comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Wapiga debe sikuhizi wamejaa jfSaw mpiga debe
Wapiga debe sikuhizi wamejaa jfSaw mpiga debe
Mkuu utaratibu wa kuchukuwa abiria ni jukumu la wamiliki wa bus,.na sio abiria.Ni kweli, na mimi sijapinga uwepo wa stand kuu mkuu, nachosema ni hiyo stand ihitajike na abiria ili mabasi yafuate abiria. Kama stand haiitajiki na abiria ndo mambo kama haya sasa, kulazimisha. Kuhitajika ni rahisi tu, miundombinu ya kutoka na kuingia stand kwa urahisi ikiwemo usafiri wa maeneo mbalimbali
Tatizo la jf ni baadhi ya watu kujifanya ujuwaji,sasa nipige debe kwa kipi?Wapiga debe sikuhizi wamejaa jf
Kushusha na kupakia iruhusiwe kwenye special bus terminals zile unapaki na kuondoka, ila basi kuingia stand ndo iwe lazima ili abiria anayetaka kufika stand asinyimwe haki yake.Unatoka safari umechoka basi linapita kituo chako pyuu mpaka magufuli
unaanzj tena safari ya kurudi nyuma ulipotoka..hapo bado folen road
unafika home umechoka mbaya!
Ni sawa pia. Sio utaratibu mbaya kwenye upakiaji, ni mzuri. Wakati wa kushuka? Lakini mbona ni rahisi zaidi kuwa na terminal mbili au tatu kuliko hii? Jiji Lina watu M6+ kila mwaka wanaongezeka 100,000+ bado wanaokuja na kutoka uhalafu limetanuka haswa tunashindwa kuwa na small terminals nyingine 2 au tatu? Basi linapita tu, kushusha na kupakia ila stand kuu ni JPM.Mkuu utaratibu wa kuchukuwa abiria ni jukumu la wamiliki wa bus,.na sio abiria.
Mfano south Africa.
Ukiwa Pretoria unataka kwenda labda durban au cape town..
Mfano umekata bus la intercape au lolote,
Bus zinaanzia joberg to Durban,,ila ukiwa utapanda bus lingine local ukifika Park station Joberg unabadilshiwa gari lingine la Durban...
Iwe pia hapa dar,kwamba kuna min buses zinabeba abiria toka mitaani zinaleta Magufuli bus terminal,wanabadilisha bus wanaendelea na safari..
Tatizo lipo wp?
Mkuu bus linapita wp wakati unashuka unapotaka?Unatoka safari umechoka basi linapita kituo chako pyuu mpaka magufuli
unaanzj tena safari ya kurudi nyuma ulipotoka..hapo bado folen road
unafika home umechoka mbaya!
basi linalotoka mbeya, abiria anayekaa kibaha, unataka apelekwe mpk stendi ya magu halafu apande daladala impeleke kwake kibaha?Bro unabeba bata 2 kutoka kijijini unataka ukashushiwe Chanika iwe rahisi kwako.
Mbona Airport iko pembeni lakini wanakwenda? Wanaokwenda Zanzibar kwa boti wanapandia wapi?
Kaka uholela huu sio size ya jiji kuu kama Dar. Hebu fikiria kama kila abiria akitaka kushukia kwenye kituo chake hali itakuwaje. Basi linatumia masaa 4 kutoka Bunju hadi kufika Stendi ya magufuli kwasababu kila mtu anataka kushushiwa kwenye kituo cha daladala mjini. Zoezi la kushuka na kutafuta mizigo kwenye buti linachukua nusu saa nzima.
Labda umeondoka ,mimi niko hapaTanga ipi? Mbona stendi ya Kange hakuna mabasi?
Huyu anaongea hivi mpaka Unashangaa hii jeuri anaipata wapi.Duniani kote majijini kuna maisha ghali sana. Sio kila mtu anaweza kumudu gharama za kuishi kwenye majiji.
Kilichokuwa kinafanywa na wamiliki wa mabasi ya mikoani ni kulazimisha watu wenye uwezo mdogo kuishi DSM waweze kuishi DSM kwa gharama ndogo. Yaani wanamrahisishia mtu atoke na kifurushi chake cha mkaa kutoka kijijini kwao kwenye buti ya basi moja kwa moja hadi mbagala na Chanika anakoishi.
Basi la mkoani kushusha abiria na mizigo kila kituo cha daladala jijini kunasababisha yafuatayo:
Ksumbufu kwa abiria wanaoshukia stendi kuu (wanachelewa kufika), Kusababisha msongamano kwenye vituo vya daldadala na barabarani, kukosesha vipato wenye daladala, bajaj na bodaboda kwakuwa kwenye vituo vile wanapakia hata abiria wanaekwenda Mbagala na chamazi, kuwanyima abiria wenye mabasi ya mikoani wanaopaki na kusubiria abiria kwenye stendi ya Magufuli.
Wanachotakiwa jiji na Mkuu wa Mkoa ni kusogeza karibu huduma za daladala karibu zaidi na stendi ya magufuli kuliko kule viliko vituo vya daladala; kuna watu hawawezi kupanda lile daraja ili kuvuka ng'ambo ya barabara wakapande daladala.
Duniani kote watu wasiojiweza kiuchumi huwa wanahama katikati ya majiji na kwenda kuishi kwenye miji midogo pembezoni mwa majiji makubwa. Yaani miji kama Kibaha, Bagamoyo, Kisarawe, Mlandizi, Mkuranga, Kisemvule, nk. Serikali inapunguzi kodi za nyumba na biashara kwenye miji midogo pembezoni mwa majiji ili watu wenye kipato kidogo waende kuishi na kufanyia biashara huko. Biashara za mazao, mitumba na nyamachoma na bia rahisi zinawekwa kwenye miji midogo ili hata watu wa jiji wenye hela kidogo waende huko siku za weekend au mapunziko yao. Ni mikakati tu.
Unajua sababu ya mabasi yote yaanzie magu term na kuishia hapo hapo?Mkuu bus linapita wp wakati unashuka unapotaka?
Hakuna hata sehem moja bus litampitisha abiria bila kusimama..
Sababu niUnajua sababu ya mabasi yote yaanzie magu term na kuishia hapo hapo?
Kaka haya mabasi yanayolazimisha kuwa na vituo vyao binafsi mitaani baadhi yao kama sio mengi ya hayo wamebobea kwenye biashara za magendo/haramu. Mabasi haya yanatumika kusafirisha ama bidhaa haramu au watu haramu kwa taifa. Kwaajili ya usalama wa Taifa lazima wahakikishe kuwa abiria wanapandia na kushukia kwenye vituo maalumu vya mabasi vyenye miundombinu ya utambuzi na upekuzi wa watu na mizigo. Madawa ya kulevya, madini na nyara za serikali kama pembe za ndovu na faru zinasafirishwa kwa njia ya mabasi. Wahalifu wanapandia na kupakia kwenye vituo visivyo rasmi na kushukia na kuteremshia kwenye vituo visivyo na ulinzi wala utambuzi.WM = Mabasi yaruhusiwe kuwa na ofisi zao nje ya stendi.
MWMDSM = Marufuku mabasi kushushia abiria nje ya kituo cha mabasi kikuu.
Je, MWMDSM > WM?
Hiyo sawa, hata hivyo Dar kuna kituo kimoja tu cha kupakia na kushushia ambacho ni Magufuli stendi tu baasi. Ukitoka hapo Magufuli hakuna kituo kingine tena Dar es salaam hadi Mkuranga.Wenye mabasi wabadilishe vibali na kuandika destination yao ni Mkuranga toka wanapotoka. Iwe Tanga- Mkuranga, Arusha- Mkuranga na kwingine. Yawe yanapita hapo Mbezi na abiria wengine kuelekea huko. Sababu destination si Dar hakuna ambaye atalazimisha washukie stendi fulani kwa pamoja. Likitoka Mkuranga linapita zake Shekilango na kuchukua abiria wengine wa kutokea Dar kwenda mikoa mingine
Pale Tanga stendi kuu ya Kange wenye mabasi wanaleta abiria wao kutoka ofisi zao za katikati ya mji (Ngamiani) kwa mabasi madogo kwenda Stendi yaliko mabasi yao makubwa ya kwenda mikoa mingine. Hata hapa kuna ubaya gani mabasi madogo ya Mkuranga, Kisarawe, Mbande yasilete abiria Magufuli?Mkuu utaratibu wa kuchukuwa abiria ni jukumu la wamiliki wa bus,.na sio abiria.
Mfano south Africa.
Ukiwa Pretoria unataka kwenda labda durban au cape town..
Mfano umekata bus la intercape au lolote,
Bus zinaanzia joberg to Durban,,ila ukiwa utapanda bus lingine local ukifika Park station Joberg unabadilshiwa gari lingine la Durban...
Iwe pia hapa dar,kwamba kuna min buses zinabeba abiria toka mitaani zinaleta Magufuli bus terminal,wanabadilisha bus wanaendelea na safari..
Tatizo lipo wp?
Hakika mkuuPale Tanga stendi kuu ya Kange wenye mabasi wanaleta abiria wao kutoka ofisi zao za katikati ya mji (Ngamiani) kwa mabasi madogo kwenda Stendi yaliko mabasi yao makubwa ya kwenda mikoa mingine. Hata hapa kuna ubaya gani mabasi madogo ya Mkuranga, Kisarawe, Mbande yasilete abiria Magufuli?
Hata ukiingia Dar kama unashuka kituo cha njiani kabla kufika stendi utashushwa tu. Hivyo sehemu zote ambaxo basi litapita kwenye vituo vya kushukia na kupandia daladala, abiria atashushwa tuHiyo sawa, hata hivyo Dar kuna kituo kimoja tu cha kupakia na kushushia ambacho ni Magufuli stendi tu baasi. Ukitoka hapo Magufuli hakuna kituo kingine tena Dar es salaam hadi Mkuranga.
Vituo vya daladala ni vidogo kwa mabasi makubwa kusimama.Hata ukiingia Dar kama unashuka kituo cha njiani kabla kufika stendi utashushwa tu. Hivyo sehemu zote ambaxo basi litapita kwenye vituo vya kushukia na kupandia daladala, abiria atashushwa tu
Kwa Mujibu wako kama hawawezi kuvuka daraja lile wakae huko huko Mkoani, sio lazima waishi jijiniWanachotakiwa jiji na Mkuu wa Mkoa ni kusogeza karibu huduma za daladala karibu zaidi na stendi ya magufuli kuliko kule viliko vituo vya daladala; kuna watu hawawezi kupanda lile daraja ili kuvuka ng'ambo ya barabara wakapande daladala.
Kuiacha Gari Magomeni Mwembe chai ili uifate ukaandie Mbezi Louis kwa sababu Tu serikali inataka hovyo, ni akili za ajabu Sana.Shida sio Stand kuwa Magufuli,Shida Sio Gari kwenda Magufuli.
Shida ni Convenience.Private Bus Standa Ziwekewe Vigezo vya Msingi ili kuhakikisha Huduma zinakuwa bora na Pia Kuingia Stand ya Magufuli iwe ni Lazima.