Uchaguzi 2020 Mabeberu wameitikisa nchi, ajenda yao kuu ni kumuweka Tundu Lissu madarakani

Sawa, sanduku LA kura litaamua na sio vinginevyo
 
Mavi
 
Binafsi ninaamini hofu kama hii inajengwa na watu ambao hupenda kuuharibu mfumo wa uchaguzi wa hapa nchini.

Mfano mwaka jana si kweli ccm walishinda kwa asilimia 99 serikali za mitaa

Chaguzi nyingi serikali imekuwa inatengeneza mfumo wa uchaguzi wenye upendeleo wa mlengwa mmoja

Ikionekana mgombea kutambua haki zake na kuweka mikakati ya kulinda haki zao zisihujumiwe kwao hugeuka kuwa anaharibu uchaguzi na kuleta vurugu

Propaganda kama hizi hazina ukweli wowote, tume za chaguzi hushirikiana na chama tawala kuharibu chaguzi kwa maslahi ya chama tawala.

Binafsi nadhani ifikie hatua tume isimamie haki, wao ni wasimamizi wa uchaguzi tu wawaachie wananchi waamue nani atawafaa basi.

Ila wakiendelea na ukandamizaji huu si dhani kama wataendelea kuwaonea wananchi siku zote, wakawaulize wakoloni jinsi walivyokabidhi nchi na kuondoka msidhani walipenda kukabidhi na kuondoka.

Time is always a good teacher
 
Vurugu zipo huko CCM.. Hao ndo wezi was kura zetu miaka yote, sasa sijui unataka amani gani.. Mwaka huu wakizingua wajue watazinguliwa pia
 
Musa hakuingia Caanan
 
Mkuu acha kutafuta sababu rahisi ili kujificha ndani ya hoja dhaifu na ya jumla kuhusu ubeberu. Hii si kitu kingine isipokuwa ni kujari kukwepa na kuonyesha woga wazi dhidi ya hoja za upinzani.

Hii ni "unprecedented fear of unknown" kwa watawala, kwa kuwa hawakutarajia uchaguzi wa mwaka kutawaliwa na kampeni ngumu za uchaguzi, hasa kutoka kwa upinzani ambao walidhani utakuwa ni dhaifu sana. Wapiga kura wanataka kusikia ni kwa namna gani na asilimia ngapi ilani iliyonadiwa jinsi ambavyo ilitekelezwa. Na nini kipya watarajie kwa miaka mingine mitano ijayo.

Visingizio vya jumla vya kupitia nyongo wa fikra finyu za ubeberu, sijui kutaka kutumika na mabeberu, sijui kufadhiliwa na mabeberu n.k. ni mambo ya kupuuziwa kabisa na watu makini. Watu makini hutaka hoja kujibiwa kwa hoja thabiti, zenye kueleweka na kujaa ushawishi na weledi ndani yake.
 
Acha kutulisha matango, mtu anayebagua wananchi kwa misingi ya vyama vyao au makabila yao anawezaje kuitwa mzalendo ?
 
Mwaka 2015 huyo unayemuita mzalendo hakushinda uchaguzi has chadema walikubali yaishe.
Unamwita mzalendo kwakuwa handi njeee.
Mzalendo gain aliyewahi Uza nyumba za umma mahawala zake
Mzalendo anaagiza ndege za umma Akiwa amejifungia ndani na mtteja unajua 10% ya ndege ndege roja wewe.
Mzalendo huyu alishawahi nunua meli mbovu kwa bil8.
Nitajie fisadi mmona tj aliyefungwa kwa miaka yote mitn
 

Acha basi,

Mbona kila siku makanisani na viongozi wa dini?

Mmeigawa nchi Kisiasa,

sasa mnataka kuigawa kidini, UKRISTO NA UISLAM
 
wanaopiga kura ni mabeberu au wananchi? punguza presha na hisia akuna hio mambo kunywa kahawa
 
Ni Tanzania pekee ambapo Fisadi Mkuu anaitwa Mzalendo.
 
hakuna asie na Mungu. kinachofanyika ni Mungu mwenyewe maamuzi yake ambebe nani..
 
Rekodi ya Lissu hata kabla hajawa mbunge kwenye sekta ya madini inafahamika.

Uzalendo wa Lissu hata Hansard ya bunge inakumbukumbu zake hivyo porojo zako hazitassidia.
 
Sasa Kama ni hivyo Magufuli na CCM mnasubiri nini ikulu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…