori 100 kwa niaba yenu?we bwana mdogo tamaa itakuua!
 
Huyu mleta hii mada nahisi kunajambo na hii kampuni ya haya mabasi ya Dar Express, kunasiku tena alikuja na mada ya kwamba wafanyakazi wa hii kampuni hawafanyi kazi zao ipasavyo sijui walimdharau! kampuni za mabasi yaendayo Dar si yako mengi ukapande bwana mbona unatukata Handasi kwenye JF??
 
Umetumwa wewe sio bure kati ya mabasi nayoweza kupanda ni haya tu. Wanchekesha kweli source. Faizafoxy
 
basi wawe wanawapeleka abiria stendi. DAR EXPRESS mpk mzigo wako mwenyewe wanakulazimisha uulipie wakati nauli umewapa ........ mmiliki na wahudumu wake wote ni wase***

Jitahidini sana lakini hamutaweza kuwaharibia Dar Express. Anaewatuma mwambieni aingize magari yake na a-operate kwa ushindani. If he can that is.
 
Jitahidini sana lakini hamutaweza kuwaharibia Dar Express. Anaewatuma mwambieni aingize magari yake na a-operate kwa ushindani. If he can that is.

Sija2mwa na m2,ila naongea ki2 nilichowahi kufanyiwa, nililazimishwa kulipia mizigo ....... mbona hao DAR EXPRESS mi nilishawakimbia siku nyingi, sahv nasafiri na makampuni yenye wahudumu wenye nidhamu na huduma ya uhakika kama KILIMANJARO EXPRSS au METRO ....... Nachowashauri DAR EXPRSS wajirekebishe.
 
walitakiwa wasichukue hio shs 200,mbona pale korogwe kwenye hoteli yao hawachukui hio hela-isije kuwa wanataka kufanya biashara kila kona
wasipokuwa makini watapoteza mvuto kwa wateja
 
Kwan lazma upande
hiyo gari?
Unadhani bila mchango wako wangekuwa hapo
walipo! Kapande ngorika osaka bufalo
ndo utatia akili! Kama vipi maliza haja zako home !au km waona jiti mbili zako dili baaas
ingia kichakani! Hakuna huduma ya bure
kwa nji hii kwa sasa
msimsakame dar exp
 
msimsakame bure mtoa mada, ...................kuna hoja hapa............. mi mara ya mwisho kupanda hayo mabasi ilikuwa 2008 kwa hiyo yanayotokea karibuni siyajui................. ila kama ni kweli wanatoza, kwa nini wasiiongeze hiyo 200 kwenye nauli kisha wamalize huo usumbufu usio wa lazima kwa abiria??................... nafikiri wamekosa kasayansi kadogo kabisa ho jamaa........................
 
Napenda Toilet ya Kulipia sababu inakuwa inaangaliwa na usafi unaridhisha. Mkuu Vya Bure soo usipende saaana vya bure
 
Kwan lazma upande
hiyo gari?
Unadhani bila mchango wako wangekuwa hapo
walipo! Kapande ngorika osaka bufalo
ndo utatia akili! Kama vipi maliza haja zako home !au km waona jiti mbili zako dili baaas
ingia kichakani! Hakuna huduma ya bure
kwa nji hii kwa sasa
msimsakame dar exp

Waambie mkuu! Ila kwa uzoefu wangu wa siku za karibuni najua lengo la threads dhidi ya Dar Express ni nini! Ila wajue abiria wanajua mbichi na mbivu!
 
Kuna uhusiano gani kati ya choo na nauli ya basi? Nadhani mtoaji mada angefafanua hili.

Basi lina gharama zake za uendeshaji na ndio maana unalipa nauli. Na hivyo hivyo kwenye chakula na choo pia - kuna gharama za usafi na uendeshaji maliwato ki-ujumla na ndo maana unalipia.

Leo ukilipa 30,000/- ukapewa huduma ya choo bure, kesho utasema kwanini nalipa 30,000/- alafu chakula nanunua - utataka na chakula upewe bure kwa sababu tu mgahawa unamilikiwa na Dar express.

Ile ni biashara ya choo bwana, embu tuwe waelewa. Hata kama wewe si abiria unaweza pia ukatumia huduma hiyo pale unapohitaji. Na kama haukoradhi kulipia hiyo 200, unaweza tafuta jinsi nyingine ya kutimiza haja zako. Hakuna mtu anayekuchagulia.
 
Huko 2napoenda wanywaji BAR watatakiwa walipie huduma ya choo. maana haina utofauti sana na hii ya DAR EXPRSS. .......sipati picha wale wa ze lager watatoa sh. ngapi? kama ni 200 kwa kila kojo!!!
 
Wiki 2 zilizopita nimepanda basi la Dar Express kutoka Ars kuja Dar. Nilitumia huduma ya choo hapo Moshi,sikulipishwa hata cent. Nauli za mabasi yao ni kati ya 25,000. mpaka 30,000. kutegemea na ubora wa basi.
 
Nipo njiani na basi la Dar Express T538ASR toka Dar kwenda Arusha.basi ni bovu limepasuka pipe ya brake wameunga kiaina.tunakwenda hivyohivyo.ushauri wangu.toeni hili basi njiani.linaharibu biashara yenu
 
Back
Top Bottom