"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

Magombe mpaka yaelewe ujuwe mengi yeshapigwa bakora. Wacha mabeberu yaanze kuwakemea ,halafu hawafichi wanakupa makavu.

CCM mnatupeleka kwenye janga hamuoni hata hela ya kulipana posho itaadimika,mwisho mtajitolea mwisho mtaanza kuambizana kafanye mwenyewe.
 
Nimesema mara nyingi sana
Haya matamko yanakuja kwa lugha za kigeni na wapambe wanaogopa kumtafsiria jiwe hata hajui kinachoendelea
Kwanza akisikia diplomasia haelewi unazungumzia kitu gani

Tanzanian kazi tunayo......
 
Najua kwel kweli kuliko unavyodhania wakitunyima fedha za misaada tutakopa katika mabenki ya duniani kwa riba nafuu ya 3%-4% narudia tena wakitunyima kuuza nje na kununua nje hapo tutadhurika kwa kwasi ya ajabu sana BUT WHY THATS ALL?
Benki gani ya duniani ambayo Marekani akiamua usikope unaweza kukopa? Labda NMB Bank😀😀😀😀😀😀
 
Ulivyoandika unadhihirisha chuki na uwezo mdogo wa kutafsiri Mambo.
Hivyo vitu marekani tu ndo mtengenezaji?

Dunia ya Sasa hakuna kikwazo marekani ataweka kikafanya kazi,Ni enzi za miaka ya tisini huko walikua wanaringia wataalamu.

Dunia imejitosheleza Sana kwa Sasa,unataka mtu afate natakiwa yake kisa visaada vyake ambavyo anatoa mkono wa kulia na kurudisha mkono wa kushoto?kumtegemea marekani kwenu ipo siku atawakata makende na kuwataka wake zenu
Hamna vikwazo na Kuna hospital tele za wilaya, na mkoa hazina MRI, CT Scan etc je mkiwekewa vikwazo mtazipata wapi? Mwenyekiti wenu anaenda kuua watu kwa utamu wa madaraka.
 
Hivi kweli wa Tanzania tume fika huku!
Yani mtu anakaa kabisa kuiombea majanga nchi yake?

Acheni ushamba nyinyii, hamuyaoni ya Zimbabwe?
Sasa tukifika huko, wewe boya unae chekelea taarifa hizi utanufaika na nini?

Maamuzi yoyote ya nchi yangu dhidi ya mataifa ya nje ninayaunga mkono, bila kujali mimi ni CCM ama wachama gani?

Tuungane na Rais wetu tuijenge nchi yetu.

Hakuna nchi isiyo na masikini duniani.
Hakuna nchi yeyote duniani ambayo mpinzani alikubali kushindwa kwenye sanduku la kura.

Acheni kutumika na wanasiasa kuaribu taswira ya nchi yetu.

Kote niliko tembea Mtanzania anasifika kwa Amani na upendo.

Kama munataka kumaliza/ kupunguza kelele za kuibiwa kura, daini katiba mpya.
Tena kwa matakwa yenu sio kushinikizwa na akina Amsterdam.
 
Unalaumu matokeo bila kujiuliza sababu.
 
Kifo cha wengi harusi...
WEWE upo nchi gani hujui kuna watanzania wanaonewa na kuteswa kwa sababu za kisiasa?
Ina maana hujui mara baada ya uchaguzi kuna watu wengi wameuawa. Wamejeruhiwa. Wamafilisiwa na wengi wamebambikiziwa mikesi ya ajabu?
Kama Amani na upendo kwa WOTE kama zahma tupate sote
Haiwezekani katika nchi yetu tuwe na matabaka ya wanyonge na wababe
Hivi wewe ungejisikiaje kuteswa jela kwa kesi isioenda mahakamani eti unehujumu uchumi wakati hata biashara hujawahi kufanya?
Mimi naona kama noma na iwe noma tutafutane humuhumu sio kuoneana
Hii ni nchi yetu sote eti kwa sababu mtu yupo chama cha upinzani Ndio anyanyaswe kwenye nchi yake?. Shilingi anglia pande mbili
Usifikiri nchi zenye vita watu WOTE ni wajinga... Bali ni manyanyaso na maonevu mpaka mtu anageuka kua mnyama
 
Aisee bora niende nikaishi Saudia Arabia kule full demokrasia hakuna mambo ya vikwazo wala nini.
 
Halafu ndio lisu atakuwa raisi au?

Twende na Shangazi 2025 [emoji16] [emoji23]
 
Aisee bora niende nikaishi Saudia Arabia kule full demokrasia hakuna mambo ya vikwazo wala nini.
Saudi Arabia ni nchi ya kifalme watu wanapewa nyumba na mahitaji yote Bure
Hakuna kulipa maji wala umeme
HAKUNA TRA serikali Ndio inakulipia 25% ukinunua bidhaa
Tatizo hawezi kupata Uraia na kibali cha kuishi ni ghali sana
Watu wa kule hawajui siasa wala demokrasia
Kwa sababu maisha yao Bomba
 
Wamarekani ni nchi tajiri, sawa nakubaliana na hilo. Lakini jiulize hivi, Wamarekani wanapata wapi pesa ya kutoa misaada kwa Tanzania ilihali kwao kuna janga la Corona? Watu wengi wamepoteza biashara zao na wengine wamepotza ajira huko marekani .

Mm naona wangekua na pesa ya kutoa misaada basi wangeanza kutoa misaada hiyo kwa wamarekani walioathirika na janga la corona kiuchumi, kiakili nk.
 
Kwa vyovyote vile huwezi kulinganisha China na Tanzania.

Pamoja na hayo Trade restrictions za US kwa China zilikuwa na athari kubwa sana kwa China mpaka Xi akampigia magoti Trump.

Tanzania hatujiwezi kwa lolote tukiwekewa hata vikwazo vidogo tu kwenye budgetary aids.

Ni hasara kubwa sana kwa nchi kuongozwa na watu wasiojitambua.

This kind of thinking is typical an African. Tunaiongelea China ya leo kama ilitokea from nowhere. Wachina wamepitia magumu kama haya ya kwetu. They had tenacity to fight their way up.
Sisi tumekubali yaishe....kwani kuna ubaya gani tukianza taratibu kuhakikisha tunasogea mbele?
China wamepambana kweli kweli kuwa superpower. US pamoja na kuipendelea Taiwan, hawajaweza kumzuia mchina. Kwanini sisi tusiweze? Kwani kila Taifa ni adui yetu? Au tunashindwa sababu ya kupenda kukariri mambo na kuona hawawezekani?
 
Back
Top Bottom