Mabeki tatu na simu ni majanga

Mabeki tatu na simu ni majanga

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Yaani hawa wadada wakishapata simu ni shida tupu .wanaongea kuliko customer care wa Tigo. Kuwapa simu inakuwa shida.

Tutawaachaje nyumbani na watoto bila simu Sasa? Yaani hata ukimtafuta simu iko busy hapatikani, wanaongeaga na nani jamani?
 
Wanahadaiwa kirahisi sana hawa mabinti..utakuta kwenye contact zake ni namba za wasela na bodaboda tupu hapo mtaani..
Mi kuna wa mmoja aliwahi kumnunulia simu basi asubuhi mpaka usiku simu inaita tu,kila saa mbio chumbani akimaliza anatoka.mwisho kazi zikamshinda akaomba karudi kwao
 
Yaani wanakera sana.bodaboda wanawadanganya sana
 
Kuna mmoja nipo nae hapo home kuna siku nilimfanyia small investigation nikakutana huwa anawasiliana na wanaume zaidi ya 10 kwa siku mmoja na ana marafiki zaidi ya 35 wanaume tuuh na hao sio ndugu zake wala nini.... nilichoka
 
Ukishampa simu he sabu majanga mkuu hata watu wanaletwa humo ndani
 
Beki 3 kinacho waponza tu zinje njemba za njian wakiwa wanaenda sokon ndo shughuli huanzia hapo plus [emoji809] simu ya nyumban we unanunu kwa kazi za home yye anaongeza kazi zake
 
Kimbembe kwenye hela ya matumizi ulio acha haijulikan imenunua nn cha maana ila jua hela imeisha
 
Miss Natafuta, Mostly wanaongea na bodaboda wanaotuletea vitu majumbani, lakini pia hiyo simu ndio mara nyingi inakuwa ticket ya kutodumu kwenye kazi.
 
Back
Top Bottom