Parvovirus
JF-Expert Member
- May 24, 2020
- 268
- 188
Unazungumzia enzi za ujima hizi ni enzi za science na teknolojia mkuu.
Sawa sasa ujinga unatoka wapi.U know nothing on pharmacology bro... Au sector ya medicine at all. ficha ujinga bro
Wengi hizi siasa za kiafrika hamzielewi na mnazivamia kwa pupa. Expections mnazoweka kwa wababe wa nje ni kubwa kuliko uhalisia. Matokeo yake ni msongo wa mawazo wa kujitakia.Usiifananishe Tanzania ya sasa na China, bado hatujawafikia wale watu.
Hao investors ndio wanakuwa frustrated everyday, wanasema tu midomoni wanavutia wawekezaji lakini matendo yao yana suggest tofauti, mfano Dangote.
Ingekuwa kuwa kweli na sio tafsiri ya "saccos" ingetoka kwenye official web site ya serikali ya USAAccording to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021.
Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa nchini Tanzania toka Magufuli kuingia madarakani imewashitua wafadhili wa demokrasia na uwazi na hasa katika maswala ya ushiriki wa jamii na asasi zisizo za kiserikali.
Na utungwaji wa sheria mbalimbali kandamizi na kuhakikisha nchi inakuwa ya chama kimoja na upinzani unatoweka.
Katika kutubinya wataacha misaada inayogusa chakula tu na wanashawishi na jumuiya za kimataifa nao kutufanyia kama wao.
In summary
There are few signs that the governance trajectory in Tanzania discussed in this report is likely to change. One analyst of Tanzania sees President Magufuli and the CCM as pursuing “restorationist developmental nationalism”—a return to the sociopolitical development agenda and dominance of the CCM during the one-party state era, in which opposition parties play a limited role, if any.69 There are arguably a paucity of strong levers through which the United States and other aid donors might be able to press for a reversal of recent trends. Targeted restrictions on aid could potentially spur constructive responses from Tanzanian authorities in some instances, but the bulk of U.S. and other foreign aid supports development goals or other U.S. policy interests that such changes might hinder. Targeted sanctions, which the United States has used in one instance, 70 also are another possible pressure tool and vehicle for signaling U.S. concerns in selected instances, but are complex to administer and may have limited effect if sanctioned officials do not have personal or financial interests within U.S. jurisdictions. The governance trends discussed in this report also could potentially warrant a change in Tanzania’s eligibility for U.S. trade
Kwa ripoti kamili https://t.co/uTUEIj29Vg?amp=1

Wewe ndie hujanielewa.Si kweli unachochangia. Aidha hujaelewa kilicho andikwa au hujui nini kimeamuliwa. Ningekushauri soma hoja ya #Titicomb. Utaelewa nini kinaendelea.
Ewe mpuuzi je wajua china kuna Kitengo cha traditional medicine .Dona kantre huna hata kiwanda Cha kutengeneza pini.
Kifuatacho ni kupunguza kazi madaktari, manesi na watu wa maabara na kuajiri waganga was kienyeji, wachawi, wabashiri na wapiga ramli.
View attachment 1626014
Subili ukilala njaa ndo utajua mvua inanyesha sawa mkuuTena hizi ni rasharasha tu
Shida ya wamarekani wanataka sana ushoga, sijui walimuonja nani mtanzania mpaka wakagundua kuwa sisi tuna joto zuri, watuache, watafute waliowagongagongaInaonekana honey moon ya ushindi inaelekea itaishia na huzuni!
Unafurahia nini sijui we mwenyewe umo humu humu unakaa hapo KimaraPascal Mayalla njoo huku utetee Chama Cha Msukuma. Wizi wenu wa kura, mauaji, utekaji, dhuluma za kila aina sasa zinaligharimu taifa letu.
Kwani mngetenda haki mngepungukiwa kitu gani?
Najua mudu huu una type bonge la uzi na john [emoji124]pembeni.
Wasalimie Mbezi Juu, kesho saa nne ntakuwa kwa Mzee Juma Mugo Kula nyama choma na divai. Karibu
Sawa sasa ujinga unatoka wapi au kukwambia hii ni enzi ya CT Scan machine.
hwa wanaanza kidogokidogo then raia wanaanza kusikia ule mbinyo hapo tena haihitaji chama cha siasa kuongea na watu watu wanaongea wenyewe ,imagine leo waminye ARV unajua hali itakuwaje?wangapi wanaweza kumuda 150,000 kwa mwezi ya vidonge?Nilichojifunza hapo Marekani wamegundua baadhi ya mbinu zao za vikwazo dhidi ya viongozi wetu hazifanyi kazi kama walivyotarajia.
Sababu viongozi wetu hawana maslahi binafsi au ya kifedha ndani ya Marekani.
Ingekuwa viongozi wetu wamewekeza huko Marekani, watoto wao wangekuwa wanakula maisha huko Marekani, viongozi wetu wangeuza tu nchi kwa jamaa.
Lissu bwana, hivi Mnyaturu wewe una ishu gani na nchi yetu, mbona una hasira hivyo?Tena hizi ni rasharasha tu
tabia ya kuwa isolate watu waziwazi na kuonyesha upande mmoja kwamba nyie ni takataka tu,ni mbaya sana sana tena saaana haitasaidia lolote zaidi ya kuwafariji walioshika mpini wa sime kwa miaka kadhaa ila damage yake ni kubwa,silaha kubwa hata ya familia maskini ni upendo na umoja otherwise...Lissu bwana, hivi Mnyaturu wewe una ishu gani na nchi yetu, mbona una hasira hivyo?
Mku Professor alishindwaje kuwashawishi UN kwa ripoti mbaya tuyopewa.Dah! Mi hata sijaelewa unamaanisha nini! Labda unisaidie, yaani mpaka leo Wamarekani "wanashawishiwa" kuamini kuwa Tanzania hakuna Demokrasia? Basi hili ni jambo jema. Professor Kabudi kwa uwezo wake mkubwa alionao atawashinda hao wanaojaribu kushawishi negatively.
Usihofu ndugu yangu, sababu zenyewe walizozitoa hao wapinzani na hao watu wa Amnesty International na ma NGOs ni sababu za kipuuzi sana ambazo haziwezi kuifanya serikali ya Marekani, UN au EU kuiwekea Tanzania vikwazo vya kiuchumi.Dunia ya leo hata kama hukanyagi Marekani lakini kama umejiunga kwenye jumuiya za kimataifa bhasi VETO power yao huwezi kuiepuka.
Ushawishi wa Marekani ni mkubwa na sisi kama sisi sidhani kama tunaweza survive kama wakiamua kweli kutukazia
Viwanda vyetu vyenyewe ndio hivi ambavyo hata kutengeneza sindano ni shida, Export zetu zenyewe nadhani unazielewa na chanzo kikubwa cha foreign reserve unakijua. Kukaziwa sisi ni rahisi sanaaaa ila tuombe tu mambo yasiharibike
Kuna post nimesema hivi vikwazo vitatuumiza zaidi sisi familia maskini na siyo Raisi Magufuli au Lissu na wenzie.hwa wanaanza kidogokidogo then raia wanaanza kusikia ule mbinyo hapo tena haihitaji chama cha siasa kuongea na watu watu wanaongea wenyewe ,imagine leo waminye ARV unajua hali itakuwaje?wangapi wanaweza kumuda 150,000 kwa mwezi ya vidonge?