Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

Acha kuwa kama mtoto wa kike wewe... jadili mada, kama huwezi acha!!
Dada ukapumzike sasa...sisi humu hatulipwi km wewe...tuna kazi zetu, tunaingia na kutoka ila kila tukiingia tujadili tunakuta ushajibu kila kitu...umeleta mada now pumzika wape nafasi na wengine wajadili...
Why dedicate so much energy and time? Huna kazi nyingine za kufanya? au ndo umeajiriwa kwa kazi hii?
 
Acha tabia za kike, choko wewe! Kwani umeitwa kwenye hii threda? Mbona una mambo ya kisen'ge! Haya, nimetumwa, na nenda kamwambie basha wako Kakoko kwamba jamaa kaendelea kukomaa kule...kima wewe!
 
Mimi tangu siku ile kasim majaliwa aseme uongo msikitini kuhusu hari ya jpm. Sina hamu nao.
Unajua kuna watu akili zao sijui vipi! Yaani ukifuatilia, Watanzania tumedanganywa mno awamu hii, na mengine tuliyodanganywa yapo wazi wazi lakini bado mtu anakuambia "tunawaamini walioona mkataba!
 
Acha tabia za kike, choko wewe! Kwani umeitwa kwenye hii threda? Mbona una mambo ya kisen'ge! Haya, nimetumwa, na nenda kamwambie basha wako Kakoko kwamba jamaa kaendelea kukomaa kule...kima wewe!
Naona umepaniki na matusi kedede...anyway kutukanana na mtu ambae yupo biased to begin with na anaonesha kabisa yupo teyari ku spend a day and night just to clean their mess ni kupoteza muda so mi sitakujibu kwa matusi ila nakushauri tu muda wa kunyonyesha huu, angalau utuache na sisi tujadili...
 
Mwanzisha siredi umeandika gazate la Nzalendo jumapili wakati issue hii sitofahamu yake ni masharti ya mijizi na mafisadi iliyo penyezwa ndani ya mkataba huu. Matatizo yako katika masharti ya Mkataba ambayo kimsingi yana kosesha mashiko ya faida nyingine zote.
 
https://www.bbc.com/complaints/complain-online
Meanwhile speaking to young Africans studying in the US, Mr Blinken cautioned against China's growing presence on the African continent, saying: "We're not asking anyone to choose between the United States or China, but I would encourage you to ask those tough questions, to dig beneath the surface, to demand transparency and to make informed choices about what is best for you and your countries."
 
Viwanda is just a means to an end not their priority wajenge viwanda vikashindane na viwanda vyao kwa maslai ya nani? and who to benefits labda wajenge assembly line km zile za piki piki kule mkuranga...
Priority ni bandari.
Wajenge bandari, then watasema wanapata loss, as being said kua hapo inabidi serikali iwalipe or ifunge bandari nyingine zote ili mizigo ipitie bagamoyo just to offset their loss...hapo ndipo bandari zingine zote zitakufa na natural death.
Its a same strategy they used in Sri Lanka.

Kenya tu hapo wakenya wanahangaika na SGR inayoendeshwa na wachina,wameweka management inayolipwa billions of money mpaka leo haijawahi tengeneza faida...huku SGR inatengeneza Loss huku Deni limeiva wanatakiwa waanze kulipa. na to make a matter worse wamekataa kufadhili kipande kilichobakia mpaka Uganda ambacho kingeweza kuwa guarantee wakenya mizigo ya Uganda...now wana a SRG to nowhere and debt trap kitakachofuata ni kuiomba bandari ya Mombasa just to offset deni la SGR.

Km wachina wanawafanyia hivyo majirani zetu how special are we watuache salama?
 
Ndio maana wakang'angania lease ya 99 years huku wakitaka usimamizi wa bandari kwa 40 years kwa maana kwamba in the course of running the port wataclaim for loss ili iwe ground ya extension utakuta usimamizi unakwenda for 99 years au wanaichukua kabisa.

Na kwakua itakua na facilities bora kuliko hizo nyingine (Tanga, Mtwara na Dar) hizo zitajifia automatically na kama nchi tutakua tumepoteza mapato moja kwa moja na kugeuka koloni lao.
 
Acha tabia za kike, jadili mada, kama huwezi, piga kimya!
 
Mp
Mpaka hapo kuna mambo matatu hatuna. Uzoefu, Maslahi na Ujuzi.
1. china waliajiri wazungu ktk kila kitu wanafanya kuanzia mikataba, feza na uendeshaji wakapata ujuzi na uzoefu. na sisi tufanye huvyo. kwani hawa wafanyakazi wetu hawajui vitu vingi, hata ukijenga hio bandari bure ukaikabizi kwa serikali hawawezi kuiendesha kwani hawa ujuzi,uzoefu na connections ili kupata biashara.
2. Serikali iajiri watu wenye uzoefu kutoka Singapore, USA na China wakishirikiana na wafanyakazi kutoka hapa ili kufanikisha hio miradi.
3. Raisi ajiri washauri wa biashara na uchumi kutoka nje ili wamsaidie kwenye miradi hii mikubwa na mingine
 
......hii ilitokea wapi na wahusika wakasaini...
Sikia ndugu biashara watu wanazungumza sio kukimbia

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Ulikuwa unataka kuniwasilishia ujumbe upi?!

Anyway, kwa kuangalia hiyo nukuu, bado hakuna jipya kwa sababu hilo nalo nimeliongea kwa urefu kwenye utangulizi! Nukuu yako hiyo ndo msingi wa title ya thread.

Kwa kifupi sana, nukuu kama hizo, machapisho kwenye magazeti kadhaa, pamoja na researches zote hizo ni baada ya China kuanzisha Belt and Road Initiative!

Hata research ninayoizungumzia mimi, ni matokeo ya hiyo Belt and Road Initiative. Miradi niliyoitaja ni Case Studies ya utafiti wa Belt and Road Initiative.

US walitumia nguvu kubwa sana kuhakikisha nchi hazijiungi na BRI! Hapo wakageuka na kuwa Wajomba zetu na kututahadhalisha kuhusu jinsi BRI ilivyo tishio kwetu!

Walianza na suala la Mchina kutumia BRI kama Debt Trap! Wakabadili gia angani na kusema lengo lao ni kuanzisha kambi za kijeshi... na hii ilikuja baada ya China kuanzisha military base Djibouti!

Lakini wakati US wakituhadhalisha na mpango huo, wakawa wanajisahaulisha kwamba na wenyewe pamoja na Ufaransa wana kambi hapo hapo Djibouti!

Anyway, itoshe tu kusema kwamba, nukuu na machapisho kama hayo nimezisoma sana, lakini lililo wazi, propaganda ya debt trap na kambi za kijeshi imefeli, na sasa wamebadili strategy!

Ufaransa kwa mfano, wao wameamua kurudi Afrika na kutaka kuanza kumwaga mikopo ili tusiende kwa Mchina! Kwa bahati mbaya, hata wenyewe wanafahamu hawataweza kufanya afanyayo Mchina!

Mtafiti wangu nae nimeweka nukuu yake... yeye kamlaumu Trump na kete yake ya kutumia debt trap kwa lengo la kumdhibiti Mchina! Yeye kashauri ikiwa US inataka kumdhibiti Mchina na BRI yake, basi wanatakiwa kuwa na cha ku-offer kwa mataifa yenye matatizo ya kifedha!

US wasipokuwa na cha ku-offer, itakuwa ngumu sana kuizua BRI!
 
Namba 2 na 3, yanawezekana kabisa!! Wengine wanapenda kutumia management contract!

Namba 1, China walikuwa na favorable condition ambayo sisi hatuna! Kwanza, uchumi wao ulianza kufanya kufanya vizuri! Pili, population kubwa huku uchumi ukifanya vizuri Wazungu wakaona fursa iliyopo... SOKO KUBWA!

Kuona hivyo, Wazungu wakaanza kumiminika China na kwenda kuwekeza! Na kwavile enzi hizo China hawakuwa vizuri sana, Wazungu waka-enjoy cheap labor! Kama unavyosema, Wachina wakatumia hiyo fursa na kujifunza!

No more cheap labor in China as it used to be... shukrani kwa Mzungu! Na ndo maana hivi sasa Mchina akijenga bandari mahali, anajaribu kujenga na industrial complexes kwa sababu anajua huko anaweza kuzalisha bidhaa kwa bei rahisi kulinganisha na China!
 
Mradi huu unacheleweshwa sana, tutaukosa tusipochangamka.
 
Mkuu umelipwa pesa ngapi ili kuupugia chapuo hivi huu mradi?,
Pesa mingi sana bila shaka. Naamini kitu cha ukweli hakiitaji maelezo meeeeeeeeeeengi. Kitu ambacho hakina janja janja. Ndo maana meko alikua rahisi kueleweka kwa wananchi hata wa chekechekea kutokana na kua mkweli na mzalendo. Ukiwa mzalendo kila kitu ni rahisi kueleweka. Huna haja ya kuongea kurasa 1000 kueleweka.
 
Nenda kachukue mshiko wako umeshawasha tayari kwa kutetea miradi ya wizi.
Na huo ndo ujinga wa watu wote ambao wanakaa vijiwe vya kahawa..utasikia gas na bandari wamepewa wachina baada ya Rizwan kukamatwa China na unga! Really!! Yaani kweli mtoto wa Rais abebe unga mwenyewe Kama punda mpaka china, wakati mapunda ya unga yamejaa Dar na mikoa yote ya pwani na yangeweza beba huo unga hata kwa milioni 2 tu..ujinga mtupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…