Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Baada ya Nyerere kukataa tukaizidi Kenya uchumi sio?Mkuu Bujibuji , asante kwa makaribisho,
kwanza hakuna chama cha Msukuma, wala chama cha mtu, kilichopo ni Chama Cha Mapinduzi, CCM, ila kinaongozwa na Msukuma na sio kinamilikiwa na Msukuma hadi ukiite chama cha Msukuma!. One good thing kuhusu Msukuma huyu, tangu ashike uongozi wa chama, amekifanyia chama some very big transformation sasa chama kinapendwa na kinakubalika na Watanzania na hili wamelionyesha tarehe 28 October.
Tukija kwenye mada ya msingi, Hawa mabeberu wa US na EU tumeisha wazoea, tuliisha toa ushauri siku nyingi kwa Msukuma, on how to go about this.
Hata Nyerere alikataa, Rais Magufuli usikubali, shikilia msimamo. Tanzania tusikubali misaada na mikopo yenye masharti kuingilia sovereignty yetu
Wanabodi Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Sisi watu sekta binafsi, tunaotegemea tenders, kuna siku unaamka asubuhi, huna tenda, huna kazi, huna hili wala lile, uko kitandani, ndipo unaamua kuamka na Jf, wakati ukisubiri saa 12:00 asubuhi uanze kusikiliza morning...www.jamiiforums.com
P
Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app