Mabeberu wameshaanza kupigana vikumbo wakipigania fursa ya kuijenga upya Ukraine baada ya vita: Wanajua pesa ipo-ile iliyozuiwa ya Urusi na Warusi!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Mabeberu hawana kabisa mshipa wa aibu hata kidogo!! Wakati ikraine inaambulia kipigo kikali toka kwa urusi na watu wengi wanauawa, mawazo ya mabeberu sasa hivi ni kupigania fursa ya kuijenga upya ukraine baada ya vita. Hao ndio mabeberu!! Poland iliyokuwa inajitia kimbelembele imeanza kulalamika kuwa nchi za magharibi hazifuatilii tena kinachoendelea ukraine kama mwanzo! Zinawaza kupiga pesa tu sasa hivi!

Poland alarmed about Ukraine fatigue in West - PM​

Indifference might be something Vladimir Putin is counting on, Warsaw warns



FILE PHOTO: Ukrainian soldiers are seen near the recently collapsed bridge, near the town of Irpin, Ukraine. © Wolfgang Schwan / Anadolu Agency via Getty Images

Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki warned on Monday that growing fatigue with the Ukraine crisis among Western populations might be something Russian President Vladimir Putin is counting on.

Speaking to Polska Times, the prime minister said that while the Polish population was closely following developments in Ukraine, the same isn’t true for the West in general.

UK wants to rebuild Ukraine with Russian money​

The effort could be funded through assets seized from Moscow, Foreign Secretary Liz Truss has said


Liz Truss © Getty Images / Christopher Furlong
The UK will host a conference on Ukraine’s recovery next year, as the nation’s conflict with Moscow continues, the British Foreign Office has announced.

This year’s Ukraine Recovery Conference opens on Monday in Lugano, Switzerland. Britain plans to take a place on next year’s supervisory board and coordinate efforts between Kiev and other countries to rebuild the nation, with an office expected to be set up in London.
 
Watu wanadhani west wanaipenda sana Ukraine na wanataka vita iishe mapema kumbe raha yao ni Ukraine akwame vitani, achukue mikopo, nchi izidi kubomolewa halafu baadaye waje kuchukua tenda za kujenga nchi, kwa mkopo tena.

Hii vita itakapo isha, mahesabu yakipigwa... Aliye umia atajulikana tu hamna haja ya kumtangaza. Na Ukraine hatajiunga Nato.
 
Wale mazezeta wezangu wanaodemka na western countries A.K.A "USA NA EU" bado tu wameshupaza shingo kama mawe ya baharini yanayopigwa na mawimbi kila siku ili yatakate lakini bado yanajenga uchafu wa ukungu wa kijani kuwa RUSSIA si Taifa teule?
 
Wale mazezeta wezangu wanaodemka na western countries A.K.A "USA NA EU" bado tu wameshupaza shingo kama mawe ya baharini yanayopigwa na mawimbi kila siku ili yatakate lakini bado yanajenga uchafu wa ukungu wa kijani kuwa RUSSIA si Taifa teule?
Limeteuliwa na nani? Au limejiteua?
 
Hiki kitu nilikisema mapema, pesa za Urusi zolizo kwenye mabenk ya USA na Ulaya ni nyingi sana including za wake matajiri wa Urusi.
 
Mbona kichwa cha habari halieleweki
 
Wewe akili ndio ndogo hata huelewi kitu hapo, unajua kiasi cha fedha za Russia zinazozuiliwa na nchi za Nato au hujui. Jihadists shida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…