Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Sidhani kama atahitaji chawa, yule ni high profile, mtafute faiza foxy mkasukume gurudumu la uchawaNitumie namba yake nioe mke mdogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama atahitaji chawa, yule ni high profile, mtafute faiza foxy mkasukume gurudumu la uchawaNitumie namba yake nioe mke mdogo
Huyo Marando pamoja na mzee wa Kiraracha na Masumbuko Lamwai walikuwa ni sehemu ya task force ya CCM kuua upinzani na vizazi vijavyo vya upinzani.Kwa kuwa wananchi wengi wamejiweka mbali na siasa imekuwa rahisi kwa ccm kuanzisha vyama na kupandikiza watu wao ndani ya vingine!
Mkutano mkuu wa kwanza wa kampeni wa NCCR walifanya Mbeya na mimi nilikuwapo pale napita naelekea Tunduma.NCCR kilianzishzwa na Marandu mwenyewe. Atakuwaje pandikizi kwenye chama alichoanzisha yeye mwenyewe? Nina bahati ya kuwa mmoja wa waliohudhuria mkutano wa NCCR wa kwanza kabla hakijawa chama cha NCCR-Mageuzi
Kukaa karibu na Mahakama siyo kujua sheria.Marando na Mrema walikuwa watu wa system kudhoofisha upinzani!!NCCR kilianzishzwa na Marandu mwenyewe. Atakuwaje pandikizi kwenye chama alichoanzisha yeye mwenyewe? Nina bahati ya kuwa mmoja wa waliohudhuria mkutano wa NCCR wa kwanza kabla hakijawa chama cha NCCR-Mageuzi
Umesahau kusema pia wewe ulikuwa ni junior officer .Mkutano mkuu wa kwanza wa kampeni wa NCCR walifanya Mbeya na mimi nilikuwapo pale napita naelekea Tunduma.
Mkutano ulifanyika uwanja wa Sokoine.
Kwa jinsi maandalizi, matayarisho na mkutano wenyewe ulivyokuwa umeratibiwa ( na Mwang’onda alikuwa kule) niliishabaini kuwa hawa watatu Mrema, Lamwai na Marando ni special branch.
Hawa wote watatu walikuwepo na walikuwa na kitu twasema “very commanding performance”
Mkuu hapana wakati huo ndo nilikuwa nimeanza biashara ya mitumba naitoa Kariakoo napeleka Tunduma.Umesahau kusema pia wewe ulikuwa ni junior officer .
Ulikuwa upo kazini pia hizo lugha zenu [kupita/nilikuwepo] wengine tunazijua maana pia tulikuwepo kuwepo pia.
Lugha zenu nazijua..Mkuu hapana wakati huo ndo nilikuwa nimeanza biashara ya mitumba naitoa Kariakoo napeleka Tunduma.
Pale Mbeya pana hoteli ya Mbeya ipo karibu na uwanja wa Sokoine, hivyo nikivyosikia pana mkutano nikaenda kushuhudia.
Mie mjasiriamali wa kawaida.
Jasusi ni jasusi tuHuyu ni mmoja ya Miamba ya siasa kakamavu. Ni jasusi , ni msomi, ni mtu karba ya Tundu Lissu.
Inasikitisha hatupo naye tena kwenye Siasa. Najiuliza alipatwa na nini? Amechoka? Yu mgonjwa? Ni hasara sana kwa Taifa kupoteza watu kama hawa halafu kuwa na akina Nape, Januari na .... .
Kisukari kilimpiga sana
Nakumbuka kuna wakati
Nlikuwa nakutana naye sana
Kwenye garage fulani,tukiwa tunafanya service Nissan patrol
Zetu..yeye alikuwa na Nissan patrol short chasses kama mimi na wote tulikuwa wapenzi wa magari hayo,basi hapo ndipo tukawa washkaji
Ova
Wewe ndio unachanganya madesa kabisa. Marando ni wakili msomi. Siasa za mwanzo za vyama vingi yeye na dr Lamwai ndio waliokuwa wagonga nyundonkama ilicyo kwa Lissu na Mwabukusi kwa sasa.Mabere marando ni over rated hata lile tukio la tamimu hakulicheza yeye ulizieni mtabe mnyama mwitu aliyekuwa anaitwa Cornel Apson Mwangonda mtu wa mbozi mbeya ndio alikuwa mkuu wa operation hatari za teeth including hiyo ya tamimu.
Mkutano wa kwanza wa NCCR uolikuwa umehusisha zaidi wanasheria na wanazuoni ulifanyika IFM siyo Mbeya. Mkutano wenyewe ndio ulioitwa NCCR - yaani the National Convention for Construction and Reform. Ajenda mojawapo kubwa ya mkutano huo ilikuwa ni kutaka mfumo wa siasa nchi ugeuzwe a kutoka ule wa chama kimoja kuwa wa vyama vingi vyenye itikadi mbalimbali kwa vile nchi haikuwa ya itikadi ya ujamaa tena baada ya Azimio la Zanzibar. Mkutano huu ulifanyika mwaka 1990 kabla vyma vingi havijaruhusiwa Tanzania,Mkutano mkuu wa kwanza wa kampeni wa NCCR walifanya Mbeya na mimi nilikuwapo pale napita naelekea Tunduma.
Mkutano ulifanyika uwanja wa Sokoine.
Kwa jinsi maandalizi, matayarisho na mkutano wenyewe ulivyokuwa umeratibiwa ( na Mwang’onda alikuwa kule) niliishabaini kuwa hawa watatu Mrema, Lamwai na Marando ni special branch.
Hawa wote watatu walikuwepo na walikuwa na kitu twasema “very commanding performance”
Tukio la command Tamim ,Marando alikuwa mmoja wa watu wa walioenda kumkamata na kipigo walicheza kabla ya kumuuaWewe ndio unachanganya madesa kabisa. Marando ni wakili msomi. Siasa za mwanzo za vyama vingi yeye na dr Lamwai ndio waliokuwa wagonga nyundonkama ilicyo kwa Lissu na Mwabukusi kwa sasa.
Hizo issu za mapinduzi marando hausiki.
Mzee Kichuguu inawezekana kwa kujua au kutokujua,kwa urafiki au mapenzi yako kwake.NCCR kilianzishzwa na Marandu mwenyewe. Atakuwaje pandikizi kwenye chama alichoanzisha yeye mwenyewe? Nina bahati ya kuwa mmoja wa waliohudhuria mkutano wa NCCR wa kwanza kabla hakijawa chama cha NCCR-Mageuzi
Haha hahaWewe mdogo sana dunia hii, unafanya ushikaji na shushushu..!! Jiangalie
Sasa ccm nani? mwenye akili Zaidi ya kulishana sumuMtu yeyote anayelielewa hawezi kufanya siasa na kina mdude na mwambukusi,tangu lowassa alivyoitwa chadema wenye akili waliondoka
USSR