Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
Wajumbe sio watu wazuri🤔🤔Duh...!.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajumbe sio watu wazuri🤔🤔Duh...!.
P
Yaani hata kama atafanya yaleyale ya ccm lakn unaweza kumpa kura lisu kwa sababu ya huruma tu, mtu unajiuliza kwanini binadamu mwenzio umtendee unyama wote huo.Pascal Mayalla unaona hoja za vijana?
Utawala uliopo ndio umemfanya Tundu Lissu awe jitu la kutisha.
Amenusurika kifo, ana kesi lukuki zisizo na kichwa Wala miguu, amedhulumiwa haki na stahiki zake za kibunge, yaani hakika matendo ya serikali dhidi yake ndio yamemfanya asiwe muoga Tena.
Leo mnaanza kulialia, mlizuia siasa miaka mitano, Leo tuna kiu ya kuwasikiliza mliowaziba midomo.
Hi ndio karma yenyewe
Kwa sababu Chadema imekufa☺Tundu Lissu hawezi kuwa Rais wa Tanzania katika Uchaguzi huu!
Thank you sirPascal Mayalla unaona hoja za vijana?
Utawala uliopo ndio umemfanya Tundu Lissu awe jitu la kutisha.
Amenusurika kifo, ana kesi lukuki zisizo na kichwa Wala miguu, amedhulumiwa haki na stahiki zake za kibunge, yaani hakika matendo ya serikali dhidi yake ndio yamemfanya asiwe muoga Tena.
Leo mnaanza kulialia, mlizuia siasa miaka mitano, Leo tuna kiu ya kuwasikiliza mliowaziba midomo.
Hi ndio karma yenyewe
Tumekuelewa mzalendo ushauri mzuri.Kukupa comfort tuuu, Lissu hana base ya kumpatia kura, anarukaruka tu na maandamano yasiyo na matokeo mazuri. Uchaguzi ni namba je anazo ???ushindi wa kura hutafutwa tena kimkakati na good coverage. Sijaona kwa chadema hilo likitokea badala yake ni siasa za mabarabarani.Watanzania tumepewa kipawa cha kushangaa hasa kwa wahamasishaji au kwa kiingereza Bahemya.Bwana Lissu ni nhemya O mbina. Ukae na amani wanaojua nini matokeo ya uchaguzi sasa hivi wako field wanapiga kazi kimkakati( kitanda kwa kitanda, shuka kwa shuka).Chadema wata miss mikakati ya Daktari Slaa so hawanaye tena. Ni hayo tu mdauNdugu Watanzania,
Kipekee napenda kumshukuru Mungu kwa kuniamsha salama.
Sasa naanza kuona kwa vitendo kitu ambacho nilitumia my mental image na kuona kuwa nchi fulani zitaingilia uchaguzi wetu huu na viashiria vimeanza kuonekana sasa. Kitendo cha nchi yetu kukaa kwa takribani mwezi mmoja na kitu au miwili kwenye uchumi wa kati, ni njama tu ya kuitikisa nchi yetu kuelekea kwenye uchaguzi mkuu. Samba mba na hilo, na hii imetokea tu baada ya kuanza kusikika kwa tetesi za kwamba, jina la Tundu Lissu linaelekea kukatwa na tume ya uchaguzi, na tumeiona barua ya mabeberu wanaoumtetea Tundu Lissu Amsterdam and Partners LLP.
Kama ulikuwa unamfuatilia Tundu Lissu tangu arudi nchini, amekuwa akitoa maneno ya kutisha na kuonyesha jeuri kubwa sana kwa serikali. Kwa mfano, kama TL ameweza kuwapata wadhamini kutoka Zanzibar bila ya kwenda kufanya mikutano ya hadhara visiwani kule, swali la kujiuliza hapa ni kwamba, mikutano aliyokuwa anaifanya huku Tanzania bara ilikuwa na lengo gani zaidi ya kuonyesha ubabe zidi ya NEC? Hii jeuri aliyonayo huyu ndugu inatoka kwa hawa mabeberu na si vinginevyo.
Aidha, kutikiswa huku kumeanza kuweka wazi wazi kuwa Tundu Lissu ni mgombea wa namna gani na mabeberu wanataka nini hasa kwenye uchaguzi huu. Naona mambo haya: (1) Tundu Lissu ni mgombea aliyeandaliwa na mabeberu ili aweze kumng’oa madarakani Mh. Magufuli; (2) hata kama Mh. Magufuli atashinda, Chadema hawatakubali, na mabeberu watawasaidia kwa namna yoyote ile ili kuleta taharuki baada ya uchaguzi mkuu.
Katika bara la Afrika, maraisi wa namna ya Mh. Magufuli ambao ni wazalendo kweli kweli katika nchi zao, na hufanya kila namna kulinda maliasili za nchi zidi ya uporaji wa mabeberu, huchukiwa sana na watu hawa. Tumeziona juhudi za Mh. Raisi kwa miaka hii mitano katika kuipigania nchi hii. Katika uchaguzi huu, jamaa hawa watafanya kila mbinu ili wamung’oe Mh. Raisi madarakani na kumuweka Tundu Lissu ili kuitumiza malengo yao. Ndugu watanzania wenzangu, nchi yetu imeanza kutikiswa, nawasihi tuiombee nchi yetu na Mh. Raisi pia ili Mungu ampe hekima na busura na nguvu ya kutuvusha salama dhidi ya mpango huu ovu. Kama Mungu alituvusha salama kwenye janga la Korona, naamini atatuvusha tena kwenye uchaguzi huu.
Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu.
Kama kuna kitu kinaumiza kichwa changu bc ni akili za vijana wa Lumumba marehem rais Mkapa aliuza mashirika hadi nyumba za serikali kwa bei chee, tulipo piga kelele tuliambiwa na hawa wa Lumumba eti sisi si wazelendo. Rais kikwete alikuwa takribani anasafiri kila mwezi kwenda ulaya tulipo ongea jibu si wazalendo. Rais Magufuri hajaenda ulaya tangu awe rais watu wakisema sio wazalendo. NAOMBA TAFASIRI NA MAANA YA NENO "UZALENDO" rais magufuri kweli kafanya mambo mazuri na hakuna wa kupinga hill, shida katoka kwenye shabaha yatu kama taifa. Kwa wazee mtanielewa na kwa vijana naomba niwafahamishe. Wakati Mwl na watanzania wanadai uhuru kauri mbiu yetu ili kuwa UHURU NA MAENDELEO. Na lengo no moja la kujikomboa lilikuwa Uhuru. Lengo no mbili maendeleo. Na kwa matiki hiyo bunge lilitunga sheria zilizokuwa zina linda Uhuru na haki za raia. Na rais wetu ni binadamu anamapungufu wake kama binadamu na huo ndo ubinadamu. Kaferi kwenye sheria na haki. Anataka watu wafanye kama anavyotaka si kama sheria zinavyo taka. Pili anaanza na maendeleo wakati kinachotakiwa kuanza ni Uhuru.Nchi hii ni yetu sote ni vizuri kushauliana kuliko kutumia mamlaka. Kila mtanzania mwenye akili timamu anatamani kuiona Tanzania salama.Wapiga kura ni mabeberu au wananchi?
Au siyo mkuu, hataweza chochote yule. Tumevuka viunzi vingi sana, tangu makinikia hadi corona, Mungu yupo upande wa Magu hatariTumekuelewa mzalendo ushauri mzuri.Kukupa comfort tuuu, Lissu hana base ya kumpatia kura, anarukaruka tu na maandamano yasiyo na matokeo mazuri. Uchaguzi ni namba je anazo ???ushindi wa kura hutafutwa tena kimkakati na good coverage. Sijaona kwa chadema hilo likitokea badala yake ni siasa za mabarabarani.Watanzania tumepewa kipawa cha kushangaa hasa kwa wahamasishaji au kwa kiingereza Bahemya.Bwana Lissu ni nhemya O mbina. Ukae na amani wanaojua nini matokeo ya uchaguzi sasa hivi wako field wanapiga kazi kimkakati( kitanda kwa kitanda, shuka kwa shuka).Chadema wata miss mikakati ya Daktari Slaa so hawanaye tena. Ni hayo tu mdau
Swali ambalo mnakwepa kujibu na hata mgombea wenu pia analikwepa...Ndugu Watanzania,
Kipekee napenda kumshukuru Mungu kwa kuniamsha salama.
Sasa naanza kuona kwa vitendo kitu ambacho nilitumia my mental image na kuona kuwa nchi fulani zitaingilia uchaguzi wetu huu na viashiria vimeanza kuonekana sasa. Kitendo cha nchi yetu kukaa kwa takribani mwezi mmoja na kitu au miwili kwenye uchumi wa kati, ni njama tu ya kuitikisa nchi yetu kuelekea kwenye uchaguzi mkuu. Samba mba na hilo, na hii imetokea tu baada ya kuanza kusikika kwa tetesi za kwamba, jina la Tundu Lissu linaelekea kukatwa na tume ya uchaguzi, na tumeiona barua ya mabeberu wanaoumtetea Tundu Lissu Amsterdam and Partners LLP.
Kama ulikuwa unamfuatilia Tundu Lissu tangu arudi nchini, amekuwa akitoa maneno ya kutisha na kuonyesha jeuri kubwa sana kwa serikali. Kwa mfano, kama TL ameweza kuwapata wadhamini kutoka Zanzibar bila ya kwenda kufanya mikutano ya hadhara visiwani kule, swali la kujiuliza hapa ni kwamba, mikutano aliyokuwa anaifanya huku Tanzania bara ilikuwa na lengo gani zaidi ya kuonyesha ubabe zidi ya NEC? Hii jeuri aliyonayo huyu ndugu inatoka kwa hawa mabeberu na si vinginevyo.
Aidha, kutikiswa huku kumeanza kuweka wazi wazi kuwa Tundu Lissu ni mgombea wa namna gani na mabeberu wanataka nini hasa kwenye uchaguzi huu. Naona mambo haya: (1) Tundu Lissu ni mgombea aliyeandaliwa na mabeberu ili aweze kumng’oa madarakani Mh. Magufuli; (2) hata kama Mh. Magufuli atashinda, Chadema hawatakubali, na mabeberu watawasaidia kwa namna yoyote ile ili kuleta taharuki baada ya uchaguzi mkuu.
Katika bara la Afrika, maraisi wa namna ya Mh. Magufuli ambao ni wazalendo kweli kweli katika nchi zao, na hufanya kila namna kulinda maliasili za nchi zidi ya uporaji wa mabeberu, huchukiwa sana na watu hawa. Tumeziona juhudi za Mh. Raisi kwa miaka hii mitano katika kuipigania nchi hii. Katika uchaguzi huu, jamaa hawa watafanya kila mbinu ili wamung’oe Mh. Raisi madarakani na kumuweka Tundu Lissu ili kuitumiza malengo yao. Ndugu watanzania wenzangu, nchi yetu imeanza kutikiswa, nawasihi tuiombee nchi yetu na Mh. Raisi pia ili Mungu ampe hekima na busura na nguvu ya kutuvusha salama dhidi ya mpango huu ovu. Kama Mungu alituvusha salama kwenye janga la Korona, naamini atatuvusha tena kwenye uchaguzi huu.
Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu.
Don't connect irrelevant dots, achana conspiracy zake huyo. What if it's Chacha wangwe style? Katika any dispute, enemies anaweza tumia hiyo loophole.Swali ambalo mnakwepa kujibu na hata mgombea wenu pia analikwepa...
Ni kwanini mwaka ule 2017, Tarh 7 September, Saa 5 asbh alitoa wito Lissu auawe na baadaye kweli mchana siku hiyo Saa 7 mchana Lissu alishambuliwa vibaya kwa risasi 38?
Huyo mgombea wenu alilewa au ni mashetani yake ya kihutu yalimpagawa?
Jibuni hilo swali, halaf ndo tujadili kama Lissu anatumika na hao mnaowaita Mabeberu ama la!
Sema amekufa Nyerere, kwani Mkapa ni nguzo nchi hii?!Magufuli siyo mzalendo pekee nchi hii
Hata siye tupo.
Tanzania aliiikuta na ataiacha,amekufa Mkapa sembuse yeye!
The bottomline is mwacheni Lissu agombee,wananchi kama hawampendi vichinjio wanavyo watamkata
Define mabeberu na wahisani.Ndugu Watanzania,
Kipekee napenda kumshukuru Mungu kwa kuniamsha salama.
Sasa naanza kuona kwa vitendo kitu ambacho nilitumia my mental image na kuona kuwa nchi fulani zitaingilia uchaguzi wetu huu na viashiria vimeanza kuonekana sasa. Kitendo cha nchi yetu kukaa kwa takribani mwezi mmoja na kitu au miwili kwenye uchumi wa kati, ni njama tu ya kuitikisa nchi yetu kuelekea kwenye uchaguzi mkuu. Samba mba na hilo, na hii imetokea tu baada ya kuanza kusikika kwa tetesi za kwamba, jina la Tundu Lissu linaelekea kukatwa na tume ya uchaguzi, na tumeiona barua ya mabeberu wanaoumtetea Tundu Lissu Amsterdam and Partners LLP.
Kama ulikuwa unamfuatilia Tundu Lissu tangu arudi nchini, amekuwa akitoa maneno ya kutisha na kuonyesha jeuri kubwa sana kwa serikali. Kwa mfano, kama TL ameweza kuwapata wadhamini kutoka Zanzibar bila ya kwenda kufanya mikutano ya hadhara visiwani kule, swali la kujiuliza hapa ni kwamba, mikutano aliyokuwa anaifanya huku Tanzania bara ilikuwa na lengo gani zaidi ya kuonyesha ubabe zidi ya NEC? Hii jeuri aliyonayo huyu ndugu inatoka kwa hawa mabeberu na si vinginevyo.
Aidha, kutikiswa huku kumeanza kuweka wazi wazi kuwa Tundu Lissu ni mgombea wa namna gani na mabeberu wanataka nini hasa kwenye uchaguzi huu. Naona mambo haya: (1) Tundu Lissu ni mgombea aliyeandaliwa na mabeberu ili aweze kumng’oa madarakani Mh. Magufuli; (2) hata kama Mh. Magufuli atashinda, Chadema hawatakubali, na mabeberu watawasaidia kwa namna yoyote ile ili kuleta taharuki baada ya uchaguzi mkuu.
Katika bara la Afrika, maraisi wa namna ya Mh. Magufuli ambao ni wazalendo kweli kweli katika nchi zao, na hufanya kila namna kulinda maliasili za nchi zidi ya uporaji wa mabeberu, huchukiwa sana na watu hawa. Tumeziona juhudi za Mh. Raisi kwa miaka hii mitano katika kuipigania nchi hii. Katika uchaguzi huu, jamaa hawa watafanya kila mbinu ili wamung’oe Mh. Raisi madarakani na kumuweka Tundu Lissu ili kuitumiza malengo yao. Ndugu watanzania wenzangu, nchi yetu imeanza kutikiswa, nawasihi tuiombee nchi yetu na Mh. Raisi pia ili Mungu ampe hekima na busura na nguvu ya kutuvusha salama dhidi ya mpango huu ovu. Kama Mungu alituvusha salama kwenye janga la Korona, naamini atatuvusha tena kwenye uchaguzi huu.
Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu.
Ni mjinga kama Wewe tu anateweza kujimiminia risasi nyingi alafu 16 zinampate, akijipanga kugombea urais miaka mitatu badaye! Na kama mnaona risasi zile zinampa umaarufu kihivyo, kwanini msimtwange baba ‘lugola’sjesus’ hata moja tu, ili tuanze kumpenda?!!Don't connect irrelevant dots, achana conspiracy zake huyo. What if it's Chacha wangwe style? Katika any dispute, enemies anaweza tumia hiyo loophole.
Ngoja tupate mtu wa kuchomoa battery ndio utatuona ndani ya vifua vyetu bila chenga!Kuna watu mnafanya analysis very emotionally driven, Sasa TAL hana ubavu wa kushika hii nchi na kamwe hawezi kuwa Rais, Afu tu nikujuze sambamba na Vyombo vya dola kutokulala kuhakikisha wewe unakuja kuhara apa safely, Watanzania tuna desturi ya kupenda amani utatugawa kwa lipi kama udini na ukabila kwetu sisi sio inshu kabisa
Alright, because we differ in the we articulate things. Stay tuned, mbona jamaa yuko wazi mambo yake yameshaanza kuonekana hadharani anaback up ya mabeberu.Very shallow and poor opinions
Uzalendo ni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani? Uzalendo ni kuchukua pesa za walipa kodi kumpa Lipumba Profeselii na kubwa jinga bichwa kubwa Shibuda waende kumwekea pingamizi la kibwege Tundu Lisu huko NEC? Uzalendo ni kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge?Ndugu Watanzania,
Kipekee napenda kumshukuru Mungu kwa kuniamsha salama.
Sasa naanza kuona kwa vitendo kitu ambacho nilitumia my mental image na kuona kuwa nchi fulani zitaingilia uchaguzi wetu huu na viashiria vimeanza kuonekana sasa. Kitendo cha nchi yetu kukaa kwa takribani mwezi mmoja na kitu au miwili kwenye uchumi wa kati, ni njama tu ya kuitikisa nchi yetu kuelekea kwenye uchaguzi mkuu. Samba mba na hilo, na hii imetokea tu baada ya kuanza kusikika kwa tetesi za kwamba, jina la Tundu Lissu linaelekea kukatwa na tume ya uchaguzi, na tumeiona barua ya mabeberu wanaoumtetea Tundu Lissu Amsterdam and Partners LLP.
Kama ulikuwa unamfuatilia Tundu Lissu tangu arudi nchini, amekuwa akitoa maneno ya kutisha na kuonyesha jeuri kubwa sana kwa serikali. Kwa mfano, kama TL ameweza kuwapata wadhamini kutoka Zanzibar bila ya kwenda kufanya mikutano ya hadhara visiwani kule, swali la kujiuliza hapa ni kwamba, mikutano aliyokuwa anaifanya huku Tanzania bara ilikuwa na lengo gani zaidi ya kuonyesha ubabe zidi ya NEC? Hii jeuri aliyonayo huyu ndugu inatoka kwa hawa mabeberu na si vinginevyo.
Aidha, kutikiswa huku kumeanza kuweka wazi wazi kuwa Tundu Lissu ni mgombea wa namna gani na mabeberu wanataka nini hasa kwenye uchaguzi huu. Naona mambo haya: (1) Tundu Lissu ni mgombea aliyeandaliwa na mabeberu ili aweze kumng’oa madarakani Mh. Magufuli; (2) hata kama Mh. Magufuli atashinda, Chadema hawatakubali, na mabeberu watawasaidia kwa namna yoyote ile ili kuleta taharuki baada ya uchaguzi mkuu.
Katika bara la Afrika, maraisi wa namna ya Mh. Magufuli ambao ni wazalendo kweli kweli katika nchi zao, na hufanya kila namna kulinda maliasili za nchi zidi ya uporaji wa mabeberu, huchukiwa sana na watu hawa. Tumeziona juhudi za Mh. Raisi kwa miaka hii mitano katika kuipigania nchi hii. Katika uchaguzi huu, jamaa hawa watafanya kila mbinu ili wamung’oe Mh. Raisi madarakani na kumuweka Tundu Lissu ili kuitumiza malengo yao. Ndugu watanzania wenzangu, nchi yetu imeanza kutikiswa, nawasihi tuiombee nchi yetu na Mh. Raisi pia ili Mungu ampe hekima na busura na nguvu ya kutuvusha salama dhidi ya mpango huu ovu. Kama Mungu alituvusha salama kwenye janga la Korona, naamini atatuvusha tena kwenye uchaguzi huu.
Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu.
CCM mkienda kuomba omba misaada kuwapigia magoti wazungu huwaita wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu Wakikataa upumbavu wa CCM hukimbilia kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jikeAlright, because we differ in the we articulate things. Stay tuned, mbona jamaa yuko wazi mambo yake yameshaanza kuonekana hadharani anaback up ya mabeberu.