much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Wewe ndo unaongea kishabiki kwanini msiandame nchi nzima Kila wanachama waandamane mikoani kwao ?Unaongea kishabiki hili swala halihitaji ushabiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo unaongea kishabiki kwanini msiandame nchi nzima Kila wanachama waandamane mikoani kwao ?Unaongea kishabiki hili swala halihitaji ushabiki.
Hujui tu.... kifo chako kiko karibu kuliko unavyodhani. Subiri basi waandamanaji wafanywe viwete..... ikiwa utakuwa na bahati ya kuishi mpaka hiyo siku.Mimi naishauri serikali isiwaue waandamaji ila iwageuzi viwete Hawa wale wanaobebwa kwenye mafuso kuja Dar kuharibu amani ila iwanusuru wale wa Dar tu maana ni haki yao
Wewe ndo kifo chako kipo mbali?Hujui tu.... kifo chako kiko karibu kuliko unavyodhani. Subiri basi waandamanaji wafanywe viwete..... ikiwa utakuwa na bahati ya kuishi mpaka hiyo siku.
Kwanini waondoke kimyakimya, kwani wanasafiri uchi?Huu ni ujinga, haikupaswa kukodi mabasi bali waondoke kimya kimya
Angalau siwezi kufanya ujinga wa kufurahia eti nasubiri kuona watu wasio na makosa wakifanywa viwete.Wewe ndo kifo chako kipo mbali?
Hao ni wafanya vurungu haiwezekani mnywe double kiki zenu mtoke kigoma mje muandame Dar better wafanywe viwete maana hawana kazi za kufanyaAngalau siwezi kufanya ujinga wa kufurahia eti nasubiri kuona watu wasio na makosa wakifanywa viwete.
Nimekuelezea sababu lakini unazi ignore na kuuliza tena na tena swali lile lile.Wewe ndo unaongea kishabiki kwanini msiandame nchi nzima Kila wanachama waandamane mikoani kwao ?
Sababu zako hazina mashiko tatazi mnataka kutumia changamoto za kimaisha za watu Kisha muwabebe kwenye mafuso muwalete Dar ili kuonekane kuna nyomiNimekuelezea sababu lakini unazi ignore na kuuliza tena na tena swali lile lile.
Acha kujirusha ufahamu.
Hii ingekuwa Njema sanaKila mtu snakata tiketi kivyake kama hamjuani vile
Latra pia trafficTaarifa zilizotufikia hivi punde zinadokeza kwamba, baadhi ya Mabasi ya Mikoani yaliyokodiwa na Wanachama wa CHADEMA waliojitolea kushiriki Maandamano ya Amani, yaliyopangwa kufanyika Dar es salaam January 24 yamepangwa kuhujumiwa kwa kusingiziwa makosa haya na yale.
Zaidi ya Mabasi 100 yanadaiwa kukodiwa na Wanachama wa Chadema Nchi Nzima kwa ajili ya kupeleka Wanachama Dar es Salaam kushiriki Maandamano.
Natoa wito kwa LATRA kutojiingiza kwenye mambo ya siasa , wajikite katika masuala yanayowahusu tu .
Waondoke kimya kimya wakati wamevunja sheria gani ya nchi hii?Huu ni ujinga, haikupaswa kukodi mabasi bali waondoke kimya kimya
Kitaeleweka tu mwaka huuKutoka Kigoma , Katavi , Tabora , Nachingwea nk wanafikaje Dar ?
MkuuTaarifa zilizotufikia hivi punde zinadokeza kwamba, baadhi ya Mabasi ya Mikoani yaliyokodiwa na Wanachama wa CHADEMA waliojitolea kushiriki Maandamano ya Amani, yaliyopangwa kufanyika Dar es salaam January 24 yamepangwa kuhujumiwa kwa kusingiziwa makosa haya na yale.
Zaidi ya Mabasi 100 yanadaiwa kukodiwa na Wanachama wa Chadema Nchi Nzima kwa ajili ya kupeleka Wanachama Dar es Salaam kushiriki Maandamano.
Natoa wito kwa LATRA kutojiingiza kwenye mambo ya siasa , wajikite katika masuala yanayowahusu tu .
Waondoke kimya kimya? Wapande guta?Huu ni ujinga, haikupaswa kukodi mabasi bali waondoke kimya kimya
AmenMkuu
Serikali hususan dola lazima vipambane na upinzani kwa sababu wanaelewa ni hatari kwao nchi kuongozwa kwa mujibu wa Katiba.
CCM haitaweza kuzuia gharika ya ghadhabu ya Mungu
Hakuna atayebebwa kwenye Fuso watu watakuja kwa usafiri wa Umma na watajilipia nauli.Sababu zako hazina mashiko tatazi mnataka kutumia changamoto za kimaisha za watu Kisha muwabebe kwenye mafuso muwalete Dar ili kuonekane kuna nyomi
Kimya kimya kwani wanavunja sheria gani ?Wewe mfuasi wa Mbowe ndo unahujumu mipango yenu. Chama kilichokosa utaratibu kila mtu ni msemaji hakiwezi fanikisha jambo lake lolote. Hayo mambo uliyoandika mngefanya kimyakimya na pia wanachama wenu wasingekodi mabasi. Anyway yaweza kuwa ni mbinu ya Mbowe kutafuta sababu ya kuvuruga mipango yenu. Ninampongeza sana kwasababu akisubiri hiyo tarehe 24 ataambulia tu aibu kwasababu hakuna mwenye akili timamu ataandamana.