Nimesema mara nyingi sanaMagombe mpaka yaelewe ujuwe mengi yeshapigwa bakora. Wacha mabeberu yaanze kuwakemea ,halafu hawafichi wanakupa makavu.
CCM mnatupeleka kwenye janga hamuoni hata hela ya kulipana posho itaadimika,mwisho mtajitolea mwisho mtaanza kuambizana kafanye mwenyewe.
Benki gani ya duniani ambayo Marekani akiamua usikope unaweza kukopa? Labda NMB Bank😀😀😀😀😀😀Najua kwel kweli kuliko unavyodhania wakitunyima fedha za misaada tutakopa katika mabenki ya duniani kwa riba nafuu ya 3%-4% narudia tena wakitunyima kuuza nje na kununua nje hapo tutadhurika kwa kwasi ya ajabu sana BUT WHY THATS ALL?
Hamna vikwazo na Kuna hospital tele za wilaya, na mkoa hazina MRI, CT Scan etc je mkiwekewa vikwazo mtazipata wapi? Mwenyekiti wenu anaenda kuua watu kwa utamu wa madaraka.Ulivyoandika unadhihirisha chuki na uwezo mdogo wa kutafsiri Mambo.
Hivyo vitu marekani tu ndo mtengenezaji?
Dunia ya Sasa hakuna kikwazo marekani ataweka kikafanya kazi,Ni enzi za miaka ya tisini huko walikua wanaringia wataalamu.
Dunia imejitosheleza Sana kwa Sasa,unataka mtu afate natakiwa yake kisa visaada vyake ambavyo anatoa mkono wa kulia na kurudisha mkono wa kushoto?kumtegemea marekani kwenu ipo siku atawakata makende na kuwataka wake zenu
Ombaomba katika ubora wenuTena hizi ni rasharasha tu
Siku hizi umekuwa mtu wa hovyo sanaX Ray mtatumia tv asilia POA
MRA mtatumia Nini?
CT Scan je?
ECG mtafanyia Nini?
Msijifananishe na wachina wakati nyie hamna hata kiwanda Cha tooth pick
Unalaumu matokeo bila kujiuliza sababu.Hivi kweli wa Tanzania tume fika huku!
Yani mtu anakaa kabisa kuiombea majanga nchi yake?
Acheni ushamba nyinyii, hamuyaoni ya Zimbabwe?
Sasa tukifika huko, wewe boya unae chekelea taarifa hizi utanufaika na nini?
Maamuzi yoyote ya nchi yangu dhidi ya mataifa ya nje ninayaunga mkono, bila kujali mimi ni CCM ama wachama gani?
Tuungane na Rais wetu tuijenge nchi yetu.
Hakuna nchi isiyo na masikini duniani.
Hakuna nchi yeyote duniani ambayo mpinzani alikubali kushindwa kwenye sanduku la kura.
Acheni kutumika na wanasiasa kuaribu taswira ya nchi yetu.
Kote niliko tembea Mtanzania anasifika kwa Amani na upendo.
Kama munataka kumaliza/ kupunguza kelele za kuibiwa kura, daini katiba mpya.
Tena kwa matakwa yenu sio kushinikizwa na akina Amsterdam.
Kifo cha wengi harusi...Hivi kweli wa Tanzania tume fika huku!

Ni kweli kabisa.Siku hizi umekuwa mtu wa hovyo sana
Tukikomoka sote, tutatia akili na kuamua kumuondoa anaesababisha tukomoke.Sasa mbona kama umefurahia badala ya kusikitika. Unafikiri nani atakomoka?
Mpumbavu sana huyoSasa mbona kama umefurahia badala ya kusikitika. Unafikiri nani atakomoka?
Saudi Arabia ni nchi ya kifalme watu wanapewa nyumba na mahitaji yote BureAisee bora niende nikaishi Saudia Arabia kule full demokrasia hakuna mambo ya vikwazo wala nini.
Kwa vyovyote vile huwezi kulinganisha China na Tanzania.
Pamoja na hayo Trade restrictions za US kwa China zilikuwa na athari kubwa sana kwa China mpaka Xi akampigia magoti Trump.
Tanzania hatujiwezi kwa lolote tukiwekewa hata vikwazo vidogo tu kwenye budgetary aids.
Ni hasara kubwa sana kwa nchi kuongozwa na watu wasiojitambua.