Mabenki ya kitanzania, madirisha 5 ya kutoa huduma, Wahudumu Wawili tu, mmoja yupo muda wote mwengine anaingia na kutoka muda wote

Hilo tatizo huwa sio la branch husika ndio maana unaona hili huwa linalalamikiwa sana humu mara nyingi na sio Benki moja,wala usidhani kwamba HQ hawafahamu,shida ni kwamba hapo kunakuwa na shortage ya Staff na hivyo waliopo ndio inabidi wagawane majukumu,Benki inakwepa gharama za kuajiri staff maana inaathiri faida,hivyo madirisha kuwa 5,6 au 10 ni geresha tu au ikitokea ongezeko la wateja ndio wanaweza kuongeza staff,kwahio huyo anayeingia na kutoka anakuwa na jukumu zaidi ya moja,Benki wanaangalia faida zaidi,kwao ni bora staff apigike kwa kazi kuliko kuwa na staff wengi wanafanya kazi chache.
 
Hili tatizo liko hadi kwenye bank za Uingereza.
Nadhani ni bank tactics katika kutumia rasilimali chache ili wapate faida.
 
Mimi hao NMB niliwahama kitambo baada ya kuona huduma zao ni za kijinga sana. Nadhani wao wanafurahi sana wakiona foleni ndefu.Shame on them!
NMB kibaha tu ndio niliwakubali. Kuanzia mapokezi hadi wahudumu wsngine
 
Kuna banks hazina matawi. Kila kitu unafanya kwa app.

Mawakala wanavyoongezeka, kutapunguza roles za tellers. Redundancy itaanza baada ya muda.
Utatoa au kuweka hard cash Kwa App? Mfano Wale wenye maduka ya jumla wanapeleka mauzo ya wiki,hawa lazima wafike branch.
 
Sikuhiz tumerahisishiwa kuna MAWAKALA na optiin za kujihudumia mewnyewe kibaaaao, bank kuenda hadi iwe imebid sanaaa
Nitafte nikutichi utakaa miaka huend bank labda ukasalimie
Kuna huduma zinalazimu kwenda bank, tufundishe hapa
 
Customer services ni mbovu kila sehemu sio Banks tu bali ndio hulka ya mbongo
Huku kuna watu wanalalamikia huduma za bank sasa ukimkuta nae kwenye kazi yake ndio hovyo kabisa

Kama Managers na mabosi ni wavivu hapo tegemea chain yote iwe hivyo
Haiwezekani eti mfanyakazi wa kawaida anachat tu na manager anapita pita tu
Yote majizi tu

Siku hizi hata airports za Middle East wamebalisha wahindi wote na kuwaweka wakenya na waganda
Hapo hakuna anaeongea na mwenzie ni kazi tu hata kama ukiwasalimia anajibu Salaam tu imetoka

Naona wamefanya research za kutosha sana kwetu hao waajiri [emoji1]
 
Hii nchi ustaarabu ndio kitu kimewashinda wengi. Hizi tabia za hovyo huanzia mbali sana huko mashuleni kwenye foleni za chakula ndipo zinakuja kuishia kwenye foleni za mabenki na magari barabarani
 
Hao wadada wengi bank hapawafai wanapenda kuzunguka kama manesi ndo kazi inawafaa, ukifika labda mda wa chai wakuwa na maandalizi mengi na kupoteza mda badala ya kupiga fasta waendelee na kazi wao kuzunguka tu wateja wanakaa kweny foleni.
Ukiachana na hayo mtoto wake akiumwa anaondoka, akihisi mafua kidogo pia anaondoka yaani tabu hiyo jinsia.
 
Akili za kipumbavu, unawaza mameneja wote wanaume Malaya na tellers wote ni wanawake Malaya.
Yaani hakuna meneja mwanamke wala teller mwanaume.
 
Ukiona ni lazima kuweka mfanyakazi wa kike ofisini kwako weka wasiokuwa na mzigo nyuma la sivyo utafunga biashara baada ya muda mfupi. Meneja anaangalia hapohapo, wateja wanaangala hapohapo, mdada anavimba na kazi haziendi.
Uko sahihi hao ni mizigo mno kutokana na maumbile yao mara malezi
 
Kwa hiyo unataka tajiri ahudumiwe sawa na masikini!!???
Acha fujo kijana hayo mabenki yanafanya biashara na kwenye ubepali hakunaga usawa. Kwa kifupi ipo hv ukienda kwenye mabenk yaliyokomaa matajiri wana dirisha lao spesho tena unaliona live. Do you get me!!??
Ww umekuja kutoa kishilingi elfu ishirini chako unataka ukae foleni moja na mtu aliyekuja kuwithdrawal milioni 20!!???
 
Wafunge kabisa baadhi ya madirisha, waweke vibao vya permanently closed.
 
Vitengo vya elimu vya mabenki,watoe elimu ya kutosha kwa wananchi ili wale wateja ambao hawana ulazima wa kuingia ndani ya benki,waende kwa mawakala mbalimbali,wahudumiwe huko.
Kutokua na elimu ya haya mambo,ndiyo kunafanya muda mwingine,mtu ana laki tano,laki,elfu hamsini,amepanga foleni sawa na wale wenye bulk cash,wakati angeondoa jam,kwa kwenda kwa mawakala ambao wanaongezeka kila kukicha.Mengine ya uzembe,nadhani ni nature yetu,hasahasa pale mwajiri anapofanya gender balance,analazimika kuajiri wadada,na HR hapo anaajiri wenye makalio makubwamakubwa,ambao baadhi yao,kama yeye ni mwanaume,anaanza kuwamega,mwisho wa siku,uwajibikaji unaathirika.Samahani,kwa uzoefu wangu,wadada wenye mashepu,maranyingi hutingwa na kazi nyingi,na wanajua hilo,kila mtu anamtaka,tako ndiyo kinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…