Mabeki tatu na simu ni majanga

Tafuteni simu za mezani... Muwasiliane nao kupitia hizo!
 
Hehe ulimfanyaje dogo wa watu
Anajua maana sijui ht km aliweza kuwaelezea ndugu zake kilichompata lkn mpk Leo sijaona dalili za kijana yyt kuja home kwangu, nilitoa somo kwa vijana mtaani
 
Mimi nimennunulia kuna li simu lipo kama LAND LINE LINAFANYA KAZI KAMA SIMU YA KAWAIDA LINA LINE YA KAWAIDA LIPO SEBURENI LINA UWEZO WA KUTUMA SMS NA KUPIGA CALL ,HUWA NALIUNGA KIFURUSHI CHA SMS CHA MWEZI SO AKIWA NA SHIDA NA MIMI HUNIPIGIA KUPITIA HILO.
Yaani hawa wadada wakishapata simu ni shida tupu .wanaongea kuliko customer care wa tigo.
Kuwapa simu inakuwa shida.
Tutawaachaje nyumbani na watoto bila simu Sasa?
Yaani hata ukimtafuta simu iko busy hapatikani.wanaongeaga na Nani jamani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee
 
Muajiriwa anamblock boss
 
m
 
Anajua maana sijui ht km aliweza kuwaelezea ndugu zake kilichompata lkn mpk Leo sijaona dalili za kijana yyt kuja home kwangu, nilitoa somo kwa vijana mtaani
Hahahaha ebu tudokezee kdg
 
Timulia mbali uyo mpumbavu hana akili mshahara umpe iweje akuletee upuuzi
 
Dawa ni moja tu, kwa yeyote yule alie mwanaume ukiweka mdada wa kazi anza kumgonga mwenyewe kabla hivi vinyoa viduku hawajaanza kumpelela sokoni maana hapo wakishaanza kumgonga tu ndio basi [emoji16][emoji16][emoji16]
Hata hilo jina kwenye avatar yako Beberu Mwitu unastahili Mkuu hongera
 
Wa majuu huwezi kumudu full time yaani mshahara wake ukimlipa na wako unaisha kabisa hakibaki kitu
Wao wamesomea hii kazi na kumuajiri kiwango chake bora uhangaike na wanao tu
yes ndio tufanye kazi kwa bidii na tuache kuajiri vitoto (12 - 17), tunavitumikisha balaa.......kuna taasisi ipo,,, just for hire wasaidizi...
 
Yani uyu wa kwangu alikuwa yupo free sana, sasa kuna vinyoa viduku havina mbele wala nyuma vinamdanganya
Mkuu usitudharirishe wanyoa viduku,,,, tunakuwa na akil tukiwa na vijogoo kwa kichwa ujue,,

Alaf iyo haus gelo mbn kubwa kabisa, tunampa basic need ambayo hapo hapati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…