Mabeki tatu na simu ni majanga

Kwa jinsi unavyojipambanua humu unaonekana hauna mtoto, ndio maana nimekuuliza hivyo
Wapi nilisema sina mtoto mkuu? Inaelekea umenijua juzi maana kipindi najifungua nilipost humu hadi picha nikiwa leba
 
Mostly wanaongea na bodaboda wanaotuletea vitu majumbani,lakini pia hiyo simu ndio mara nyingi inakuwa ticket ya kutodumu kwenye kazi...
Yaani kweli kabisa dada akishakuwa na simu hafai tena
 
Tunawakosea Nini mkuu?
Kwanza wanakuja wakiwa wadogo na hawana qualifications zozote za kazi yaani hawakuzisomea na huenda hawakulea watoto
Sasa mtoto anapewa majukumu mengi na hata mapummziko hakuna
Wengi wanakuwa abused na wanaume (lipo)
Inabidi wasaidiwe na wafundishwe hatari zote zinazowakabili kutoka kwa vijana na athari zake kama maradhi na mimba za utotoni
Muishi nao kama wana wenu na kujua mienendo yao pia
Kuwapa simu hiyo ni changamoto kwao pia kwani watoe namba au wasitoe vijana wataipata tu wakitaka
Wasaidieni kama watoto wenu tu
Ila mkiwanyanyasa hapo ndio kila unachomwachia anunue atakula yeye na ukimpiga ndio kabisaa atamlisha mavi mwanao
 
Sijui kwanini nawaogopa sana mabeki 3.

Sipendi mazoea ya kimahusiano kabisa.
 
Dah mkuu hilo tatizo ni janga la kitaifa juzi nimemtimua mfanyakazi wangu sikukuu ya pasaka tulimwambia twende tukale sikukuu kwa wazaz wangu kagoma sasa mida ya sa nne usiku narudi home nakuta hayupo karudi za tano usiku kalewa chakali kilichofata nikamtimua,, hapo kwenye simu ndo usiseme yani kila mda yupo bize ukiangalia simu yake imejaa no za wanaume
Yaani hawa wadada wakishapata simu ni shida tupu .wanaongea kuliko customer care wa tigo.
Kuwapa simu inakuwa shida.
Tutawaachaje nyumbani na watoto bila simu Sasa?
Yaani hata ukimtafuta simu iko busy hapatikani.wanaongeaga na Nani jamani?
 
Dah kwa kweli beki tatu ni shida sana wangu nimemtimua juzi tu ana mambo ya kipumbavu sana
 
Usiseme ivyo msichana wa home yani tumempa uhuru sana yani kama ndugu wa damu na mpaka majirani wanajua kuwa ni ndugu sasa juzi juzi karudi za tano usiku kalewa bwii wakati wenye nyumba hawanywi hata nilimtimua kesho yake akafilie mbele
Kama mtaishi nao kama watoto wenu ingekuwa vizuri na heshima ingekuwepo
 
Ahahaaa alikuwa na umri gani huyo mnywa viroba?
 
Usiseme ivyo msichana wa home yani tumempa uhuru sana yani kama ndugu wa damu na mpaka majirani wanajua kuwa ni ndugu sasa juzi juzi karudi za tano usiku kalewa bwii wakati wenye nyumba hawanywi hata nilimtimua kesho yake akafilie mbele
Nani Ana muda wa kumtesa mtu mkuu? Tunaishi nao vizuri tu wenyewe mawenge yao
 
Yaani hawa wadada wakishapata simu ni shida tupu .wanaongea kuliko customer care wa tigo.
Kuwapa simu inakuwa shida.
Tutawaachaje nyumbani na watoto bila simu Sasa?
Yaani hata ukimtafuta simu iko busy hapatikani.wanaongeaga na Nani jamani?
Kwa hiyo wamehamia kwenye simu kutoka kwenye TV.
 
Hua unafanya nao biashara gani hadi unawatafuta hivyo mpaka unalalamika..au wewe ni dume umesahu id yako
Yaani hawa wadada wakishapata simu ni shida tupu .wanaongea kuliko customer care wa tigo.
Kuwapa simu inakuwa shida.
Tutawaachaje nyumbani na watoto bila simu Sasa?
Yaani hata ukimtafuta simu iko busy hapatikani.wanaongeaga na Nani jamani?
 
Usiseme ivyo msichana wa home yani tumempa uhuru sana yani kama ndugu wa damu na mpaka majirani wanajua kuwa ni ndugu sasa juzi juzi karudi za tano usiku kalewa bwii wakati wenye nyumba hawanywi hata nilimtimua kesho yake akafilie mbele
Safi sana maamuzi mazuri
 
Mimi wangu ananiblock. Kuna kipindi kama 3 days nikimpigia yuko busy. Nikajua atakua busy kwenye kuongea kama kawaida yake. Kushika simu yake nitafute tatizo si ndo nikajua kaniblock. Nikatoa block Jana nampigia tena yuko busy. Nilikasirika ila sikua na namna maana haiwezekani aniblock bahati mbaya ni kwamba hataki simu zangu
 
Duh nimeishia kucheka tu je umeshamwambia kuwa umeshajua huo ujinga wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…