Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

Porojo at work!

Kila mwenye akili timamu anafahamu Jiwe nae ni miongoni mwa wezi wakubwa waliopata kutokea nchi hii.

Katumia billions of TZS kununua ndege, hata nikikuuliza wewe na ukoo wako wote ni wapi tenda ilitangazwa, hamuwezi kuwa na majibu! Ili asikaguliwe, akaamua kuhamishia Wakala wa Ndege za Serikali Ikulu, huku akiacha misukule yake ikiimba nyimbo za mapambio!!

Halafu hivi hujishtukii unavyosema "tunataka kila kitu wazi wazi" wakati utawala wa JPM ndio uliongoza kuficha yale yanayofanyika huko serikalini?!
Kweli tupu ila kiukweli Chige Watanzania wengi ni wajinga ndiyo maana alifanikiwa kuwadanganya
 
Ndugu Chige umepotelea wapi?
Watu aina ya huyu Chige watakuwa walihusika sana kummaliza Jiwe. Imagine mwezi mmoja tu baada ya Msiba akaandika yooooote hayo. Hawa ndio baadae utakapofika wakati wa kutokomeza wahuni tutasigina mpaka nywele zao.
 
Hayati JPM aliingizwa cha kike na kina Kipilimba kuhusu bandari ya Bagamoyo na baada ya kugundua kadanganywa akamuondoa Kapilimba hapo usalama wa taifa.

Masharti aliyoyasema hadharani pale ikulu RIP JPM kwamba wakichukua bandari ya Bagamoyo watazuia uwekezaji wa bandari zote ndio hayo ambayo yalikuwa kwenye IGA ya DPW, alikosa wanasheria wabobezi ambao SSH alikuja kuwapata na wakaeleza kwa kina juu ya kipengele hicho.

Baada ya DPW kupewa mkataba wa kuendesha TPA ikaja kampuni ya Adani kupewa mkataba katika bandari hiyo hiyo kwa maana ya magati kadhaa, maana yake uwepo wa DPW hauzuii shughuli za mwekezaji mwingine kufanyika katika bandari hiyo hiyo ya TPA na nyinginezo zilizopo Tanzania!.

Hayati JPM alilishwa matango pori na alipogundua akampiga chini mmoja wa waliomdanganya, aliyekuwa Mkurugenzi wa usalama wa taifa.
 
Back
Top Bottom