Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Beberu ni kitu cha kufikirika, sio maada ndo maana hakuna anayeweza kumnyoshea huyo beberu kidole. Ndo maana balozi zao ziko kimya. Ni kama mtu anayelalamikia wachawi, ni wa kuhurumiwa tu.Baba yako jiwe Hawajui hata mabeberu anaowaimba kila siku sembuse wewe zezeta wa lumumba
Endelea kujimwambafai 😅😅😅😅😅kama alivyokuwa hayatiBeberu ni kitu cha kufikirika, sio maada ndo maana hakuna anayeweza kumnyoshea huyo beberu kidole. Ndo maana balozi zao ziko kimya. Ni kama mtu anayelalamikia wachawi, ni wa kuhurumiwa tu.
Jicho moja😆😆😆😆😆😆Taratibu jamani, kuna watu wameumia kweli kweli...!
View attachment 1742794
Kuna watu wanaweza kujinyonga...kubwa lao (godfather) hafi peke yake!
Chanjo mtachanjwa na hakuna mbabe kwenye Hilo we endelea kula Maharage uje kujamba humu jf ng'ombe wa kisukuma ww😅😅😅😅😅😅😅Nendeni kwa wake zenu mabeberu sisi hatuangamii Kama mnavyoota tupo imara Kama jpm alivuotuacha hayo machanjo yenu ya mabeberu nendeni Kenya kwa wenzenu mnaofanana nao akili mkachanjwe shwain Nyie[emoji3590][emoji1241]
kachanjwe wewe na ukoo wako ......................Chanjo mtachanjwa na hakuna mbabe kwenye Hilo we endelea kula Maharage uje kujamba humu jf ng'ombe wa kisukuma ww😅😅😅😅😅😅😅
Bi-shosti bado una upupu huu ulioandika hapo juu? au umebadili msimamo?Habari wana jf katika miaka yangu yote ya uhai hapa duniani na uzoefu nilio nao kuhusu awamu mbalimbali za serikali hapa tz yaani kuanzia awamu ya kwanza hadi hii awamu ya ajabu kabisa ya tano, awamu hii ndio imeongoza kwa kuwapuuza, kuwataja sana na hata kuwatukana sana mabeberu kuliko awamu nyingine zote zilizopita na pengine awamu zijazo.
Ni sawa na kusema mabeberu wamepata kiboko yako, sasa na mimi leo ninaomba kuwalaumu na kuwalaani sana hawa mabeberu, kwanza nijuacho mimi ni kwamba mifumo mbalimbali ya serikali za kiafrika hasa tanzania ni matokeo ya hawa mabeberu yaani mfumo wa elimu, sheria, mipaka ya nchi zetu,mifumo ya siasa, demokrasia, dini zetu hasa ukristo,makomandoo wetu wanafundishwa mbinu za kivita na hawahawa mabeberu, sayansi na teknolojia n.k.
Pili wanaendelea kutoa misaada mbalimbali kwa nchi yetu kama vile vidonge vya kupunguza makali ya ukimwi, neti kwa ajili ya kupambana na malaria, chanjo mbalimbali n.k kama nilivyotangulia kusema hii ni mada ya kuwalaumu sana mabeberu kwamba RAISI wetu amekuwa mtu mwenye jeuri asiyependa kushauriwa amevuruga mahusiano yetu anakanyaga katiba yetu anatupiga ,kutuua na kutupa vilema apendavyo juzi kaharibu chaguzi zetu na kujibakiza madarakani kwa nguvu, nyie mabeberu ni kweli hamna cha kumfanya huyu mtu au na nyie mpo upande wake?
Nchi zenu ,nyie mabeberu ni waathirika wakubwa wa hawa watu aina ya magufuli yaani kina Hitler, Mussolini na wengine kwamba madhara Huwa sio kwa nchi zao tu Bali dunia nzima huathirika pale matokeo ya udikteta yanapojitokeza, kiukweli kabisa simlaumu magufuli kwa haya anayoyafanya bali ninawalaumu nyie mabeberu kwa kuwa mifumo yenu hasa DEMOKRASIA inadharauliwa, inakanyangwa, na inaharibiwa, na Magufuli huku mnachekelea na kuendelea kumsapoti ili aendelee kutunyoosha. Ninaamini mkiamua kutusaidia watz kabla ya nchi yetu kuvurugwa zaidi mnaweza please hebu fanyeni kitu kwa huyu mwamba asiyejielewa!!
MABEBERU MUNGU ANAWAONA haya yalikuwa mawazo ya kichaa mmoja hivi kutokea ikhanoda 😂😂😂😂😂😂 AU NASEMA UONGO NDUGU ZANGU mi5tena
NB. Mabeberu msipoingilia kati tz kuhusu janga hili la korona basi tanzania itaangamia hivihivi mbele ya Macho yenu na dunia kwa ujumla
ulimjibu siku moja kabla ya God kumchukua JPMUnamkumbuka.
Saddam?
Ghadadaf?
Mugabe je?
Sembuse huyu asojua kiswahili. Wala kingereza?
Soma vizuri kuhusu globalization wewe. Tanzania ni sawa na unnywele mmoja tu duniani? Waulize waliomdanganya kambarage
Itawakosti eeh, yuko wapi?na itawacost soon endeleeni kutoa mada za kifala kama hizi tunaendelea kurekodi .................
aisee jiwe yu wapi?Usitukane hovyo kwamba mwandishi ni tahira kumbe wewe ndio kilaza kwa kushindwa kumwelewa mwandishi 😅😅😅😅😅😅😅
Deal doneHabari wana jf katika miaka yangu yote ya uhai hapa duniani na uzoefu nilio nao kuhusu awamu mbalimbali za serikali hapa tz yaani kuanzia awamu ya kwanza hadi hii awamu ya ajabu kabisa ya tano, awamu hii ndio imeongoza kwa kuwapuuza, kuwataja sana na hata kuwatukana sana mabeberu kuliko awamu nyingine zote zilizopita na pengine awamu zijazo.
Ni sawa na kusema mabeberu wamepata kiboko yako, sasa na mimi leo ninaomba kuwalaumu na kuwalaani sana hawa mabeberu, kwanza nijuacho mimi ni kwamba mifumo mbalimbali ya serikali za kiafrika hasa tanzania ni matokeo ya hawa mabeberu yaani mfumo wa elimu, sheria, mipaka ya nchi zetu,mifumo ya siasa, demokrasia, dini zetu hasa ukristo,makomandoo wetu wanafundishwa mbinu za kivita na hawahawa mabeberu, sayansi na teknolojia n.k.
Pili wanaendelea kutoa misaada mbalimbali kwa nchi yetu kama vile vidonge vya kupunguza makali ya ukimwi, neti kwa ajili ya kupambana na malaria, chanjo mbalimbali n.k kama nilivyotangulia kusema hii ni mada ya kuwalaumu sana mabeberu kwamba RAISI wetu amekuwa mtu mwenye jeuri asiyependa kushauriwa amevuruga mahusiano yetu anakanyaga katiba yetu anatupiga ,kutuua na kutupa vilema apendavyo juzi kaharibu chaguzi zetu na kujibakiza madarakani kwa nguvu, nyie mabeberu ni kweli hamna cha kumfanya huyu mtu au na nyie mpo upande wake?
Nchi zenu ,nyie mabeberu ni waathirika wakubwa wa hawa watu aina ya magufuli yaani kina Hitler, Mussolini na wengine kwamba madhara Huwa sio kwa nchi zao tu Bali dunia nzima huathirika pale matokeo ya udikteta yanapojitokeza, kiukweli kabisa simlaumu magufuli kwa haya anayoyafanya bali ninawalaumu nyie mabeberu kwa kuwa mifumo yenu hasa DEMOKRASIA inadharauliwa, inakanyangwa, na inaharibiwa, na Magufuli huku mnachekelea na kuendelea kumsapoti ili aendelee kutunyoosha. Ninaamini mkiamua kutusaidia watz kabla ya nchi yetu kuvurugwa zaidi mnaweza please hebu fanyeni kitu kwa huyu mwamba asiyejielewa!! Ni Imani yangu kuwa huyu jiwe Hana mda mrefu wa kuendelea kututesa watanzania tusiokuwa na hatia. Eee! Mwenyez Mungu bariki mipango yote iende Kama itakavyo pangwa kutokea nje na kutekelezwa na wakora was ndani kwa ustadi mkubwa
MABEBERU MUNGU ANAWAONA haya yalikuwa mawazo ya kichaa mmoja hivi kutokea ikhanoda 😂😂😂😂😂😂 AU NASEMA UONGO NDUGU ZANGU mi5tena ataimalizia akiwa KUZIMU.
NB. Mabeberu msipoingilia kati tz kuhusu janga hili la korona basi tanzania itaangamia hivihivi mbele ya Macho yenu na dunia kwa ujumla
JIWEMUSTGOTOHELL
... unaanzisha hii post yuko ICU!Habari wana jf katika miaka yangu yote ya uhai hapa duniani na uzoefu nilio nao kuhusu awamu mbalimbali za serikali hapa tz yaani kuanzia awamu ya kwanza hadi hii awamu ya ajabu kabisa ya tano, awamu hii ndio imeongoza kwa kuwapuuza, kuwataja sana na hata kuwatukana sana mabeberu kuliko awamu nyingine zote zilizopita na pengine awamu zijazo.