Mzee basi gani lilikua lina simama kama daladala kushusha na kupakia abiria?
Chuma zikipakia kwenye ofisi zao ni kibati mpaka stendi kubwa na pia huwa ni asubuhi sana ambapo hata hiyo foleni hakuna, na jioni hawezi shusha njiana atakimwa faini lazima akushushe stendi.
Chanzo kikibwa cha foleni dar ni kontena za mizigo, bandari bubu zilizo hadi katikati ya mji, barabara za michepuko kuzibwa, ubovu wa barabara na utitiri wa machinga kwa baadhi ya barabara.