Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya iliyo andika, ni rushwa! Rushwa siyo lazima iwe ni ya hela au ya ngono. Haya mawazo yako ni rushwa.Sasa hivi CCM uso kwa uso na Kanisa Katoliki
Hio vita CCM wanaangukia pua asubuhi tu
Haijawahi kutokea Waumini wa Ibilisi kuwashinda Waumini wa Mungu
Huna jipya endelea kukariri maelezo ya wajingaH
HUko marekani walipima na wanapata taarifa kila siku lakini walikataa kukaa lockdown na wengine hawavai barakoa mpaka wanalazimishwa sasa hapo huwa wamepungukiwa nini?
Je unaeeza kunambia huko watu wameacha kufa kwa kuwa wanapewa taarifa?
Je wewe hujui kama corona ipo na inaua?
Je unashindia nyumbani kwako au unazurura mtaani huku unalazimisha taarifa?
Ninamuombea raisi wangu atupitishe salama katika kipindi hiki.
Wakati yeye mwenyewe hajui kama atavuka salama halafu utamwombea mpaka lini mtu asiyekujali,kukupenda wala kukuheshimu mwananchi, maombi mengine ni kujiletea mikosi tu ni sawa na kumuombea shetani aende peponi.Ninamuombea raisi wangu atupitishe salama katika kipindi hiki.
Naamini hujamuelewa alicho maanisha!Wakati yeye mwenyewe hajui kama atavuka salama halafu utamwombea mpaka lini mtu asiyekujali,kukupenda wala kukuheshimu mwananchi, maombi mengine ni kujiletea mikosi tu ni sawa na kumuombea shetani aende peponi.
Trump ni bogus kama ni mzuri kwenye biashara na sio kwenye leadershipMie JPM namfananisha sana na Trump, tofauti yao ni rangi na mmoja ana kipara mwengine ana nywele za bandia. Lakini style zao za uongozi na mihemko ya kukurupuka ni sawa sawa.
Unataka Rais anayekujali afanye nini? Mbona Rais aliyeachilia madawa ya kulevya yakasambazwa nchi nzima na kuathiri vijana leo mnamsifia? Wamachinga waligeuzwa kuwa takataka na kufukuzwa kama vibaka, leo tunaye Rais anayesema wamachinga ni ndugu zetu tusiwanyanyapae, alafu mnasema hana upendo ni upendo gani zaidi ya huo?Wakati yeye mwenyewe hajui kama atavuka salama halafu utamwombea mpaka lini mtu asiyekujali,kukupenda wala kukuheshimu mwananchi, maombi mengine ni kujiletea mikosi tu ni sawa na kumuombea shetani aende peponi.
Wewe umejuaje kama huku kuna misiba michache,je unajua population ya kule na huku?Ni upumbau kuomna msaada kwa mtu ambaye yeye misiba kwake ni mingi kuliko wewe mwenyewe,
Mtu kafiwa watotot kumi wewe unefiwa mtiti mmoja kisha unaenda kyomba msaada kwa mwenye misiba mingi sasa nani hana akiri hapo?
Si bora kuwalipisha 20 elfu kuliko kuwafukuza kama mbwa.Unawajali wamachinga kwa kuwalipisha 20 elfu halafu Hawatambui unakozipelekezea hizo pesa? Mpaka SASA mmekusanya sh. Ngap ziko wapi? Au zimefanya kazi gani? Mkuu pia inshu ya madawa mpaka sasa amefungwa kambale gani zaidi ya kusingizia na kuwachafua watu
Sawa ni mawazo yako lkn ukweli ni kwamba usumbuFU wanaopata wamachinga ni zaidi ya maneno ya majukwaani ya stone ukiwauliza kipi bora kulipa 20 elfu na kukimbiza na kitambo wangechagua njia no. 2😄😄😄😄😄Si bora kuwalipisha 20 elfu kuliko kuwafukuza kama mbwa.
Si bora kuwalipisha 20 elfu kuliko kuwafukuza kama mbwa.
Wote wana staili za kukurupuka, mara kaamka leo anawambia wananchi wachome sindano za jiki. Ni sawa na JPM anataka kutibu maradhi ya kisayansi kwa miti shamba.Trump ni bogus kama ni mzuri kwenye biashara na sio kwenye leadership