Uchaguzi 2020 Mabeberu wameitikisa nchi, ajenda yao kuu ni kumuweka Tundu Lissu madarakani

Mkuu, hakuna mzalendo pale, yule kibaraka hana lolote.
 
Jiwe kajenga kanisa Ikulu..huyu dikteta lazima aondolewe asichekewe kabisa
 

Maneno Mengi ukiambiwa uwataje mabeberu hujui😂 kama unajua wataje maana mabeberu ni madume ya mbuzi na hii lugha ni ya miaka ya 1970’s. Ina maana Tanzania ni mbuzi jike?
 
Lissu ni jipandikizi remote iko Ulaya so tukimpa anachotaka tumeuza Taifa hili, but as long as bado kuna wazalendo wapambanaji Lissu tutapiga mahala pamoja tu na atatulia kimyaaa kabisa
 
Hawa mabeberu wafanye haraka kutuondolea huyu kifaruhande!
 
Misaada ? Unajua maana ya msaada?
Misaada ni ile huombwa na CCM kwa wazungu na kuwaita wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike
 

Utakuwa umewaza na kufikiri vibaya, tundu na mabeberu wake hawawezi fanya chochote.
Kula bata mkuu, kupigwa anapigwa na maisha yataenderea!
Nakwataarifa yko yy ameshaanza kampeni tayari na wananchi tayari hawatakuwa na ham naye tena maana walitaka kumuona tu nasera zake nikueleza alivyopugwa lisasi2 hana sera!!
Kifupi hyo saivi ni chizi.
 
Pesa inayotumika kuwahujumu kuwadhoofisha chadema ni pesa nyingi sana na endapo CCM wangekuwa waneitumia kuleta maendeleo mda huu Tanzania ingekuwa ni mbali sana kimaendeleo
 
CCM wameanza kampeni tokea mwaka2016 magufuli mtukufu amekuwa akigawa pesa vyeo na kufanya mikutano licha ya kuvipiga marufuku vyama vingine kufanya mikutano ya siasa, juzi juzi mtukufu akiwa Rufiji alifanya kampeni kwa kununua jogoo kwa tshs laki moja na kumpa Rushwa mzee ya kumuoa mama yake mzazi, CCM mkienda kuomba omba misaada ulaya huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu wenu CCM mnageuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike.
 
CCM acheni kuwaita wanaume wenzenu mabeberu kwani nyinyi CCM ni mbuzi jike?
 
Heri hata kutawaliwa na mabeberu tukajua tuko kwenye ukoloni. Tujiulize wanasiasa wangapi walikufa Tanganyika wakipigania uhuru kutoka kwa mwingereza na wanasiasa wangapi wamekufa Tanzania wakipigania democrasia 2016 -2020!
 
Tunamtaka Tundu Lissu, hatutaki kusikia kitu kingine. Tumewachoka hawa kijani.. Watanzania walidhaniwa kuwa ni wajinga, hawaoni, wanaweza kupelekwa kama mang’ombe tu.. sasa aibu imewapata Jiwe na watu wake. Watu walidhani miaka 5 ni mingi.. kikowapi?! Sisi ndio tunawaweka, na sisi tunawang’oa. Sasa ni Lissu tu, kwa miaka 10 ijayo. Historia inaenda kuandikwa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…