Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Niwanunulie vocha mimi wakati natoa msaada na zile chenchi chenchi zinazobaki kwenye kununua mazaga sokoni zinafanya kazi gani?Uwanunulie vocha basi
Yaani wanakera sana.bodaboda wanawadanganya sanaWanahadaiwa kirahisi sana hawa mabinti..utakuta kwenye contact zake ni namba za wasela na bodaboda tupu hapo mtaani..
Mi kuna wa mmoja aliwahi kumnunulia simu basi asubuhi mpaka usiku simu inaita tu,kila saa mbio chumbani akimaliza anatoka.mwisho kazi zikamshinda akaomba karudi kwao
Mpuuzi wewe kumbe ndo unawapotoshaNiwanunulie vocha mimi wakati natoa msaada na zile chenchi chenchi zinazobaki kwenye kununua mazaga sokoni zinafanya kazi gani?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Calm down madam mi natoa msaada tu kwani unafikiri hawana hamu?Mpuuzi wewe kumbe ndo unawapotosha
Ukishampa simu he sabu majanga mkuu hata watu wanaletwa humo ndaniKuna mmoja nipo nae hapo home kuna siku nilimfanyia small investigation nikakutana huwa anawasiliana na wanaume zaidi ya 10 kwa siku mmoja na ana marafiki zaidi ya 35 wanaume tuuh na hao sio ndugu zake wala nini.... nilichoka
Tunawakosea Nini mkuu?Kama mtaishi nao kama watoto wenu ingekuwa vizuri na heshima ingekuwepo
Matunda ya mtoto eti.mtoto anakula matunda ya elfu tatu kwa sikuKimbembe kwenye hela ya matumizi ulio acha haijulikan imenunua nn cha maana ila jua hela imeisha
Harafu mtto wa mwaka na nusu au miaka 2 afya ukiangalia na matunda ya 3000 mbalix2Matunda ya mtoto eti.mtoto anakula matunda ya elfu tatu kwa siku
Ukimuuliza dada Nini kimeisha nije nacho hasemi.asubuhi unaondoka ndo unaambiwa matunda ya mtoto hakuna.Harafu mtto wa mwaka na nusu au miaka 2 afya ukiangalia na matunda ya 3000 mbalix2
Umelalamika sana Miss Natafuta, ivi ushapata mtoto? Au hii mikwasa umeiona kwa jirani..Ukimuuliza dada Nini kimeisha nije nacho hasemi.asubuhi unaondoka ndo unaambiwa matunda ya mtoto hakuna.
Unanionaje mkuu?Umelalamika sana Miss Natafuta, ivi ushapata mtoto? Au hii mikwasa umeiona kwa jirani..