Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati huo hupimi, hutoi takwimu na unaendelea kujigamba hakuna ugonjwa wala Vifo nchini mwako? Yaani huo ni zaidi ya ukichaaNi upumbau kuomna msaada kwa mtu ambaye yeye misiba kwake ni mingi kuliko wewe mwenyewe,
Mtu kafiwa watotot kumi wewe unefiwa mtiti mmoja kisha unaenda kyomba msaada kwa mwenye misiba mingi sasa nani hana akiri hapo?
Huu uwanja unaotumia kuwaponda mabeberu umetengenezwa na waoNi sawa na kusema mabeberu wamepata kiboko yako, sasa na mimi leo ninaomba kuwalaumu na kuwalaani sana hawa mabeberu, kwanza nijuacho mimi ni kwamba mifumo mbalimbali ya serikali za kiafrika hasa tanzania ni matokeo ya hawa mabeberu yaani mfumo wa elimu, sheria, mipaka ya nchi zetu,mifumo ya siasa, demokrasia, dini zetu hasa ukristo,makomandoo wetu wanafundishwa mbinu za kivita na hawahawa mabeberu, sayansi na teknolojia n.k.
Serikali ikikupa data wewe zitakusaidia nini? hizo data zinahitajika kwa makampuni yale yale yajue Tz wanahitaji dawa kiasi gani,chanjo kiasi gani ,duniani hii wako busy kufanya biashara, corona ni ugonjwa pia ni fursa kwa mataifa hayo makubwa, kasome waraka wa balozi wa USA anataka data kwa sababu zipi? yeye anataka akuuzie chanjo tu hana muda na wewe, ndio maana hata WHO haina muda wa kulaumu na kukemea chimbuko la ugonjwa wa corona, kwa kuwa nae anatumika kufanya biashara anahamasisha kila nchi zitoe data ili makampuni makubwa yauze chanjo, ni hii issue ni serious, hapo trillions za pesa zinatafutwa zitaondoa watu.Umejuaje tatizo la korona ni dogo kulinganisha na mataifa mengine wakati hupimi wala kutoa takwimu za ugonjwa halafu pia umeona ripoti /Twitter ya juzi ya world bank tanzania?
Kwao yamewashinda, halafu tutegemee mbinu zao ambazo waliozitumia hazikuwasaidia!Mkuu,umetisha waache tu waendelee kutia pamba masikioni
Ukipima hutaambukizwa au ukipewa takwimu hutaugua hiyo corona?Wakati huo hupimi, hutoi takwimu na unaendelea kujigamba hakuna ugonjwa wala Vifo nchini mwako? Yaani huo ni zaidi ya ukichaa
Sasa mikwara yote ile ilikuwa ya nini?Usinikumbushe ule Wizi wa Maboksi ya Kura zetu halafu kutupiga na vitako vya Bunduki mpaka tunapoteza fahamu sio Utanzania ila furahini kwa sasa
heee kumbe mw kiti cdm ana Vuta bangi,basi wako wengi uliza vizuri.Ufipa bana...yaani hawa ndo wanaharakati wenu wanaotegemea beberu lao ndo lije kuisaidia Tanzania...ndo changamoto ya kua na mwenyekiti mla bapa hadi watoto wanazaliwa na akili za bange tu
Data au takwimu zinasaidia kujua ukubwa wa tatizo na kuchukua tahadhari stahikiSerikali ikikupa data wewe zitakusaidia nini? hizo data zinahitajika kwa makampuni yale yale yajue Tz wanahitaji dawa kiasi gani,chanjo kiasi gani ,duniani hii wako busy kufanya biashara, corona ni ugonjwa pia ni fursa kwa mataifa hayo makubwa, kasome waraka wa balozi wa USA anataka data kwa sababu zipi? yeye anataka akuuzie chanjo tu hana muda na wewe, ndio maana hata WHO haina muda wa kulaumu na kukemea chimbuko la ugonjwa wa corona, kwa kuwa nae anatumika kufanya biashara anahamasisha kila nchi zitoe data ili makampuni makubwa yauze chanjo, ni hii issue ni serious, hapo trillions za pesa zinatafutwa zitaondoa watu.
Waache wiziSasa mikwara yote ile ilikuwa ya nini?
HUko marekani walipima na wanapata taarifa kila siku lakini walikataa kukaa lockdown na wengine hawavai barakoa mpaka wanalazimishwa sasa hapo huwa wamepungukiwa nini?Kupima na kutoa takwimu kunasaidia kujua hali ya ugonjwa hivyo kuchukua hatua sahihi
Tumefikishwa huko na utawala mbovuUsinikumbushe ule Wizi wa Maboksi ya Kura zetu halafu kutupiga na vitako vya Bunduki mpaka tunapoteza fahamu sio Utanzania ila furahini kwa sasa