Mabasi yote yaende Stendi ya Magufuli, kama huwezi ondoka Dar Es Salaam hupawezi

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Duniani kote majijini kuna maisha ghali sana. Sio kila mtu anaweza kumudu gharama za kuishi kwenye majiji.
Kilichokuwa kinafanywa na wamiliki wa mabasi ya mikoani ni kulazimisha watu wenye uwezo mdogo kuishi DSM waweze kuishi DSM kwa gharama ndogo. Yaani wanamrahisishia mtu atoke na kifurushi chake cha mkaa kutoka kijijini kwao kwenye buti ya basi moja kwa moja hadi mbagala na Chanika anakoishi.

Basi la mkoani kushusha abiria na mizigo kila kituo cha daladala jijini kunasababisha yafuatayo:

Ksumbufu kwa abiria wanaoshukia stendi kuu (wanachelewa kufika), Kusababisha msongamano kwenye vituo vya daldadala na barabarani, kukosesha vipato wenye daladala, bajaj na bodaboda kwakuwa kwenye vituo vile wanapakia hata abiria wanaekwenda Mbagala na chamazi, kuwanyima abiria wenye mabasi ya mikoani wanaopaki na kusubiria abiria kwenye stendi ya Magufuli.

Wanachotakiwa jiji na Mkuu wa Mkoa ni kusogeza karibu huduma za daladala karibu zaidi na stendi ya magufuli kuliko kule viliko vituo vya daladala; kuna watu hawawezi kupanda lile daraja ili kuvuka ng'ambo ya barabara wakapande daladala.

Duniani kote watu wasiojiweza kiuchumi huwa wanahama katikati ya majiji na kwenda kuishi kwenye miji midogo pembezoni mwa majiji makubwa. Yaani miji kama Kibaha, Bagamoyo, Kisarawe, Mlandizi, Mkuranga, Kisemvule, nk. Serikali inapunguzi kodi za nyumba na biashara kwenye miji midogo pembezoni mwa majiji ili watu wenye kipato kidogo waende kuishi na kufanyia biashara huko. Biashara za mazao, mitumba na nyamachoma na bia rahisi zinawekwa kwenye miji midogo ili hata watu wa jiji wenye hela kidogo waende huko siku za weekend au mapunziko yao. Ni mikakati tu.
 
Duniani kote majijini kuna maisha ghali sana. Sio kila mtu anaweza kumudu gharama za kuishi kwenye majiji.
Kilichokuwa kinafanywa na wamiliki wa mabasi ya mikoani ni kulazimisha watu wenye uwezo mdogo kuishi DSM waweze kuishi DSM kwa gharama ndogo. Yaani wanamrahisishia mtu atoke na kifurushi chake cha mkaa kutoka kijijini kwao kwenye buti ya basi moja kwa moja hadi mbagala na Chanika anakoishi. Basi la mkoani kushusha abiria na mizigo kila kitu cha daladala jijini kunasababisha usumbufu kwa abiria wanaoshukia stendi kuu (wanachelewa kufika), kusababisha msongamano kwenye vituo vya daldadala na barabarani, kukosesha vipato wenye daladala, bajaj na bodaboda kwakuwa kwenye vituo vile wanapakia hata abiria wanaekwenda Mbagala na chamazi, na kuwanyima abiria wenye mabasi ya mikoani wanaopaki na kusubiria abiria kwenye stendi ya Magufuli.

Wanachotakiwa jiji na Mkuu wa Mkoa ni kusogeza karibu huduma za daladala karibu zaidi na stendi ya magufuli kuliko kule viliko vituo vya daladala; kuna watu hawawezi kupanda lile daraja ili kuvuka ng'ambo ya barabara wakapande daladala.
Biashara ni demand na Supply. Serikali ya mkoa wakati inajenga stand ilizingatia demand kweli? Anyway, inatakiwa ikuze demand ya stand maana hata ukilazimisha demand itashinda tu. Utashangaa mabasi yanafika stand bila abiria.
 
Bendera fata upepo.
 
Mabasi yatafika stendi bila watu kama mabasi hayo yatakuwa yanasisima kila mahali kushusha abiria na mzigigo yao, na kama daladala na mwendokasi hazitafika eneo la stendi. Kule viliko vituo vya daladala sio rafiki kwa abiria wanaoshukia stendi kuu ya Magufuli.
 
Shida sio Stand kuwa Magufuli,Shida Sio Gari kwenda Magufuli.

Shida ni Convenience.Private Bus Standa Ziwekewe Vigezo vya Msingi ili kuhakikisha Huduma zinakuwa bora na Pia Kuingia Stand ya Magufuli iwe ni Lazima.
 
Duniani kote majijini kuna maisha ghali sana. Sio kila mtu anaweza kumudu gharama za kuishi kwenye majiji.
Kilichokuwa kinafanywa na wamiliki wa mabasi ya mikoani ni kulazimisha watu wenye uwezo mdogo kuishi DSM waweze kuishi DSM kwa gharama ndogo. Yaani wanamrahisishia mtu atoke na kifurushi chake cha mkaa kutoka kijijini kwao kwenye buti ya basi moja kwa moja hadi mbagala na Chanika anakoishi. Basi la mkoani kushusha abiria na mizigo kila kitu cha daladala jijini kunasababisha usumbufu kwa abiria wanaoshukia stendi kuu (wanachelewa kufika), kusababisha msongamano kwenye vituo vya daldadala na barabarani, kukosesha vipato wenye daladala, bajaj na bodaboda kwakuwa kwenye vituo vile wanapakia hata abiria wanaekwenda Mbagala na chamazi, na kuwanyima abiria wenye mabasi ya mikoani wanaopaki na kusubiria abiria kwenye stendi ya Magufuli.

Wanachotakiwa jiji na Mkuu wa Mkoa ni kusogeza karibu huduma za daladala karibu zaidi na stendi ya magufuli kuliko kule viliko vituo vya daladala; kuna watu hawawezi kupanda lile daraja ili kuvuka ng'ambo ya barabara wakapande daladala.
uko sahihi 100%🤝
 
Bendera fata upepo.
Bro unabeba bata 2 kutoka kijijini unataka ukashushiwe Chanika iwe rahisi kwako.

Mbona Airport iko pembeni lakini wanakwenda? Wanaokwenda Zanzibar kwa boti wanapandia wapi?

Kaka uholela huu sio size ya jiji kuu kama Dar. Hebu fikiria kama kila abiria akitaka kushukia kwenye kituo chake hali itakuwaje. Basi linatumia masaa 4 kutoka Bunju hadi kufika Stendi ya magufuli kwasababu kila mtu anataka kushushiwa kwenye kituo cha daladala mjini. Zoezi la kushuka na kutafuta mizigo kwenye buti linachukua nusu saa nzima.
 
Duniani kote majijini kuna maisha ghali sana. Sio kila mtu anaweza kumudu gharama za kuishi kwenye majiji.
Kilichokuwa kinafanywa na wamiliki wa mabasi ya mikoani ni kulazimisha watu wenye uwezo mdogo kuishi DSM waweze kuishi DSM kwa gharama ndogo. Yaani wanamrahisishia mtu atoke na kifurushi chake cha mkaa kutoka kijijini kwao kwenye buti ya basi moja kwa moja hadi mbagala na Chanika anakoishi. Basi la mkoani kushusha abiria na mizigo kila kitu cha daladala jijini kunasababisha usumbufu kwa abiria wanaoshukia stendi kuu (wanachelewa kufika), kusababisha msongamano kwenye vituo vya daldadala na barabarani, kukosesha vipato wenye daladala, bajaj na bodaboda kwakuwa kwenye vituo vile wanapakia hata abiria wanaekwenda Mbagala na chamazi, na kuwanyima abiria wenye mabasi ya mikoani wanaopaki na kusubiria abiria kwenye stendi ya Magufuli.

Wanachotakiwa jiji na Mkuu wa Mkoa ni kusogeza karibu huduma za daladala karibu zaidi na stendi ya magufuli kuliko kule viliko vituo vya daladala; kuna watu hawawezi kupanda lile daraja ili kuvuka ng'ambo ya barabara wakapande daladala.
Wewe ni mpuuzii... Magari haya luxury bus yalikua yana simama mfano magufuri stendi then shekilango stand.

Simple logic bus haliwezi simama Kila kituo kama daladala

Wewe ni wakupuuzwa kabisa
 
Duniani kote majijini kuna maisha ghali sana. Sio kila mtu anaweza kumudu gharama za kuishi kwenye majiji.
Kilichokuwa kinafanywa na wamiliki wa mabasi ya mikoani ni kulazimisha watu wenye uwezo mdogo kuishi DSM waweze kuishi DSM kwa gharama ndogo. Yaani wanamrahisishia mtu atoke na kifurushi chake cha mkaa kutoka kijijini kwao kwenye buti ya basi moja kwa moja hadi mbagala na Chanika anakoishi.

Basi la mkoani kushusha abiria na mizigo kila kituo cha daladala jijini kunasababisha yafuatayo:

Ksumbufu kwa abiria wanaoshukia stendi kuu (wanachelewa kufika),
Kusababisha msongamano kwenye vituo vya daldadala na barabarani,
kukosesha vipato wenye daladala, bajaj na bodaboda kwakuwa kwenye vituo vile wanapakia hata abiria wanaekwenda Mbagala na chamazi,
kuwanyima abiria wenye mabasi ya mikoani wanaopaki na kusubiria abiria kwenye stendi ya Magufuli.

Wanachotakiwa jiji na Mkuu wa Mkoa ni kusogeza karibu huduma za daladala karibu zaidi na stendi ya magufuli kuliko kule viliko vituo vya daladala; kuna watu hawawezi kupanda lile daraja ili kuvuka ng'ambo ya barabara wakapande daladala.
Tatizo la foleni Dasalam linasababishwa na ufinyu wa barabara. CCM wanakwepa jukumu lao la upanuzi na uboreshaji wa barabara na kuishia kuwahangaisha wenye mabasi bila sababu za msingi. Halafu huyu Chalamila hili jiji la Dasalama lilimshinda kitambo sana sijui kwanini hawamshtukii.
 
Duniani kote majijini kuna maisha ghali sana. Sio kila mtu anaweza kumudu gharama za kuishi kwenye majiji.
Kilichokuwa kinafanywa na wamiliki wa mabasi ya mikoani ni kulazimisha watu wenye uwezo mdogo kuishi DSM waweze kuishi DSM kwa gharama ndogo. Yaani wanamrahisishia mtu atoke na kifurushi chake cha mkaa kutoka kijijini kwao kwenye buti ya basi moja kwa moja hadi mbagala na Chanika anakoishi.

Basi la mkoani kushusha abiria na mizigo kila kituo cha daladala jijini kunasababisha yafuatayo:

Ksumbufu kwa abiria wanaoshukia stendi kuu (wanachelewa kufika),
Kusababisha msongamano kwenye vituo vya daldadala na barabarani,
kukosesha vipato wenye daladala, bajaj na bodaboda kwakuwa kwenye vituo vile wanapakia hata abiria wanaekwenda Mbagala na chamazi,
kuwanyima abiria wenye mabasi ya mikoani wanaopaki na kusubiria abiria kwenye stendi ya Magufuli.

Wanachotakiwa jiji na Mkuu wa Mkoa ni kusogeza karibu huduma za daladala karibu zaidi na stendi ya magufuli kuliko kule viliko vituo vya daladala; kuna watu hawawezi kupanda lile daraja ili kuvuka ng'ambo ya barabara wakapande daladala.
 
Attachments

  • IMG_20260820_061223_231.jpg
    IMG_20260820_061223_231.jpg
    305.5 KB · Views: 14
  • IMG_20260820_054835_500.jpg
    IMG_20260820_054835_500.jpg
    81.3 KB · Views: 18
Hapa ndy serikali imepotea.
Nimesikia kwamba kuna baadhi ya mabus yenye kibali cha kupakia na kushusha abiria mjini.
Serikali ufute vibali vyote na iweke ni amri mabus yote yashushe na kupakia Magufuli terminal
Mambo ya kuwa na stendi moja mji nzima haina tofauti na zama zile za Duka la Kijiji, Mashine ya Kijiji, ....
Kutengeneza usumbufu usio wa lazima
 
Back
Top Bottom