mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Si mchezoMara ya mwisho kupanda Islam ilikuwa ni 2013
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mchezoMara ya mwisho kupanda Islam ilikuwa ni 2013
Mengi Huwa ni Kodi zetu wakubwa wakistaafu na mabus nayo ustaafu kwa sababu mirija ya Kodi zetu ukata.Tawaqal
Zainabu
Masiah
M Sleeping Coach
Matema Beach
Scandinavia Express
Kiswele
Executive
Hood ltd
Safina
Embakassy
Lupelo
Sayuni
Wajana kiba Ngorika, Ndenjela, Mohammed Trans, Ilasi etc
Competition ni kubwa biashara imebadilika inaendana na fashion kama jeans,kitu mchinaDar express tu naona anataka kuachana na biashara hizi
Ova
Kama biashara hailipi unaachana nayo. Mwisho wa siku itakupeleka kaburiniJamani mabus ya Hood yamefia wapi? Hood was the only competitor ya Abood and was going faster na pia was sharp wamefia wap? Abood mmewafanya nn?
Kweli ushindani ni mkubwaCompetition ni kubwa biashara imebadilika inaendana na fashion kama jeans,kitu mchina
Nililiona Chalinze kwenye mizani barabara ya kuelekea Segera utalikuta linasubiri abiria.Jamani mabus ya Hood yamefia wapi? Hood was the only competitor ya Abood and was going faster na pia was sharp wamefia wap? Abood mmewafanya nn?
Nani anapanda sufuria wakati Cha upepo kipo.Kweli ushindani ni mkubwa
Yaani leo niko jogging nakuta BM mbili zimeshatoka lakini Kilimanjaro limepigwa doro abiria wachache
Hii biashara kwa mtu mwenye umri zaidi ya miaka 50 sidhani kama ni nzuri kwa afya 😄Biashara ya mabus ni jini mla pesa niliifanya simshauri mtu watumishi wengi ndipo wanapopatia umasikini kwenye biashara hii.
Daladala nyingi ni za matrafic wakistaafu nazo ustaafu juu ya mawe.
Kange trans za Lugola sijui Kama zipo bado
Si nzuri kwa afya ya akili inatakiwa under 40.Hii biashara kwa mtu mwenye umri zaidi ya miaka 50 sidhani kama ni nzuri kwa afya 😄
Sio kweli.
Abood anaendana na uhitaji wa soko,kitu mchina nani apande scania old model,angebakia na masufulia yake angebakia jina tu kama Hood
Biashara ya usafiri naona inalipa iwapo unapata tender ya kusafirisha bidhaa etc ila hii ya kusubiri abiria ukichanganya na akili za madereva aiseee ni balaa ila kuna watu wanaziweza na zimewatoaSi nzuri kwa afya ya akili inatakiwa under 40.
Pana Mzee alistaafu akanunua daladala mwanzoni safi baada ya mazoea analetewa kiswahili akawa anashinda stand ya daladala kuhesabu tripu ngapi imepiga kwa siku.
Ukiona simu ya dereva tu mapigo ya moyo yanaongezeka ni balaaKiujumla tu biashara ya vyombo vya moto ni ngumu mno
Kawaulize wamiliki wa daladala wakueleze
Inaingia 100,000 kila siku lakin siku ikitaka hela inatoka pesa kweli
Mchina anajua biashara ya mabus, ukitaka scania standard ya Mchina huna bilioni moja haujanunua scania New model ambayo kwa bongo hailipi.Wabrashi viatu utakuwa unawasikia kwenye bomba mjomba
...
... TTBS - Tanganyika Transport Bus Service; mlango wa abiria uko katikati ya bus na carriers ziko juu ngazi za kupandia huko ziko karibu na siti ya mlangoni.Baadhi ya yale mabasi yalikuwaga na shape ya mkate nakumbuka
Kaleta dragon mbiliDar express tu naona anataka kuachana na biashara hizi
Ova
Duniani mapito!Everything you see in this world is temporary.