"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

Baada ya Nyerere kukataa tukaizidi Kenya uchumi sio?

Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
 

Hakuna demokrasia, hilo halina mjadala.
 
Kwani mwafrica anampenda mwafrica mwenzake?

Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
 
Nachoamini sisi tunashida Kama waliyonayo wao, swala Ni exchange tu, Kama Hakuna Cha maana Sidhani Kama midahalo ya nchi yetu ingekua mingi kwako, Kuna wanachonufaika nacho//Tumia akili ya Nyerere kuelewa, ya mzungu itakusumbua na kuwaza mabalaa pekee
Tatizo wanunuzi wakubwa ndio hao hao walioanza kutununia.
 
Mbona msaada wenyewe ni hela kidogo hivyo? Mi nilijua wanachangia walau usd 1 billion. Kumbe tunaweza kuishi bila misaada kama asemavyo dr Magufuli. Ujenzi wa sgr ni Tanzania imetoa over 1 usd billions kutoka mfukoni. Sisi ni dona kantri.
 
Tafadhali usijaribu kijificha kwenye kimvuli Chako
Hakuna kitu cha ajabu ki maendeleo Tanzania eti mabeberu wanatuonea Gere
Kilichopo ni ubinyu wa Demokrasia pamoja na uvunjwaji wa haki za binadamu
Ulishawahi kunukuliwa ukimuuliza mtu Kapata wapi mamlaka ya kuzuia shughuli za kusiasa za vyama vya upinzani akajibu Jina lako wewe ni njaa
Unahitaji kwenda hospital kama huamini tangu ******** aingie madarakani Wapinzani wengi wameuawa. Wameumizwa. Wametekwa na wengi wapo jela mpaka sasa
Huku pemba miaka kumi ya jakaya hata paka hatujazika lakini kaingia kafiri katuletea mpaka majeshi ya Burundi
Anyways dhulma haidumu
Gaddafi. Sadam au albashir walikua wababe na makatili kuliko huyu kafiri mwisho wao ona
Haiwezekani ukaua na kudhulumu ummah WOTE huu halafu usipate matata
Magafool is the next victim is just matter of time
 

Attachments

  • IMG_20201114_064330.jpg
    12.8 KB · Views: 1
  • IMG_20201015_054818.jpg
    100.9 KB · Views: 1
Sasa hapa unapinga nini na kutetea nini? kumbe kwako bora tuibiwe na mchina lakini sio mmarekani?!

Hoja zenu bado sana, hiyo ndio "global politics" unayojisifu kuijua!.
 
Uelewa wako ni pungufu kupita kiasi kama unadhani kuwa marekani bado wanaogopa sera za Nyerere leo kwani hata USSR haipo tena. Soma hiyo sentensei uilewe vizuri kama una uwezo huo. Siwezi kukusaidia kuelewa zaidi ya hapo.
 
Mmezoea kupambana vipi wakati kila siku tunamuona Mambosasa akiwabeba mgongoni.
 
Sasa hapa unapinga nini na kutetea nini? kumbe kwako bora tuibiwe na mchina lakini sio mmarekani?!

Hoja zenu bado sana, hiyo ndio "global politics" unayojisufu kuijua!.
Pale argument.

Hatutaki kuibiwa, ila ni jambo la kifilosofia kuwa adui wa wadui wako ni rafiki yako Mtashirikiana kupambana na adui huyo kwanza, baada ya hapo ndipo mnashughulikia uadui wenu wenyewe .
 
Wao wana bunduki & mabomu sisi tunao US & EU. Chuma kwa chuma dadeki!
 
Kaka kusoma hujui hata picha huoni au unaelewa nini kuhusu TZ ya Kijani?
 
Pale argument.

Hatutaki kuibiwa, ila ni jambo la kifilosofia kuwa adui wa wadui wako ni rafiki yako Mtashirikiana kupambana na adui huyo kwanza, baada ya hapo ndipo mnashughulikia uadui wenu wenyewe .
Huyo "adui wa adui wako ni rafiki yako" akishajua udhaifu wako unadhani atakuacha salama?

Atakunyonya tu, usijidanganye.
 

CCM ni janga la Taifa.
 
( albaqarah : 8-20 ) Nifaq Mungu ndie mjuzi wa yaliyo mioyoni mwa watu. Usitumie dini kutukana watu, wewe jenga hoja tu bila kuihusisha dini yetu. Usichanganye siasa zako na dini yetu. Uislamu ni dini iliyokamilka na ni dini ya washindi, sio dini ya wanafiki wanaoitumia kwa ajili ya kushinda hoja. Kaa mbali na uislamu kama una jazba za kisiasa.
 
Kumbe hadi vyakula tunaletewa misaada??
 
Tunasubiri kwa hamu mvua yenyewe..... Tutawapa kila ushirikiano ili nasisi tupate zimbabwe yetu
 
Kila mtu ajiandae kuumia kutokana na makosa ya watawala. Biashara zitakufa. Bei za bidhaa mhimu zitapaa. Huduma za kifedha na kijamii zitadumaa. Uharifu utaongezeka. Na hatimaye amani itatetereka.
 
Huyo "adui wa adui wako ni rafiki yako" akishajua udhaifu wako unadhani atakuacha salama?

Atakunyonya tu, usijidanganye.
Naona wewe unaongea kwa kutanguliza woga badala ya kutanguliza ushujaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…