Lakini ndiyo ukweli mkuu,watu wa humu wengi wapo jikoniKatika hili humu jukwaani kila mtu atajifanaya ana taarifa za ndani kwa wakati wake
Binaadam kama maji, utaziba huku yatapenya huku. Bora tu uyatengenezee njia nzuri vyenginevyo yataingia chumbaniHabari zilizopo ndani.Baada ya kila wanacho jaribu kuleta na kufanya CCM sasa wanaenda kuwatishia Benki na mitandao ya simu kuhusu account za Chadema zifungwe na kutopokea pesa.
Na utashangaa waziri anasema wamepeleleza wamegundua pesa zimetoka nchi za ambao wanataka kuharibu amani ya nchi.
Kwa sasa CCM ni kama kichaa