"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

Nataka kishuhudia sasa Serikali ya CCM iliongoza nchi kwa mapato ya ndani tu...!!
 
Jiulize wewe wale waliotuletea majeshi ya Burundi hapa Pemba kutuua hadharani wapo upande gani?
Msifikiri mauaji na uonevu kwa masikini wa mungu wasio na silaha ni wema kwenu bali ni shari kwenu
Gaddafi alikua mbabe kuliko Magufuli mwisho wake anglia hapo chini
Gadafi alichoitendea Libya hakuna hata raisi mmoja wa marekani ameifanyia nchi yake
 
Kwa hiyo wakikosea Watu wawili Wawatu tunaadhibiwa nchi nzima?
Mbinyo waja kaka...hizi ni rasharasha subiri za masika..!!

Ni miaka ya jasho na damu kwa wote; uwe mkulima, mfanyakazi, mfanyabiashara...dada wa kazi; machinga, shamba boy..mwanafunzi wa chuo..nk wote tu!!
 
Nasema hivi bora tuwekewe vikwazo no matter ni kwa namna gani maisha yatakuwa magumu,bora kufa kuliko kutawaliwa na mtu yule
 
Wewe ndiyo mbumbumbu kabisa! Umeelewa maana ya hiyo sentensi. Hivi wewe unafurahia utaifishaji wa maendeleo ya watu?

Kama hujui, sentensi hiyo ina maana Magufuli na CCM wanatupeleka kwenye Tanzania ya Mwalimu ya mwaka 1967 ya kutaifisha mali/maendeleo ya watu na kuyaweka chini umma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani umma ni wanyama au ni watu
 
X Ray mtatumia tv asilia POA
MRA mtatumia Nini?
CT Scan je?
ECG mtafanyia Nini?
Msijifananishe na wachina wakati nyie hamna hata kiwanda Cha tooth pick
Mtu kama huyo hajui hata anachoongea
 
Dunia ya leo hata kama hukanyagi Marekani lakini kama umejiunga kwenye jumuiya za kimataifa bhasi VETO power yao huwezi kuiepuka.
Ushawishi wa Marekani ni mkubwa na sisi kama sisi sidhani kama tunaweza survive kama wakiamua kweli kutukazia

Viwanda vyetu vyenyewe ndio hivi ambavyo hata kutengeneza sindano ni shida, Export zetu zenyewe nadhani unazielewa na chanzo kikubwa cha foreign reserve unakijua. Kukaziwa sisi ni rahisi sanaaaa ila tuombe tu mambo yasiharibike
Kwa uwoga wa jinsi hii unafikiri kina Nyerere wangefanikiwa kuikomboa Africa?

Hao wanatuhitaji sisi kuliko sisi tunavyowahitaji wao...Tanzania ya leo siyo ya jana...Tunaujuzi kwenye negotiation kuliko siku nyingine zote...Subiri uone watakavyokimbizana kwenye kuwekeza ili washindane na mataifa mengine wanaovizia utajiri wa nchi yetu...Dunia imebadilika sana...Kifo cha ubeberu kinachagizwa sana na easy access to information...Leo hawawezi kutudanganya kama walivyofanya huko nyuma na baadhi ya strategies zao zimeshashindwa kutokana na uwazi na uharaka wa information flow...

Tusiandikie mate subiri uone jinsi JPM anaenda kugeuza equation ya development duniani kama alivyofanya kwenye corona
 
Tanzania na Africa inahitaji kujiamini kidogo tu na kukataa kutishiwa nyau...Kuitawala dunia siyo rahisi tena kama enzi za nyuma...Silaha yao kubwa ilikuwa brainwashing na international laws ambazo nyingi zimeshakuwa irrelevant kwa nyakati hizi na wamechelewa kuzi update...Hapo ndiyo maana wanakazana na ma lockdown ambayo yana impact kubwa zaidi kwao kuliko sisi...Kuna watu wamejikuta wanaingia kwenye shimo walilochimba wenyewe...
 
Hata kama hatujaizidi kiuchumi lakini maisha ya raia wa kipato cha chini kwa Tanzania ni mazuri kuliko Kenya
Is just a matter of time, Kenya is going down like a hell...Uchumi wa Kenya ni tegemezi kwa kilimo cha Tanzania kwa asilimia nyingi...Unapo ona Europe wanalia basi ujue mwakilishi wao East Africa ameshakuwa irrelevant...Sera za Tanzania zimebadili flow of materials ambazo njia kuu ilikuwa Kenya...We subiri hawa wasipoangalia watajuta kuwa washirika waaminifu kwa weupe kuliko weusi wenzao...Africa is a future continent by default...Tutakataa wenyewe kwakupenda otherwise kuiwajibisha Africa kwa sasa ni ngumu kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano...Ahsante kwa climate change na technological advancement ambazo zinalazimisha mifumo kubadilika na kuwa ngumu kumnyonya mwafrica ambaye bado hajawa tegemezi sana kwenye modern economy
 
This kind of thinking is typical an African. Tunaiongelea China ya leo kama ilitokea from nowhere. Wachina wamepitia magumu kama haya ya kwetu. They had tenacity to fight their way up.
Sisi tumekubali yaishe....kwani kuna ubaya gani tukianza taratibu kuhakikisha tunasogea mbele?
China wamepambana kweli kweli kuwa superpower. US pamoja na kuipendelea Taiwan, hawajaweza kumzuia mchina. Kwanini sisi tusiweze? Kwani kila Taifa ni adui yetu? Au tunashindwa sababu ya kupenda kukariri mambo na kuona hawawezekani?
Wachache sana watakuelewa...Wengi matango pori waliyolishwa darasani yana toa sumu ya ubongo kukubali realities...

Kuna watu wanadhani wazungu ni miungu watu...Hizo enzi zimepita...Kuna nchi za ulaya kwa sasa zinakaribia kudumbukia shimoni including Germany ambayo angalau ilikuwa na matumaini...Britain imekimbilia makoloni yake kwa jina la commonwealth kuji rescue...

Lakini bado watu hawaamini dunia inatupa competitive advantage sisi Africa ambao tuliitwa hatujaendelea kumbe maendeleo ndiyo hiki tulichobaki nacho...Natural environment
 
Mbona wachina wanaweza, mpaka kuna ma professor wa dawa mbadala. Kwani dawa za wazungu wanatumia nini kuzitengeneza kama sio miti shamba?
Wamepoteza fikra halisi,wanamuamini mzungu kuliko yeye na mazingira yake
 
Usiifananishe Tanzania ya sasa na China, bado hatujawafikia wale watu.

Hao investors ndio wanakuwa frustrated everyday, wanasema tu midomoni wanavutia wawekezaji lakini matendo yao yana suggest tofauti, mfano Dangote.
Walifikaje huko
 
Back
Top Bottom