Mabeberu wanataka kuchimba madini huku

Acha kudanganya Watu. Iko hivi;

Ni kweli kuwa Wachina ndio wanajenga Miundombinu mingi barani Afrika lakini sio unavyofikilia.

Wachina Ni Kama Vijakazi wetu ambavyo vinachapa kazi kweli kweli. Baada ya Wazungu kutoa Misaada ya Fedha za Maendeleo kwa nchi za Kiafrika,Nchi za Afrika hutumia fedha Hizo za Wazungu kuwaajiri Wachina ili wajenge hiyo Miundombinu.

Bila Hizo fedha za Wazungu kunukia hapa Afrika,Huyo Mchina unayemuona anajenga barabara Wala usingeliwaona hata Kidogo. Wana Ki-benki Chao Uchwara kinaitwa EXIM BANK,Hiki ndio kinatumika kuwalaghai Magisadi wa Afrika Kuchukua mikopo ya riba kubwa (40%),halafu Hizo Pesa Wanalazimisha Vikampuni vyao Vya ujenzi vipewe Hizo tenda za Kujenga Substandard Projects.

Hiki ndio kilimkera Marehemu JIWE na Kuwapiga Chini Wachina kwenye Ujenzi wa SGR na kuwapa Waturki. Sasa Wachina wamemhonga Mama naona wamepewa tenda ya Kujenga Kipande Cha SGR Lot 5. Kipindi Cha Jiwe hakutaka hata kuwasikia Wachina wake Ni zaidi ya Kupe hao Wachina.
 

Huyu njemba ni boya Sijapata kuona[emoji22]
 
Unafahamu waliojenga chuo Cha veta chato ni wachina. unafahamu magu aliwapokea wachina chato akiwemo waziri wa mambo ya nje wa China mr.wang Yi. unafahamu kipande Cha Mwisho Cha s.g.r waliopewa tenda kumalizia ni wachina tena mkataba ulisahiniwa chato wakati wa utawala wa magu😄
 
Huyu jamaa anadhani ulaya na u.s.a Ni wajomba na shangazi zetu .eti anasema wanasamehe madeni[emoji38][emoji38][emoji38]
,[emoji23][emoji16][emoji16]yaani kuna mambo mengi serikali zetu inakumbana nayo Ila haitwambii wananchi inakua ni siri ya serikali, tunakuja kushtukia mara vifurushi vinapanda, mara nauli imepanda ghafla, mafuta bei juu nk
 
USD 30 trl ndio jumla ya deni Zima la USA bado unasema ni fedha ndogo? Kwa kigezo kipi?
Kaangalie bajeti yao.? Kwa mwaka afu uje hapa tena. Juzi wanapitisha msaada wa kuipa Ukraine USD 31T changanua hapo. Na kaangalie bajeti yao. Utaelewa
 
Kaangalie bajeti yao.? Kwa mwaka afu uje hapa tena. Juzi wanapitisha msaada wa kuipa Ukraine USD 31T changanua hapo. Na kaangalie bajeti yao. Utaelewa
Dogo kama unasoma uwe unasoma kwa utulivu, kama unasikiliza uwe unasikiliza kwa umakini. USD 31t umeiona wapi?
Msaada uliopitishwa ni USD40 billion.
 
Kuna mtanzania yupo Kihensa Semtema anakwambia hakuna mwanadamu aliyewahi kufika Mars wala mwezini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…