Biashara ni demand na Supply. Serikali ya mkoa wakati inajenga stand ilizingatia demand kweli? Anyway, inatakiwa ikuze demand ya stand maana hata ukilazimisha demand itashinda tu. Utashangaa mabasi yanafika stand bila abiria.Duniani kote majijini kuna maisha ghali sana. Sio kila mtu anaweza kumudu gharama za kuishi kwenye majiji.
Kilichokuwa kinafanywa na wamiliki wa mabasi ya mikoani ni kulazimisha watu wenye uwezo mdogo kuishi DSM waweze kuishi DSM kwa gharama ndogo. Yaani wanamrahisishia mtu atoke na kifurushi chake cha mkaa kutoka kijijini kwao kwenye buti ya basi moja kwa moja hadi mbagala na Chanika anakoishi. Basi la mkoani kushusha abiria na mizigo kila kitu cha daladala jijini kunasababisha usumbufu kwa abiria wanaoshukia stendi kuu (wanachelewa kufika), kusababisha msongamano kwenye vituo vya daldadala na barabarani, kukosesha vipato wenye daladala, bajaj na bodaboda kwakuwa kwenye vituo vile wanapakia hata abiria wanaekwenda Mbagala na chamazi, na kuwanyima abiria wenye mabasi ya mikoani wanaopaki na kusubiria abiria kwenye stendi ya Magufuli.
Wanachotakiwa jiji na Mkuu wa Mkoa ni kusogeza karibu huduma za daladala karibu zaidi na stendi ya magufuli kuliko kule viliko vituo vya daladala; kuna watu hawawezi kupanda lile daraja ili kuvuka ng'ambo ya barabara wakapande daladala.
Bendera fata upepo.Duniani kote majijini kuna maisha ghali sana. Sio kila mtu anaweza kumudu gharama za kuishi kwenye majiji.
Kilichokuwa kinafanywa na wamiliki wa mabasi ya mikoani ni kulazimisha watu wenye uwezo mdogo kuishi DSM waweze kuishi DSM kwa gharama ndogo. Yaani wanamrahisishia mtu atoke na kifurushi chake cha mkaa kutoka kijijini kwao kwenye buti ya basi moja kwa moja hadi mbagala na Chanika anakoishi. Basi la mkoani kushusha abiria na mizigo kila kitu cha daladala jijini kunasababisha usumbufu kwa abiria wanaoshukia stendi kuu (wanachelewa kufika), kusababisha msongamano kwenye vituo vya daldadala na barabarani, kukosesha vipato wenye daladala, bajaj na bodaboda kwakuwa kwenye vituo vile wanapakia hata abiria wanaekwenda Mbagala na chamazi, na kuwanyima abiria wenye mabasi ya mikoani wanaopaki na kusubiria abiria kwenye stendi ya Magufuli.
Wanachotakiwa jiji na Mkuu wa Mkoa ni kusogeza karibu huduma za daladala karibu zaidi na stendi ya magufuli kuliko kule viliko vituo vya daladala; kuna watu hawawezi kupanda lile daraja ili kuvuka ng'ambo ya barabara wakapande daladala.
Hata esta nadhani kule chanika kama KawaHili nalo litapita,ma bus yenye majina na wenye majina yataingia kati kama kawaida.
Mabasi yatafika stendi bila watu kama mabasi hayo yatakuwa yanasisima kila mahali kushusha abiria na mzigigo yao, na kama daladala na mwendokasi hazitafika eneo la stendi. Kule viliko vituo vya daladala sio rafiki kwa abiria wanaoshukia stendi kuu ya Magufuli.Biashara ni demand na Supply. Serikali ya mkoa wakati inajenga stand ilizingatia demand kweli? Anyway, inatakiwa ikuze demand ya stand maana hata ukilazimisha demand itashinda tu. Utashangaa mabasi yanafika stand bila abiria.
uko sahihi 100%🤝Duniani kote majijini kuna maisha ghali sana. Sio kila mtu anaweza kumudu gharama za kuishi kwenye majiji.
Kilichokuwa kinafanywa na wamiliki wa mabasi ya mikoani ni kulazimisha watu wenye uwezo mdogo kuishi DSM waweze kuishi DSM kwa gharama ndogo. Yaani wanamrahisishia mtu atoke na kifurushi chake cha mkaa kutoka kijijini kwao kwenye buti ya basi moja kwa moja hadi mbagala na Chanika anakoishi. Basi la mkoani kushusha abiria na mizigo kila kitu cha daladala jijini kunasababisha usumbufu kwa abiria wanaoshukia stendi kuu (wanachelewa kufika), kusababisha msongamano kwenye vituo vya daldadala na barabarani, kukosesha vipato wenye daladala, bajaj na bodaboda kwakuwa kwenye vituo vile wanapakia hata abiria wanaekwenda Mbagala na chamazi, na kuwanyima abiria wenye mabasi ya mikoani wanaopaki na kusubiria abiria kwenye stendi ya Magufuli.
Wanachotakiwa jiji na Mkuu wa Mkoa ni kusogeza karibu huduma za daladala karibu zaidi na stendi ya magufuli kuliko kule viliko vituo vya daladala; kuna watu hawawezi kupanda lile daraja ili kuvuka ng'ambo ya barabara wakapande daladala.
Bro unabeba bata 2 kutoka kijijini unataka ukashushiwe Chanika iwe rahisi kwako.Bendera fata upepo.
Wewe ni mpuuzii... Magari haya luxury bus yalikua yana simama mfano magufuri stendi then shekilango stand.Duniani kote majijini kuna maisha ghali sana. Sio kila mtu anaweza kumudu gharama za kuishi kwenye majiji.
Kilichokuwa kinafanywa na wamiliki wa mabasi ya mikoani ni kulazimisha watu wenye uwezo mdogo kuishi DSM waweze kuishi DSM kwa gharama ndogo. Yaani wanamrahisishia mtu atoke na kifurushi chake cha mkaa kutoka kijijini kwao kwenye buti ya basi moja kwa moja hadi mbagala na Chanika anakoishi. Basi la mkoani kushusha abiria na mizigo kila kitu cha daladala jijini kunasababisha usumbufu kwa abiria wanaoshukia stendi kuu (wanachelewa kufika), kusababisha msongamano kwenye vituo vya daldadala na barabarani, kukosesha vipato wenye daladala, bajaj na bodaboda kwakuwa kwenye vituo vile wanapakia hata abiria wanaekwenda Mbagala na chamazi, na kuwanyima abiria wenye mabasi ya mikoani wanaopaki na kusubiria abiria kwenye stendi ya Magufuli.
Wanachotakiwa jiji na Mkuu wa Mkoa ni kusogeza karibu huduma za daladala karibu zaidi na stendi ya magufuli kuliko kule viliko vituo vya daladala; kuna watu hawawezi kupanda lile daraja ili kuvuka ng'ambo ya barabara wakapande daladala.
Hapa ndy serikali imepotea.Hili nalo litapita,ma bus yenye majina na wenye majina yataingia kati kama kawaida.
Tatizo la foleni Dasalam linasababishwa na ufinyu wa barabara. CCM wanakwepa jukumu lao la upanuzi na uboreshaji wa barabara na kuishia kuwahangaisha wenye mabasi bila sababu za msingi. Halafu huyu Chalamila hili jiji la Dasalama lilimshinda kitambo sana sijui kwanini hawamshtukii.Duniani kote majijini kuna maisha ghali sana. Sio kila mtu anaweza kumudu gharama za kuishi kwenye majiji.
Kilichokuwa kinafanywa na wamiliki wa mabasi ya mikoani ni kulazimisha watu wenye uwezo mdogo kuishi DSM waweze kuishi DSM kwa gharama ndogo. Yaani wanamrahisishia mtu atoke na kifurushi chake cha mkaa kutoka kijijini kwao kwenye buti ya basi moja kwa moja hadi mbagala na Chanika anakoishi.
Basi la mkoani kushusha abiria na mizigo kila kituo cha daladala jijini kunasababisha yafuatayo:
Ksumbufu kwa abiria wanaoshukia stendi kuu (wanachelewa kufika),
Kusababisha msongamano kwenye vituo vya daldadala na barabarani,
kukosesha vipato wenye daladala, bajaj na bodaboda kwakuwa kwenye vituo vile wanapakia hata abiria wanaekwenda Mbagala na chamazi,
kuwanyima abiria wenye mabasi ya mikoani wanaopaki na kusubiria abiria kwenye stendi ya Magufuli.
Wanachotakiwa jiji na Mkuu wa Mkoa ni kusogeza karibu huduma za daladala karibu zaidi na stendi ya magufuli kuliko kule viliko vituo vya daladala; kuna watu hawawezi kupanda lile daraja ili kuvuka ng'ambo ya barabara wakapande daladala.
Duniani kote majijini kuna maisha ghali sana. Sio kila mtu anaweza kumudu gharama za kuishi kwenye majiji.
Kilichokuwa kinafanywa na wamiliki wa mabasi ya mikoani ni kulazimisha watu wenye uwezo mdogo kuishi DSM waweze kuishi DSM kwa gharama ndogo. Yaani wanamrahisishia mtu atoke na kifurushi chake cha mkaa kutoka kijijini kwao kwenye buti ya basi moja kwa moja hadi mbagala na Chanika anakoishi.
Basi la mkoani kushusha abiria na mizigo kila kituo cha daladala jijini kunasababisha yafuatayo:
Ksumbufu kwa abiria wanaoshukia stendi kuu (wanachelewa kufika),
Kusababisha msongamano kwenye vituo vya daldadala na barabarani,
kukosesha vipato wenye daladala, bajaj na bodaboda kwakuwa kwenye vituo vile wanapakia hata abiria wanaekwenda Mbagala na chamazi,
kuwanyima abiria wenye mabasi ya mikoani wanaopaki na kusubiria abiria kwenye stendi ya Magufuli.
Wanachotakiwa jiji na Mkuu wa Mkoa ni kusogeza karibu huduma za daladala karibu zaidi na stendi ya magufuli kuliko kule viliko vituo vya daladala; kuna watu hawawezi kupanda lile daraja ili kuvuka ng'ambo ya barabara wakapande daladala.
Mambo ya kuwa na stendi moja mji nzima haina tofauti na zama zile za Duka la Kijiji, Mashine ya Kijiji, ....Hapa ndy serikali imepotea.
Nimesikia kwamba kuna baadhi ya mabus yenye kibali cha kupakia na kushusha abiria mjini.
Serikali ufute vibali vyote na iweke ni amri mabus yote yashushe na kupakia Magufuli terminal