Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Paul makonda wakati akiwa mkuu wa mkoa dar es salaamKitafutwe kituo cha daladala za njia zote palepale nje tu kidogo ya stendi ya magufuli ambako hata mgonjwa anaweza kwenda kupanda daladala yake kwenda anakoelekea. hata pale Airport kuna kituo cha mwendokasi kwa asiyeweza kuchukua Taxi. Hata hivyo majiji yote ni sehemu ghali kwa wakazi wake. Sisi hapa Dar hata sh.100 unaweza kupata pande kubwa la mhogo wa kukaanga ukanywa maji ya kandoro ya 100 ukashinda siku nzima bila wasiwasi. Jiji la namna hii hailiishi changamoto ya msongamano na uchafu.
Alinukuliwa akisema UKIJA DAR ES SALAAM KWA NDUGU YAKO.. UKIFIKA USIKAE SANA THEN URUDI KWENYE MAKAO YAKO MKOANI..
Pia aliwai kuanzisha msamo wa nyumba kwa nyumba yaani mtu mwenye chumba kimoja chakupanga huruhusiwi kukaa watu wa nne kwa mpigo