Kweli tupu ila kiukweli Chige Watanzania wengi ni wajinga ndiyo maana alifanikiwa kuwadanganyaPorojo at work!
Kila mwenye akili timamu anafahamu Jiwe nae ni miongoni mwa wezi wakubwa waliopata kutokea nchi hii.
Katumia billions of TZS kununua ndege, hata nikikuuliza wewe na ukoo wako wote ni wapi tenda ilitangazwa, hamuwezi kuwa na majibu! Ili asikaguliwe, akaamua kuhamishia Wakala wa Ndege za Serikali Ikulu, huku akiacha misukule yake ikiimba nyimbo za mapambio!!
Halafu hivi hujishtukii unavyosema "tunataka kila kitu wazi wazi" wakati utawala wa JPM ndio uliongoza kuficha yale yanayofanyika huko serikalini?!
Maybe he oversaw the AFCON 2027🌚Mnajenga uwanja wa mpira chato wakati timu nyingi za mpira zinatokea Mbeya , vipaji na kila kitu, mpaka zingine zinaama mkoa , hafu mnaenda kujenga kiwanja Chato ambako hata mpira hawaujui , Too bad
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ivo?Maybe he oversaw the AFCON 2027🌚
Watu aina ya huyu Chige watakuwa walihusika sana kummaliza Jiwe. Imagine mwezi mmoja tu baada ya Msiba akaandika yooooote hayo. Hawa ndio baadae utakapofika wakati wa kutokomeza wahuni tutasigina mpaka nywele zao.Ndugu Chige umepotelea wapi?