MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
Acha kudanganya Watu. Iko hivi;China anawajengea mashule, barabara na miundombinu mengine, marekani anawapa vyandarua , condom na ARV , hata akitoa hela dollar kadhaa hamzioni wakubwa wenu wanatafuna kwa sababu ni hela
[emoji116][emoji116]
Huwaga hawatoi misaada kwa masharti hawa wala kujitangazaView attachment 2228576View attachment 2228578
Ni kweli kuwa Wachina ndio wanajenga Miundombinu mingi barani Afrika lakini sio unavyofikilia.
Wachina Ni Kama Vijakazi wetu ambavyo vinachapa kazi kweli kweli. Baada ya Wazungu kutoa Misaada ya Fedha za Maendeleo kwa nchi za Kiafrika,Nchi za Afrika hutumia fedha Hizo za Wazungu kuwaajiri Wachina ili wajenge hiyo Miundombinu.
Bila Hizo fedha za Wazungu kunukia hapa Afrika,Huyo Mchina unayemuona anajenga barabara Wala usingeliwaona hata Kidogo. Wana Ki-benki Chao Uchwara kinaitwa EXIM BANK,Hiki ndio kinatumika kuwalaghai Magisadi wa Afrika Kuchukua mikopo ya riba kubwa (40%),halafu Hizo Pesa Wanalazimisha Vikampuni vyao Vya ujenzi vipewe Hizo tenda za Kujenga Substandard Projects.
Hiki ndio kilimkera Marehemu JIWE na Kuwapiga Chini Wachina kwenye Ujenzi wa SGR na kuwapa Waturki. Sasa Wachina wamemhonga Mama naona wamepewa tenda ya Kujenga Kipande Cha SGR Lot 5. Kipindi Cha Jiwe hakutaka hata kuwasikia Wachina wake Ni zaidi ya Kupe hao Wachina.