Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Haha haha
Nmekulia mitaa jirani na ngano
Pinda anaishi hapo nyumba ya kona namuona
Nikaja kukaa jirani na kwa mzena baba Freddie na kwake nlikuwa natimba ada estates hadi lile 505 lake ashatuachia sana kupiga round
Haya akaja mzee mwangonda hadi anakuwa mkurugenzi kwake tumetimba maana watoto zake tulikuwa tunafahamiana
Mabere mbona kwenye stori za kawaida alikuwa fresh tu
Ova
Ok, kumbe ile kuzoeana ukaona poa tu, fresh tu, ila nakushauri uwe na masikio matatu na macho matatu na uogope, sbb kwa level za hao wakubwa wanajulikana, hivyo kaa chonjo uwe na masikio matatu na macho matatu, acha mazoea