Mabeberu kazi kwisha, Rais Magufuli ni kiboko yenu

Mabeberu kazi kwisha, Rais Magufuli ni kiboko yenu

Poa 2

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Posts
1,317
Reaction score
1,320
Habari wana jf katika miaka yangu yote ya uhai hapa duniani na uzoefu nilio nao kuhusu awamu mbalimbali za serikali hapa tz yaani kuanzia awamu ya kwanza hadi hii awamu ya ajabu kabisa ya tano, awamu hii ndio imeongoza kwa kuwapuuza, kuwataja sana na hata kuwatukana sana mabeberu kuliko awamu nyingine zote zilizopita na pengine awamu zijazo.

Ni sawa na kusema mabeberu wamepata kiboko yako, sasa na mimi leo ninaomba kuwalaumu na kuwalaani sana hawa mabeberu, kwanza nijuacho mimi ni kwamba mifumo mbalimbali ya serikali za kiafrika hasa tanzania ni matokeo ya hawa mabeberu yaani mfumo wa elimu, sheria, mipaka ya nchi zetu,mifumo ya siasa, demokrasia, dini zetu hasa ukristo,makomandoo wetu wanafundishwa mbinu za kivita na hawahawa mabeberu, sayansi na teknolojia n.k.

Pili wanaendelea kutoa misaada mbalimbali kwa nchi yetu kama vile vidonge vya kupunguza makali ya ukimwi, neti kwa ajili ya kupambana na malaria, chanjo mbalimbali n.k kama nilivyotangulia kusema hii ni mada ya kuwalaumu sana mabeberu kwamba RAISI wetu amekuwa mtu mwenye jeuri asiyependa kushauriwa amevuruga mahusiano yetu anakanyaga katiba yetu anatupiga ,kutuua na kutupa vilema apendavyo juzi kaharibu chaguzi zetu na kujibakiza madarakani kwa nguvu, nyie mabeberu ni kweli hamna cha kumfanya huyu mtu au na nyie mpo upande wake?

Nchi zenu ,nyie mabeberu ni waathirika wakubwa wa hawa watu aina ya magufuli yaani kina Hitler, Mussolini na wengine kwamba madhara Huwa sio kwa nchi zao tu Bali dunia nzima huathirika pale matokeo ya udikteta yanapojitokeza, kiukweli kabisa simlaumu magufuli kwa haya anayoyafanya bali ninawalaumu nyie mabeberu kwa kuwa mifumo yenu hasa DEMOKRASIA inadharauliwa, inakanyangwa, na inaharibiwa, na Magufuli huku mnachekelea na kuendelea kumsapoti ili aendelee kutunyoosha. Ninaamini mkiamua kutusaidia watz kabla ya nchi yetu kuvurugwa zaidi mnaweza please hebu fanyeni kitu kwa huyu mwamba asiyejielewa!! Ni Imani yangu kuwa huyu jiwe Hana mda mrefu wa kuendelea kututesa watanzania tusiokuwa na hatia. Eee! Mwenyez Mungu bariki mipango yote iende Kama itakavyo pangwa kutokea nje na kutekelezwa na wakora was ndani kwa ustadi mkubwa

MABEBERU MUNGU ANAWAONA haya yalikuwa mawazo ya kichaa mmoja hivi kutokea ikhanoda 😂😂😂😂😂😂 AU NASEMA UONGO NDUGU ZANGU mi5tena ataimalizia akiwa KUZIMU.

NB. Mabeberu msipoingilia kati tz kuhusu janga hili la korona basi tanzania itaangamia hivihivi mbele ya Macho yenu na dunia kwa ujumla
JIWEMUSTGOTOHELL
 
Mkuu,umetisha waache tu waendelee kutia pamba masikioni
Kazi yao mkuu kutisha watu wameanza kuwatisha na viongozi wa dini badala ya kuchukua hatua wao ni maonyo tu
 
Kazi yao mkuu kutisha watu wameanza kuwatisha na viongozi wa dini badala ya kuchukua hatua wao ni maonyo tu
Hakuna anayetishwa hapo soma vizuri Hilo bandiko kwanza
 
Ufipa bana...yaani hawa ndo wanaharakati wenu wanaotegemea beberu lao ndo lije kuisaidia Tanzania...ndo changamoto ya kua na mwenyekiti mla bapa hadi watoto wanazaliwa na akili za bange tu
 
Corona ipo tujitahidi kijikinga kila mtu awezavyo, sio kutuhumu serikali kwa kila jambo au kuomba mataifa yaingilie kwani hakuna taifa lolote duniani ambalo liko kamili kwa asilimia 100 katika kupambana na corona, by the way pamoja na mapungufu ya serikali ya awamu ya tano bado athari ya corona sio kubwa kulingana na mataifa mengine, hata kipindi hiki cha tatizo la corona bado Tanzania imefanya vizuri kiuchumi, maana yake effects ya corona nchini haikuwa kubwa, sasa ya nini kutaka mataifa yangilie kati katika nchi ambayo athari za corona ni kidogo? kwa nini tusichukue hatua sisi wenyewe kuepuka misongamano na kuvaa hayo mabarakoa?

 
Sasa hivi CCM uso kwa uso na Kanisa Katoliki
Hio vita CCM wanaangukia pia asubuhi tu
Haijawahi kutokea Waumini wa Ibilisi kuwashinda Waumini wa Mungu
Vipi?

Kidumu chako cha petrol ulikitumia? Maana ulisema Lisu asipotangzwa patachimbika
 
Ufipa bana...yaani hawa ndo wanaharakati wenu wanaotegemea beberu lao ndo lije kuisaidia Tanzania...ndo changamoto ya kua na mwenyekiti mla bapa hadi watoto wanazaliwa na akili za bange tu
Baba yako jiwe Hawajui hata mabeberu anaowaimba kila siku sembuse wewe zezeta wa lumumba
 
Umejuaje tatizo la korona ni dogo kulinganisha na mataifa mengine wakati hupimi wala kutoa takwimu za ugonjwa halafu pia umeona ripoti /Twitter ya juzi ya world bank tanzania?
 
Back
Top Bottom