Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gadafi alichoitendea Libya hakuna hata raisi mmoja wa marekani ameifanyia nchi yakeJiulize wewe wale waliotuletea majeshi ya Burundi hapa Pemba kutuua hadharani wapo upande gani?
Msifikiri mauaji na uonevu kwa masikini wa mungu wasio na silaha ni wema kwenu bali ni shari kwenu
Gaddafi alikua mbabe kuliko Magufuli mwisho wake anglia hapo chini
Mbinyo waja kaka...hizi ni rasharasha subiri za masika..!!Kwa hiyo wakikosea Watu wawili Wawatu tunaadhibiwa nchi nzima?
Kwani umma ni wanyama au ni watuWewe ndiyo mbumbumbu kabisa! Umeelewa maana ya hiyo sentensi. Hivi wewe unafurahia utaifishaji wa maendeleo ya watu?
Kama hujui, sentensi hiyo ina maana Magufuli na CCM wanatupeleka kwenye Tanzania ya Mwalimu ya mwaka 1967 ya kutaifisha mali/maendeleo ya watu na kuyaweka chini umma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu kama huyo hajui hata anachoongeaX Ray mtatumia tv asilia POA
MRA mtatumia Nini?
CT Scan je?
ECG mtafanyia Nini?
Msijifananishe na wachina wakati nyie hamna hata kiwanda Cha tooth pick
Kwa uwoga wa jinsi hii unafikiri kina Nyerere wangefanikiwa kuikomboa Africa?Dunia ya leo hata kama hukanyagi Marekani lakini kama umejiunga kwenye jumuiya za kimataifa bhasi VETO power yao huwezi kuiepuka.
Ushawishi wa Marekani ni mkubwa na sisi kama sisi sidhani kama tunaweza survive kama wakiamua kweli kutukazia
Viwanda vyetu vyenyewe ndio hivi ambavyo hata kutengeneza sindano ni shida, Export zetu zenyewe nadhani unazielewa na chanzo kikubwa cha foreign reserve unakijua. Kukaziwa sisi ni rahisi sanaaaa ila tuombe tu mambo yasiharibike
Shangaa na weweWewe unapokea msaada wa chakula kutoka US?
Hata kama hatujaizidi kiuchumi lakini maisha ya raia wa kipato cha chini kwa Tanzania ni mazuri kuliko KenyaBaada ya Nyerere kukataa tukaizidi Kenya uchumi sio?
Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo wakikosea Watu wawili Wawatu tunaadhibiwa nchi nzima?
Is just a matter of time, Kenya is going down like a hell...Uchumi wa Kenya ni tegemezi kwa kilimo cha Tanzania kwa asilimia nyingi...Unapo ona Europe wanalia basi ujue mwakilishi wao East Africa ameshakuwa irrelevant...Sera za Tanzania zimebadili flow of materials ambazo njia kuu ilikuwa Kenya...We subiri hawa wasipoangalia watajuta kuwa washirika waaminifu kwa weupe kuliko weusi wenzao...Africa is a future continent by default...Tutakataa wenyewe kwakupenda otherwise kuiwajibisha Africa kwa sasa ni ngumu kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano...Ahsante kwa climate change na technological advancement ambazo zinalazimisha mifumo kubadilika na kuwa ngumu kumnyonya mwafrica ambaye bado hajawa tegemezi sana kwenye modern economyHata kama hatujaizidi kiuchumi lakini maisha ya raia wa kipato cha chini kwa Tanzania ni mazuri kuliko Kenya
Unamaanisha nini? Watu wataambiwa wasifuge kuku na ng'ombe?Tunarudi kuleee kwa miezi 18 ya kufunga mikanda ambayo ilitokea kuwa miaka 18. Chai ya maziwa na mayai itakua anasa.
Wachache sana watakuelewa...Wengi matango pori waliyolishwa darasani yana toa sumu ya ubongo kukubali realities...This kind of thinking is typical an African. Tunaiongelea China ya leo kama ilitokea from nowhere. Wachina wamepitia magumu kama haya ya kwetu. They had tenacity to fight their way up.
Sisi tumekubali yaishe....kwani kuna ubaya gani tukianza taratibu kuhakikisha tunasogea mbele?
China wamepambana kweli kweli kuwa superpower. US pamoja na kuipendelea Taiwan, hawajaweza kumzuia mchina. Kwanini sisi tusiweze? Kwani kila Taifa ni adui yetu? Au tunashindwa sababu ya kupenda kukariri mambo na kuona hawawezekani?
Tangu lini"Mabeberu" wanatetea umma wa raia wanyonge wasio na sauti dhidi ya serikali "yao"
Wamepoteza fikra halisi,wanamuamini mzungu kuliko yeye na mazingira yakeMbona wachina wanaweza, mpaka kuna ma professor wa dawa mbadala. Kwani dawa za wazungu wanatumia nini kuzitengeneza kama sio miti shamba?
Walifikaje hukoUsiifananishe Tanzania ya sasa na China, bado hatujawafikia wale watu.
Hao investors ndio wanakuwa frustrated everyday, wanasema tu midomoni wanavutia wawekezaji lakini matendo yao yana suggest tofauti, mfano Dangote.