Pre GE2025 Mabasi ya Mikoani yaliyopata kazi ya kusafirisha Wanachama wa CHADEMA kuelekea Dar yasihujumiwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi naishauri serikali isiwaue waandamaji ila iwageuzi viwete Hawa wale wanaobebwa kwenye mafuso kuja Dar kuharibu amani ila iwanusuru wale wa Dar tu maana ni haki yao
Hujui tu.... kifo chako kiko karibu kuliko unavyodhani. Subiri basi waandamanaji wafanywe viwete..... ikiwa utakuwa na bahati ya kuishi mpaka hiyo siku.
 
Angalau siwezi kufanya ujinga wa kufurahia eti nasubiri kuona watu wasio na makosa wakifanywa viwete.
Hao ni wafanya vurungu haiwezekani mnywe double kiki zenu mtoke kigoma mje muandame Dar better wafanywe viwete maana hawana kazi za kufanya
 
Wewe ndo unaongea kishabiki kwanini msiandame nchi nzima Kila wanachama waandamane mikoani kwao ?
Nimekuelezea sababu lakini unazi ignore na kuuliza tena na tena swali lile lile.

Acha kujirusha ufahamu.
 
Nimekuelezea sababu lakini unazi ignore na kuuliza tena na tena swali lile lile.

Acha kujirusha ufahamu.
Sababu zako hazina mashiko tatazi mnataka kutumia changamoto za kimaisha za watu Kisha muwabebe kwenye mafuso muwalete Dar ili kuonekane kuna nyomi
 
Latra pia traffic
 
Mkuu
Serikali hususan dola lazima vipambane na upinzani kwa sababu wanaelewa ni hatari kwao nchi kuongozwa kwa mujibu wa Katiba.

CCM haitaweza kuzuia gharika ya ghadhabu ya Mungu
 
Mkuu
Serikali hususan dola lazima vipambane na upinzani kwa sababu wanaelewa ni hatari kwao nchi kuongozwa kwa mujibu wa Katiba.

CCM haitaweza kuzuia gharika ya ghadhabu ya Mungu
Amen
 
Wewe mfuasi wa Mbowe ndo unahujumu mipango yenu. Chama kilichokosa utaratibu kila mtu ni msemaji hakiwezi fanikisha jambo lake lolote. Hayo mambo uliyoandika mngefanya kimyakimya na pia wanachama wenu wasingekodi mabasi. Anyway yaweza kuwa ni mbinu ya Mbowe kutafuta sababu ya kuvuruga mipango yenu. Ninampongeza sana kwasababu akisubiri hiyo tarehe 24 ataambulia tu aibu kwasababu hakuna mwenye akili timamu ataandamana.
 
Sababu zako hazina mashiko tatazi mnataka kutumia changamoto za kimaisha za watu Kisha muwabebe kwenye mafuso muwalete Dar ili kuonekane kuna nyomi
Hakuna atayebebwa kwenye Fuso watu watakuja kwa usafiri wa Umma na watajilipia nauli.

Nyote mwakaribishwa
 
Kimya kimya kwani wanavunja sheria gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…