Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
From Mumbai to JNIAView attachment 1724227Habari wana jf katika miaka yangu yote ya uhai hapa duniani na uzoefu nilio nao kuhusu awamu mbalimbali za serikali hapa tz yaani kuanzia awamu ya kwanza hadi hii awamu ya ajabu kabisa ya tano, awamu hii ndio imeongoza kwa kuwapuuza, kuwataja sana na hata kuwatukana sana mabeberu kuliko awamu nyingine zote zilizopita na pengine awamu zijazo.
Ni sawa na kusema mabeberu wamepata kiboko yako, sasa na mimi leo ninaomba kuwalaumu na kuwalaani sana hawa mabeberu, kwanza nijuacho mimi ni kwamba mifumo mbalimbali ya serikali za kiafrika hasa tanzania ni matokeo ya hawa mabeberu yaani mfumo wa elimu, sheria, mipaka ya nchi zetu,mifumo ya siasa, demokrasia, dini zetu hasa ukristo,makomandoo wetu wanafundishwa mbinu za kivita na hawahawa mabeberu, sayansi na teknolojia n.k.
Pili wanaendelea kutoa misaada mbalimbali kwa nchi yetu kama vile vidonge vya kupunguza makali ya ukimwi, neti kwa ajili ya kupambana na malaria, chanjo mbalimbali n.k kama nilivyotangulia kusema hii ni mada ya kuwalaumu sana mabeberu kwamba RAISI wetu amekuwa mtu mwenye jeuri asiyependa kushauriwa amevuruga mahusiano yetu, anakanyaga katiba yetu anatupiga ,kutuua na kutupa vilema apendavyo juzi kaharibu chaguzi zetu na kujibakiza madarakani kwa nguvu, nyie mabeberu ni kweli hamna cha kumfanya huyu mtu au na nyie mpo upande wake?
Nchi zenu ,nyie mabeberu ni waathirika wakubwa wa hawa watu aina ya magufuli yaani kina Hitler, Mussolini na wengine kwamba madhara Huwa sio kwa nchi zao tu Bali dunia nzima huathirika pale matokeo ya udikteta yanapojitokeza, kiukweli kabisa simlaumu magufuli kwa haya anayoyafanya bali ninawalaumu nyie mabeberu kwa kuwa mfumo yetu inadharauliwa, inakanyangwa, na inaharibiwa, huku mnachekelea na kuendelea kumsapoti ili aendelee kutunyoosha.
MABEBERU MUNGU ANAWAONA haya yalikuwa mawazo ya kichaa mmoja hivi kutokea ikhanoda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] AU NASEMA UONGO NDUGU ZANGU mi5tena
NB. Mabeberu msipoingilia kati tz kuhusu janga hili la korona basi tanzania itaangamia hivihivi mbele ya Macho yenu na dunia kwa ujumla
Mpigeni rada jiwe na mtuambie yuko wapi sio unanitisha mm hapa mkuuFrom Mumbai to JNIAView attachment 1724227View attachment 1724228
Kwani mimi kuna sehemu nimemtaja jiwe?Mpigeni rada jiwe na mtuambie yuko wapi sio unanitisha mm hapa mkuu
Nmeonesha kuwa ndege ya Airtanzania ipo njia kutoka Mumbay na soon itatua JNIA. Jiwe anaingiaje hapo?Picha uliyoiweka hapa una maanisha nini
Kwamba amewashinda mabeberu???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Waafrika bhana...Picha uliyoiweka hapa una maanisha nini
Subiri muda usogeesongee utajua inahusiana vp?Airtanzania kutoka Mumbai to JNIA inahusiana kipi na mada yangu mkuu
Labda ndicho anachomaanisha 😂😂😂😂😂Kwamba amewashinda mabeberu???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Waafrika bhana...
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Nafikiri next kukamatawa utakua ni wewe kaa chonjo.......... kwa habari za uzushiNmeonesha kuwa ndege ya Airtanzania ipo njia kutoka Mumbay na soon itatua JNIA. Jiwe anaingiaje hapo?
Uzushi upi? Kwani hiyo ndege haikuwa angani jana?Nafikiri next kukamatawa utakua ni wewe kaa chonjo.......... kwa habari za uzushi
hayo utayaeleza huko mbele,,,,,,,,,,,,,Uzushi upi? Kwani hiyo ndege haikuwa angani jana?
Hahahhahahahahhayo utayaeleza huko mbele,,,,,,,,,,,,,
jiandae tu... mpaka wote mkamilike idadi mnaozusha habari za uwongoHahahhahahahah
Loh. unapoteza muda wako. Polejiandae tu... mpaka wote mkamilike idadi mnaozusha habari za uwongo
Irudie tena. Nimeipenda hiyoUfipa bana...yaani hawa ndo wanaharakati wenu wanaotegemea beberu lao ndo lije kuisaidia Tanzania...ndo changamoto ya kua na mwenyekiti mla bapa hadi watoto wanazaliwa na akili za bange tu