Uchaguzi 2020 Mabeberu wameitikisa nchi, ajenda yao kuu ni kumuweka Tundu Lissu madarakani

Uchaguzi 2020 Mabeberu wameitikisa nchi, ajenda yao kuu ni kumuweka Tundu Lissu madarakani

Nakwambia ukweli kuwa Jiwe hauwezi ushindani hata kidogo............

Yeye angependa wapinzani wake wawe wale wa CCM-B, akina Lipumba, Mbatia na Shibuda.........

Lakini kuona jina la Tundu Lissu kwenye ballot box, anatamani hata kuikimbia nchi!
Mtukufu angekuwa hajajenga chato Airport angekimbilia kwao Burundi
 
Acha kutulisha matango, mtu anayebagua wananchi kwa misingi ya vyama vyao au makabila yao anawezaje kuitwa mzalendo ?
Mtukufu siyo mzalendo hata siku moja na sasa anajutia kuwatuma akina Bashite kwenda kumpiga risasi Tundu lisu
 
TL ndiye atangoka muda si mrefu mafail yatakapoanza kufunguliwa watu wote wajue agenda yake na handlers wake. Tanzania is not for sale.
Tanzania ipi unaisemea? au Tanzania yako binafsi hapo kwako?
 
Usiwe na wasiwasi. Hakuna kipindi ambacho nchi yetu ipo imara kama sasa. Watapata aibu na Amsterdam wao
Nchi ipi unaisemea? Kuwa imara ni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani? Kuwa imara ni kuwatuma Lipumba na shibuda kubwa jinga kumfanyia fujo Tundu lisu?
 
Kwasababu mnamwabudu, mnamtukuza jiandae kisaikolojia.
Huyu hatunaye tena.
Umeona vyema
Ndugu Watanzania,

Kipekee napenda kumshukuru Mungu kwa kuniamsha salama.
Sasa naanza kuona kwa vitendo kitu ambacho nilitumia my mental image na kuona kuwa nchi fulani zitaingilia uchaguzi wetu huu na viashiria vimeanza kuonekana sasa. Kitendo cha nchi yetu kukaa kwa takribani mwezi mmoja na kitu au miwili kwenye uchumi wa kati, ni njama tu ya kuitikisa nchi yetu kuelekea kwenye uchaguzi mkuu. Samba mba na hilo, na hii imetokea tu baada ya kuanza kusikika kwa tetesi za kwamba, jina la Tundu Lissu linaelekea kukatwa na tume ya uchaguzi, na tumeiona barua ya mabeberu wanaoumtetea Tundu Lissu Amsterdam and Partners LLP.

Kama ulikuwa unamfuatilia Tundu Lissu tangu arudi nchini, amekuwa akitoa maneno ya kutisha na kuonyesha jeuri kubwa sana kwa serikali. Kwa mfano, kama TL ameweza kuwapata wadhamini kutoka Zanzibar bila ya kwenda kufanya mikutano ya hadhara visiwani kule, swali la kujiuliza hapa ni kwamba, mikutano aliyokuwa anaifanya huku Tanzania bara ilikuwa na lengo gani zaidi ya kuonyesha ubabe zidi ya NEC? Hii jeuri aliyonayo huyu ndugu inatoka kwa hawa mabeberu na si vinginevyo.

Aidha, kutikiswa huku kumeanza kuweka wazi wazi kuwa Tundu Lissu ni mgombea wa namna gani na mabeberu wanataka nini hasa kwenye uchaguzi huu. Naona mambo haya: (1) Tundu Lissu ni mgombea aliyeandaliwa na mabeberu ili aweze kumng’oa madarakani Mh. Magufuli; (2) hata kama Mh. Magufuli atashinda, Chadema hawatakubali, na mabeberu watawasaidia kwa namna yoyote ile ili kuleta taharuki baada ya uchaguzi mkuu.

Katika bara la Afrika, maraisi wa namna ya Mh. Magufuli ambao ni wazalendo kweli kweli katika nchi zao, na hufanya kila namna kulinda maliasili za nchi zidi ya uporaji wa mabeberu, huchukiwa sana na watu hawa. Tumeziona juhudi za Mh. Raisi kwa miaka hii mitano katika kuipigania nchi hii. Katika uchaguzi huu, jamaa hawa watafanya kila mbinu ili wamung’oe Mh. Raisi madarakani na kumuweka Tundu Lissu ili kuitumiza malengo yao. Ndugu watanzania wenzangu, nchi yetu imeanza kutikiswa, nawasihi tuiombee nchi yetu na Mh. Raisi pia ili Mungu ampe hekima na busura na nguvu ya kutuvusha salama dhidi ya mpango huu ovu. Kama Mungu alituvusha salama kwenye janga la Korona, naamini atatuvusha tena kwenye uchaguzi huu.

Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu.
 
Pascal Mayalla unaona hoja za vijana?
Utawala uliopo ndio umemfanya Tundu Lissu awe jitu la kutisha.
Amenusurika kifo, ana kesi lukuki zisizo na kichwa Wala miguu, amedhulumiwa haki na stahiki zake za kibunge, yaani hakika matendo ya serikali dhidi yake ndio yamemfanya asiwe muoga Tena.
Leo mnaanza kulialia, mlizuia siasa miaka mitano, Leo tuna kiu ya kuwasikiliza mliowaziba midomo.
Hi ndio karma yenyewe
Kinyago walichokichonga wenyewe.
Ccm ndiye iliyemwandaa Lissu kuwa mgombea bora na anayetisha
 
Define mabeberu na wahisani.

Eti Magufuli mzalendo kwelikweli!!!,hv yeye na Lissu nani ana historia ya uzalendo katika nchi hii?
Lisu tokea 1998 alianza kupiga kelele juu ya uwekezaji wa Madini lakini mtukufu magufuli alikuwa Bungeni akapitisha mikataba mibovu kwa kugonga meza na sasa wamemfuta mzee mkapa asiteme nyongo baada ya kuapa kuongea ukweli juu ya mikataba ya madini
 
Kinyago walichokichonga wenyewe.
Ccm ndiye iliyemwandaa Lissu kuwa mgombea bora na anayetisha
Figisu figisu za CCM dhidi ya Tundu Lisu ndizo zinazidi kumpa umaarufu zaidi kwa kifupi CCM ndiyo wanamfanyia primo kubwa zaidi
 
Ushetani wa CCM kwa lisu umemfanya kujulikana zaidi
 
Ndugu Watanzania,

Kipekee napenda kumshukuru Mungu kwa kuniamsha salama.
Sasa naanza kuona kwa vitendo kitu ambacho nilitumia my mental image na kuona kuwa nchi fulani zitaingilia uchaguzi wetu huu na viashiria vimeanza kuonekana sasa. Kitendo cha nchi yetu kukaa kwa takribani mwezi mmoja na kitu au miwili kwenye uchumi wa kati, ni njama tu ya kuitikisa nchi yetu kuelekea kwenye uchaguzi mkuu. Samba mba na hilo, na hii imetokea tu baada ya kuanza kusikika kwa tetesi za kwamba, jina la Tundu Lissu linaelekea kukatwa na tume ya uchaguzi, na tumeiona barua ya mabeberu wanaoumtetea Tundu Lissu Amsterdam and Partners LLP.

Kama ulikuwa unamfuatilia Tundu Lissu tangu arudi nchini, amekuwa akitoa maneno ya kutisha na kuonyesha jeuri kubwa sana kwa serikali. Kwa mfano, kama TL ameweza kuwapata wadhamini kutoka Zanzibar bila ya kwenda kufanya mikutano ya hadhara visiwani kule, swali la kujiuliza hapa ni kwamba, mikutano aliyokuwa anaifanya huku Tanzania bara ilikuwa na lengo gani zaidi ya kuonyesha ubabe zidi ya NEC? Hii jeuri aliyonayo huyu ndugu inatoka kwa hawa mabeberu na si vinginevyo.

Aidha, kutikiswa huku kumeanza kuweka wazi wazi kuwa Tundu Lissu ni mgombea wa namna gani na mabeberu wanataka nini hasa kwenye uchaguzi huu. Naona mambo haya: (1) Tundu Lissu ni mgombea aliyeandaliwa na mabeberu ili aweze kumng’oa madarakani Mh. Magufuli; (2) hata kama Mh. Magufuli atashinda, Chadema hawatakubali, na mabeberu watawasaidia kwa namna yoyote ile ili kuleta taharuki baada ya uchaguzi mkuu.

Katika bara la Afrika, maraisi wa namna ya Mh. Magufuli ambao ni wazalendo kweli kweli katika nchi zao, na hufanya kila namna kulinda maliasili za nchi zidi ya uporaji wa mabeberu, huchukiwa sana na watu hawa. Tumeziona juhudi za Mh. Raisi kwa miaka hii mitano katika kuipigania nchi hii. Katika uchaguzi huu, jamaa hawa watafanya kila mbinu ili wamung’oe Mh. Raisi madarakani na kumuweka Tundu Lissu ili kuitumiza malengo yao. Ndugu watanzania wenzangu, nchi yetu imeanza kutikiswa, nawasihi tuiombee nchi yetu na Mh. Raisi pia ili Mungu ampe hekima na busura na nguvu ya kutuvusha salama dhidi ya mpango huu ovu. Kama Mungu alituvusha salama kwenye janga la Korona, naamini atatuvusha tena kwenye uchaguzi huu.

Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu.
Magufuli na Tume yake ya Uchaguzi ya mfukoni watuache tumchague mgombea tumtakaye, alizuia KUJIPIMA NA MEMBE kupitia chama chake basi asituvuruge na huku kwenye uchaguzi mkuu.
 
Vitendo haramu wanavyomfanyia vinazidi kumuongezea nguvu
 
Yaani kama mabeberu wana mpango huo Mungu awabariki sana wafanikiwe yaani , maana tumenyanyaswa sana kwa miaka mitano mtu kajigeuza Mungu mtu hataki kuongeza mshahara , kupandisha madaraja , kulipa wastaafu , kadhulumu wakulima wa korosho , kala rambirambi za tetemeko la kagera , kabomolea watu nyumba , watu wametekwa , wamepotea wameuawa , watu wamefukalishwa Mungu awabariki mabeberu kabisa .
 
Don't connect irrelevant dots, achana conspiracy zake huyo. What if it's Chacha wangwe style? Katika any dispute, enemies anaweza tumia hiyo loophole.
Pumbavu kabisa wewe, mwaka huu ndo mtaelewa kwanini Waswahili walisema damu ya Mtu ni nzito kuliko maji....usije ukafikiri unaweza kuua Mtu au kujaribu kuua Mtu halaf ukaishi tu salama....thubutu, hiyo damu itakuandama hadi mwisho wa Maisha yako..

Na Unafikiri utamsaidia mwuaji kwa Ujinga wako unaoandika hapa?

Anayeweza kuondoa askari polisi walinzi getini na kwenye nyumba aliyokuwa anaishi Lissu ni raia wa kawaida?

Anayeweza kuondoa CCTV Camera kwenye hiyo nyumba baada ya Lissu kushambuliwa ni raia wa kawaida?

Aliyeagiza Lissu akifa azikwe haraka haraka hata bungeni mwili wake usipelekwe ni raia wa kawaida?

Aliyetoa agizo Lissu anyimwe hela za matibabu ni raia wa kawaida?

Aliyemfukuza Lissu bungeni ni raia w kawaida?
 
Hao mabeberu unaowasema wanayo mengi yakufanya kwa nchi zao ndio maana unaona wanakuwa nchi za dunia ya kwanza kwasababu huwa wana focus na mambo yao.

Na nchi maskin au za dunia ya 3 hazina tofauti na maskini wa mtaani ambae anaamini kila anachofanya tajiri anakifuatilia au anamuibia

NB. Kama hujajua mchi tajiri wanatamani nchi maskini zipote kwenye uso wa dunia maana wanawapa misaada mingi lakini hampigi hatua na fedha ambazo zingeweza wasaidi wananchi wa izo nchi tajiri
 
Pascal Mayalla unaona hoja za vijana?
Utawala uliopo ndio umemfanya Tundu Lissu awe jitu la kutisha.
Amenusurika kifo, ana kesi lukuki zisizo na kichwa Wala miguu, amedhulumiwa haki na stahiki zake za kibunge, yaani hakika matendo ya serikali dhidi yake ndio yamemfanya asiwe muoga Tena.
Leo mnaanza kulialia, mlizuia siasa miaka mitano, Leo tuna kiu ya kuwasikiliza mliowaziba midomo.
Hi ndio karma yenyewe
[emoji122][emoji122][emoji122] karma is a bitch
 
Back
Top Bottom