"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

Mtu na akili zake timamu anarudi nyumbani anakuta nyumba yao inapigwa mnada na bank

kwasababu baba alikopa kashndwa rudsha mkopo,jitu linafurahia linachekelea meno nnje nnje

jitu la namna hii unafkiri kuna haja yakupima akili zake? ni direct unamuandikia dose ya kichaa

and immediately unaita ambulance ije ibebe mtu wao ikimbize dodoma MIREMBE HOSPITAL.
 
Wa kuitoa CCM ikulu alikuwa ni Lowassa 2015 baada ya kushindwa itaendelea kupeta.

Lowassa alikuwa ni mwanasiasa aliyepikwa akaiva, anayo personality ambayo Lissu hana hata robo.

Wazungu watakuwa wanahitaji msaada wa kisaikolojia kama wanadhani Lissu ni presidential material labda huko Twitter na instagram.
 
KumbukaZimbabwe ilikuwa nchi tajiri kusini mwa
Kama baba alichukua mkopo halafu hela akawa anavinjari ni vidanga na wanae wanaungaunga tu bora iuzwe Sisi watoto tutaenda kwa wajomba zetu
Yaani yakitokea Mambo lazima wazee wa Mavi 8 waisome namba
 
Duh! Mpaka nimecheka kama huu ndio uchambuzi wa msomi. Watanzania tuna matatizo makubwa ya akili. Endeleeni kumdanganya jiwe
 
Have you then questioned your brain why such investment directed and happened in China but not Cameron, Togo or Guatemala? Yes, all are equal but SOME are more equal.

Because Chinese themselves have made it possible to attract the investments. Tusidanganyane hapa kwamba walisaidiwa na awaye yoyote. Chinese have paid the ultimate sacrifice for their country to be where it is. Hakuna mjomba wala shangazi wa kumsikilizia.
 
X Ray mtatumia tv asilia POA
MRA mtatumia Nini?
CT Scan je?
ECG mtafanyia Nini?
Msijifananishe na wachina wakati nyie hamna hata kiwanda Cha tooth pick
Ulivyoandika unadhihirisha chuki na uwezo mdogo wa kutafsiri Mambo.
Hivyo vitu marekani tu ndo mtengenezaji?

Dunia ya Sasa hakuna kikwazo marekani ataweka kikafanya kazi,Ni enzi za miaka ya tisini huko walikua wanaringia wataalamu.

Dunia imejitosheleza Sana kwa Sasa,unataka mtu afate natakiwa yake kisa visaada vyake ambavyo anatoa mkono wa kulia na kurudisha mkono wa kushoto?kumtegemea marekani kwenu ipo siku atawakata makende na kuwataka wake zenu
 
Usiifananishe Tanzania ya sasa na China, bado hatujawafikia wale watu.

Hao investors ndio wanakuwa frustrated everyday, wanasema tu midomoni wanavutia wawekezaji lakini matendo yao yana suggest tofauti, mfano Dangote.

Ninaangalia path ya China
Chinese waliwakataa hata USSR wakati wote walikuwa ni wakomunist. Ninaposema tuangalie kwanini China inapata investment, namaanisha tuweke mazingira mazuri ya kuvutia uwekezaji. Lazima watakuja
 
Hahahhahaa. Hivi wewe unajuwa hata kinachoendelea ulimwenguni kweli zaidi ya kufahamu kuwa Magufuli Ni Rais😀😀😀😀😀
Najua kwel kweli kuliko unavyodhania wakitunyima fedha za misaada tutakopa katika mabenki ya duniani kwa riba nafuu ya 3%-4% narudia tena wakitunyima kuuza nje na kununua nje hapo tutadhurika kwa kwasi ya ajabu sana BUT WHY THATS ALL?
 
Hahahhahaa. Hivi wewe unajuwa hata kinachoendelea ulimwenguni kweli zaidi ya kufahamu kuwa Magufuli Ni Rais😀😀😀😀😀
Hata jiwei hajui kinachoendelea.... matamko yote yanatolewa kwa ung'eng'e wapambe wanaogopa kumtafsiria
Kwanza jiwe ukimwambia diplomasia hata hajui ni nini
 
Matakaga sijui watakuelewa?
Zimbabwe mkate na kilo moja ta sukari ulipanda bei hadi milioni 2
 
Mku kwa hiyo hapo Zimbabwe ilipo kwa sasa ni miaka ni miaka ya Tisini sio.
Vikwazo ni vikwazo haijalishi inawekwa lini.
Kenya waliliona hili wakaja hand shaking ambayo imewapelekea kuwa hapo walipo kwa sasa.
Watanzania kuombana msamaha ni kawaida yetu sio kejeli au jeuri itakayotuvusha tukiwa wamoja kama taifa.
Tukumbuke Itikadi zimesha wagawa watu ukitaka kujua hilo wangalie viongozi wetu wa kitaifa wanapopata muda wakuongea mara nyingini ni maneo ya kufikirisha na hayo yote ni sababu za kiitikadi wanazoishi nazo rohoni mwao yaani wafuasi na viongozi wao
 
mbolea imeingia nyingi sana tutalima chakula cha kutosha na hivi mungu anatusaidia mvua ya kutosha tunauhakika hao mabeberu watakula wenyewe mavyakula yao
 
Uwezo wako mdogo wa kufikiri.
Washawishiwe kwa mabalozi wao hapa nchini wanafanyakazi gani?
 
Unapoanza safari yoyote anaanza na hatua kumi ama hatua moja?
 
Matakaga sijui watakuelewa?
Zimbabwe mkate na kilo moja ta sukari ulipanda bei hadi milioni 2
Tatizo jiwe hajui kama kuna kitu kinaendelea.... Wahisani matamko yao ni kilugha na wapambe wanaogopa kumtafsiria...
Kwanza jiwe ukimwambia diplomasia hata hajui ni nini
Tanzanian kazi tunayo

I am just saying,,,,,,,,,,,............. 😎
 
Wazungu hawawezi wala hawasubutu hata dakika moja kuiwekea vikwazo Tanzania,hilo halipo watababaisha sikumbili tatu imetoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…