Mabegi ya 'shangazi kaja' marufuku kwenye kwenye treni ya SGR

Afrika serikali hazithamini watu, zitathamini wanyama?
Zaidi ya hapo... Walitakiwa kuwa na hata na behewa mchanganyiko ambalo unaweza kusafiri na baiskeli yako.

Serikali zetu hazina uono na hawajui wananchi wanahitaji nini.
 
Zaidi ya hapo... Walitakiwa kuwa na hata na behewa mchanganyiko ambalo unaweza kusafiri na baiskeli yako.

Serikali zetu hazina uono na hawajui wananchi wanahitaji nini.
Sina hakika hata kama kuna mabehewa yaliyo na accommodation kwa watu wanaotumia wheelchairs.
 
Sina hakika hata kama kuna mabehewa yaliyo na accommodation kwa watu wanaotumia wheelchairs.
Sio rahisi kuwepo.... aina ya mabehewa ni moja tu... abiria wa kawaida.

Sijapita kwenye vituo vyao.... Pengine wameweka njia kwa walemavu.
 
Haya mabegi ayakai kwenye sehem za kuweka mizigo so ni usumbufu kwa wengine! Na pia uwezi panda na Chakula chochote -Majuzi walikataa vichana vya ndizi ikiniuma ilibidi nimpe askari anaekagua na X Ray machine pale getini
 
Bata je ?
 
Ukiweka standards kwenye nchi yenye maskini wengi kama hii itakuwa umeamua kuwabagua tu. Hizo standars kwa nchi hii ni za walio wachache sana, wengine tuendelee na mabasi yetu tu au reli ya kati.
Sehemu za mizigo hazipo pakia mizigo yako abood utaipokelea Moro
 
Nabeba shangazi kaja naiweka ndani ya begi wafurahi sasa
 
Sio rahisi kuwepo.... aina ya mabehewa ni moja tu... abiria wa kawaida.

Sijapita kwenye vituo vyao.... Pengine wameweka njia kwa walemavu.
Zina disabled facilities, hata ukikata tiketi kuna option ya disabled.
 
Jamani hadi madela?... 😂😂😂
Daah!
 
watu weusi ni watu wa ovyo sana, naamna hata ulaya na uarabuni hilo begi unaruhusiwa kiroho safi kupanda nalo
 
Hawajui hizo bag ni made in China kama zilivyo treni zenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…